Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

Status
Not open for further replies.
Islamic banking is the mkombozi of the world economy.
Magazeti makubwa ya kiuchumu huko Ulaya yanaita kuanzishwa kwa islamic Shariah katika masuala ya Uchumi: mmoja wao anaandika:
“Is Wall Street ready to embrace the principles of Islamic sharia?”
Sawati Taneja, a financial expert in Europe, ansema: “The financial crisis in America is giving a golden opportunity to Islamic economics which is opposed to usurious transactions.”
Kwa sababu Western Economic system imefeli!
French President Sarkozy ana admit kushindwa kwa system baada ya Financial Crisis: We need to rebuild the global financial and currency system from the roots upwards".
Pia tumeshuhudia kufilisika kwa mabenki makubwa kama;
Leman Brothers, integrity,Washington mutual na shirika kubwa la bima AIG ambalo lilipa fidia fidia $11 bilion na kufilisika!
Tumeshuhudia pia jinsi Riba inavoondosha baraka za mali pale $2 trillion zilipoyeyuka kwa siku tano kutoka katika American Pension Funds amabyo ilisababisha kupotea kwa mabenki 16 ikiwemo IndyBank nayo ilikuwa iki control accests za $32 billion na deposit ya $19 billion.
 
Sideeq,
Lakini kutokana na Halakha mtu anakuwa ni Myahudi kwa kuzaliwa na mama wa Kiyahudi au aliyeingia katika dini ya Kiyahudi. Kwa hiyo unachotuambia wewe ni kuwa Halakha ni waongo! na umeikataa.
Ulichofanya ni kwenda na tafsiri ya kikundi cha Karaite ambacho kilizuka katika karne ya 19
Mkuu hata sijui unachouliza.. maanake maswali na majibu unayatoa kwa jinsie unavyofikiria wewe - Kifupi unayaweka maneno mdomoni mwangu..hukuelewa Uliza, usiseme mimi nasema halii nukuu zako hazionyeshi mimi kusema unayodai wewe. Haya wapi nimesema Halakha ni Uongo?

Mkuu wangu, Halakha ni sheria za Kiyahudi (ambao leo ni Taifa la Watu) ambazo zina dini, customs na traditions. Hivyo ni muhimu unapochambua tenganisha swali lako kama linahusiana na religion pekee, customs pekee au Tradition pekee..Kwani itakuwa vigumu kwa mtu yeyote kujibu swali la customs linapoingizwa ktk religion, tutakesha tukibishana hapa.

Huko nyuma nimeeleza wazi kuhusu Man's Gospel ambazo sisi wote Wayahudi,Wakristu na Waislaam tumeingiza customs na traditions zetu ktk sheria za dini..Na unapouliza kama sheria za Halakha ni waongo unajumuisha maswali mengi yenye ku cover huge area kupata jibu la swali dogo sana. Wee uliza kuhusiana na mwanamke kuwa kizazi cha Wayahudi! - jibu lake hiyo ni Custom ilizoanzishwa na binadamu na kuwa sheria..Sasa utajaza mwenyewe..

Katika nchi za Kiarabu zipo customs ambazo zinamkataza mwanamke kujichanganya na wanaume, kutembea peke yake sokoni, kuendesha gari, mwanamke kukutana na uso kwa uso na mwanamme asiyekuwa mumewe na kadhalika. Hizi ni customs za Kiarabu ambazo wao wameziingiza ktk sheria zao, na maadam wao ni asilimia 100 Waislaam sheria hizi zimejulikana kama ni sheria za Kiislaam. Pia Tanzania tuna sheria ambazo zimeletwa ama kutungwa ambazo zimeingizwa ktk Uislaam aidha kwa kupitia Bakwata, Oman au Masheikh (influenced) na kuwa sheria kiasi kwamba kuna Upinzani mkubwa kwa baadhi ya waumini wasomi.
Vizuri kutuelewesha kuwa Moses hakuwa Myahudi wa damu. Unachodai sasa ni kuwa alikuwa Myahudi kwa kuwa alimkubali Mungu, Je Mkristo ni Myahudi pia kwa sababu amemkubali Mungu? kwa tafsiri yako, ina maana karibu kila mtu ni Myahudi!
Wapi nimesema Mkristu ni Myahudi? mkuu nilichosema mimi Asili ya dini ya Kikristu imetokana na Judaism (dini)..Kama kuna hitlafu zozote zimekuja kutokana na Man's Gospel zaidi ya mafundisho ya Torah na Injili.
Kwahiyo Jesus pia alikuwa ni Myahudi kwa uzawa! .....unaanza kujichanganya sasa!
Yesu alikuwa Hebrew kwa uzawa yaani kabila lake, na Myahudi (Jew) kwa imani yake ya dini na Ban Israel kwa Utaifa wake... mengineyo jaza mwenyewe.
Nikasema tena man's Gospel imebadilisha hawa waumini Jews kuwa ni Uzawa wa mtu. Hizi ni sheria za dini hata ukiangalia katika Uislaam mtoto yeyote anayezaliwa huwa ni Muislaam lakini wapo wasomi wanaopinga hili na kusema ni lazima wazazi wa mtoto huyo wawe Waislaam. Kwa hiyo jibu la maswala kama haya utajazia mwenyewe.
Nina kujibu kuhusu Shiah, Ismailia na wewe nijibu kuhusu Ashkenaz.
Chimbuko la Shiah ni Abdullah ibn Sabah, Myahudi wa Kiyemen aliyeingia katika Uislamu ili kuuharibu na kuwavuruga Waislamu kama alivyojifanya Paul Mkristo ili kuuharibu Ukiristo.
Kuhusiana na Shia mkuu ndivyo unavyoamini wewe kwa sababu wewe ni Sunni.. They will say the same when comes to You. Kifupi mkuu wangu amini unachoamini wewe kwani kaburini utakwenda peke yako. Hayo ya Wakristu na Paul yanakuhusu nini wewe ambaye tayari una imani yako..Ashkenaz are converts kama wewe ambaye sii Msaudia.. Now the right to be Jewish inapangwa na wao wanaoamini kama sheria za kiislaam zinavyokuamrisha wewe..Mimi pia naweza pia ku question Uislaam wako kwa kutumia fikra zangu nje ya sheria za Kiislaam.
Kuzungumza au kuandika Kiswahili fasaha hakumfanyi mtu kuwa Mtanzania au Mkenya! ndio Dunia ilivyo!
Zayd ibn Thabit (r.a) ni swahaba muarabu aliyekuwa akizungumza na kuandika Hebrew fasaha na lugha ya Syriac ,alikuwa ni mkalimani wa hizi lugha!
wapi nimesema kuzungumza kiswahili fasaha inakufanya wewe uwe Mtanzania.. Nimesema wewe ni Muislaam ambaye umekuja karne 15 baada ya Muhammad ktk kujibu swali lako kuhusu wale Ashkenaz ulosema sii Wayahudi kwa maana ya Utaifa wao. Hakuna sehemu mimi nimesema Uyahudi ni UTaifa wa kuzaliwa na mama, (nilipinga hili) ila nachoweza kusema Judaism ni dini hivyo kama Ashkenaz ni converts ktk dini hii, na wametoa shuhuda kwa nini wasiwe Wayahudi? Their right kwa Utaifa wa Israel hilo ni swali jingine kabisa.
Yes, kama mtu hafuati Sheria nyingine za Kiislamu kwa kuzikataa basi huyu mtu sio Muislamu, Uislamu ni kujisalimisha na kukubali sheria za Allah (aliyokuja nayo mtume) sasa kama mtu ameyakataa ni kwa nini ajiite Muislamu?!
Lakini kama hazifuati sheria nyingine kwa ajili ya uvivu wake au ujinga wake n.k hapa hawi Kaafir.
Kuhusu Sheria za kiislaam nambie wewe ni sheria zipi unazifuata..Haya maajabu makubwa sana..Ikiwa Mahakama ya kadhi ndio kwanza inaomba kusajiliwa itakuwaje wewe unayeishi ndani ya nchi isiyokuwa na mahakama ya kadhi ijiite Muislaam hali sheria zake hazifuatwi?.. Kama hakuna sheria za Kiislaam hadi sasa ina maana sisi waislaam wote hatufuati sheria za kiislaam - Period. Usitake kunambia habari isiyowezekana kujiita wewe Muislaam hali hakuna sheria za Kiislaam kiutawala. Tuishi tu kwa rehma zake Mungu atatuhukumu kwa mambo mengine. Kikubwa chunga mzani wako usielemee kwenye mabaya lakini dini hutuna! - Wahenga wanasema Islaam ni dini isiyokuwa na WATU.

Mkuu kama una maswali jaribu kuuliza moja moja.. Please. Itakuwa rahisi kwangu kujibu.
 
Sideeq,
Mkuu hata sijui unachouliza.. maanake maswali na majibu unayatoa kwa jinsie unavyofikiria wewe - Kifupi unayaweka maneno mdomoni mwangu..hukuelewa Uliza, usiseme mimi nasema halii nukuu zako hazionyeshi mimi kusema unayodai wewe. Haya wapi nimesema Halakha ni Uongo?

Mkuu wangu, Halakha ni sheria za Kiyahudi (ambao leo ni Taifa la Watu) ambazo zina dini, customs na traditions. Hivyo ni muhimu unapochambua tenganisha swali lako kama linahusiana na religion pekee, customs pekee au Tradition pekee..Kwani itakuwa vigumu kwa mtu yeyote kujibu swali la customs linapoingizwa ktk religion, tutakesha tukibishana hapa.

Huko nyuma nimeeleza wazi kuhusu Man's Gospel ambazo sisi wote Wayahudi,Wakristu na Waislaam tumeingiza customs na traditions zetu ktk sheria za dini..Na unapouliza kama sheria za Halakha ni waongo unajumuisha maswali mengi yenye ku cover huge area kupata jibu la swali dogo sana. Wee uliza kuhusiana na mwanamke kuwa kizazi cha Wayahudi! - jibu lake hiyo ni Custom ilizoanzishwa na binadamu na kuwa sheria..Sasa utajaza mwenyewe..

Katika nchi za Kiarabu zipo customs ambazo zinamkataza mwanamke kujichanganya na wanaume, kutembea peke yake sokoni, kuendesha gari, mwanamke kukutana na uso kwa uso na mwanamme asiyekuwa mumewe na kadhalika. Hizi ni customs za Kiarabu ambazo wao wameziingiza ktk sheria zao, na maadam wao ni asilimia 100 Waislaam sheria hizi zimejulikana kama ni sheria za Kiislaam. Pia Tanzania tuna sheria ambazo zimeletwa ama kutungwa ambazo zimeingizwa ktk Uislaam aidha kwa kupitia Bakwata, Oman au Masheikh (influenced) na kuwa sheria kiasi kwamba kuna Upinzani mkubwa kwa baadhi ya waumini wasomi.

Wapi nimesema Mkristu ni Myahudi? mkuu nilichosema mimi Asili ya dini ya Kikristu imetokana na Judaism (dini)..Kama kuna hitlafu zozote zimekuja kutokana na Man's Gospel zaidi ya mafundisho ya Torah na Injili.
Yesu alikuwa Hebrew kwa uzawa yaani kabila lake, na Myahudi (Jew) kwa imani yake ya dini na Ban Israel kwa Utaifa wake... mengineyo jaza mwenyewe.
Nikasema tena man's Gospel imebadilisha hawa waumini Jews kuwa ni Uzawa wa mtu. Hizi ni sheria za dini hata ukiangalia katika Uislaam mtoto yeyote anayezaliwa huwa ni Muislaam lakini wapo wasomi wanaopinga hili na kusema ni lazima wazazi wa mtoto huyo wawe Waislaam. Kwa hiyo jibu la maswala kama haya utajazia mwenyewe.
Kuhusiana na Shia mkuu ndivyo unavyoamini wewe kwa sababu wewe ni Sunni.. They will say the same when comes to You. Kifupi mkuu wangu amini unachoamini wewe kwani kaburini utakwenda peke yako. Hayo ya Wakristu na Paul yanakuhusu nini wewe ambaye tayari una imani yako..Ashkenaz are converts kama wewe ambaye sii Msaudia.. Now the right to be Jewish inapangwa na wao wanaoamini kama sheria za kiislaam zinavyokuamrisha wewe..Mimi pia naweza pia ku question Uislaam wako kwa kutumia fikra zangu nje ya sheria za Kiislaam.
wapi nimesema kuzungumza kiswahili fasaha inakufanya wewe uwe Mtanzania.. Nimesema wewe ni Muislaam ambaye umekuja karne 15 baada ya Muhammad ktk kujibu swali lako kuhusu wale Ashkenaz ulosema sii Wayahudi kwa maana ya Utaifa wao. Hakuna sehemu mimi nimesema Uyahudi ni UTaifa wa kuzaliwa na mama, (nilipinga hili) ila nachoweza kusema Judaism ni dini hivyo kama Ashkenaz ni converts ktk dini hii, na wametoa shuhuda kwa nini wasiwe Wayahudi? Their right kwa Utaifa wa Israel hilo ni swali jingine kabisa.

Kuhusu Sheria za kiislaam nambie wewe ni sheria zipi unazifuata..Haya maajabu makubwa sana..Ikiwa Mahakama ya kadhi ndio kwanza inaomba kusajiliwa itakuwaje wewe unayeishi ndani ya nchi isiyokuwa na mahakama ya kadhi ijiite Muislaam hali sheria zake hazifuatwi?.. Kama hakuna sheria za Kiislaam hadi sasa ina maana sisi waislaam wote hatufuati sheria za kiislaam - Period. Usitake kunambia habari isiyowezekana kujiita wewe Muislaam hali hakuna sheria za Kiislaam kiutawala. Tuishi tu kwa rehma zake Mungu atatuhukumu kwa mambo mengine. Kikubwa chunga mzani wako usielemee kwenye mabaya lakini dini hutuna! - Wahenga wanasema Islaam ni dini isiyokuwa na WATU.

Mkuu kama una maswali jaribu kuuliza moja moja.. Please. Itakuwa rahisi kwangu kujibu.

Wakuu sijaelewa huu mjadala unaelekea wapi naona kama ningelishauri MODs waufatilie maana utaishia kuleta ugomvi wa kidini wakati mada ni nini faida za islamic banking products naomba nijitoe waungwana nimeshajaribu kuwafungua macho katika hizo the so called islamic products ila mada inapoelekea mh sipo kwakweli kwaherini.
 
Mkandara said:
Haya wapi nimesema Halakha ni Uongo?
Halakha inasema kuwa:mtu anakuwa ni Myahudi kwa kuzaliwa na mama wa Kiyahudi au aliyeingia katika dini ya Kiyahudi.
Na wewe unasema;Tafsiri -Jews ni watu wanafuata dini na kuabudu Mungu mmoja (Judaism), ambao sisi tunawaita Wayahudi.
KWA HIYO AIDHA WEWE NI MUONGO AU HALAKHA NI UONGO! NYOTE HAMUWEZI KUWA WAKWELI HAPA!
"To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if they knew what we teach about them they would kill us openly." - Libbre David 37.
Mkandara said:
Mkuu wangu, Halakha ni sheria za Kiyahudi (ambao leo ni Taifa la Watu) ambazo zina dini, customs na traditions. Hivyo ni muhimu unapochambua tenganisha swali lako kama linahusiana na religion pekee, customs pekee au Tradition pekee..Kwani itakuwa vigumu kwa mtu yeyote kujibu swali la customs linapoingizwa ktk religion, tutakesha tukibishana hapa.
Kama umekubali kuwa Jesus ni Myahudi wa kabila itabidi utuelezee sasa alikuwa yuko katika customs au tradition gani! taratibu unaanza kujichanganya.
Mkandara said:
Wee uliza kuhusiana na mwanamke kuwa kizazi cha Wayahudi! - jibu lake hiyo ni Custom ilizoanzishwa na binadamu na kuwa sheria..Sasa utajaza mwenyewe..
Unaogopa!
"If a Jew be called upon to explain any part of the rabbinic books, he ought to give only a false explanation. Who ever will violate this order shall be put to death." Libbre David 37.
Mkandara said:
Katika nchi za Kiarabu zipo customs ambazo zinamkataza mwanamke kujichanganya na wanaume, kutembea peke yake sokoni, kuendesha gari, mwanamke kukutana na uso kwa uso na mwanamme asiyekuwa mumewe na kadhalika. Hizi ni customs za Kiarabu ambazo wao wameziingiza ktk sheria zao, na maadam wao ni asilimia 100 Waislaam sheria hizi zimejulikana kama ni sheria za Kiislaam.
Hizi ni tuhuma nzito, kwa hiyo tunataka ushahidi wako vipi waarabu waliziingiza hiz zionekane kuwa ni za Kiislamu!
"A Jew may do to a non-Jewess what he can do. He may treat her as he treats a piece of meat." - Hadarine, 20, B; Schulchan Aruch, Choszen Hamiszpat 348.
Mkandara said:
Pia Tanzania tuna sheria ambazo zimeletwa ama kutungwa ambazo zimeingizwa ktk Uislaam aidha kwa kupitia Bakwata, Oman au Masheikh (influenced) na kuwa sheria kiasi kwamba kuna Upinzani mkubwa kwa baadhi ya waumini wasomi.
Hii ni home of greit sinkaz, kwa hiyo ukileta madai kama haya unatakiwa u back up your calim with the sound proof! kwa hiyo tuelezee hizo sheria kabla hujaibadilisha greit sinkaz kuonekana kuwa ni kijiwe cha wahuni.
Mkandara said:
Yesu alikuwa Hebrew kwa uzawa yaani kabila lake, na Myahudi (Jew) kwa imani yake ya dini na Ban Israel kwa Utaifa wake... mengineyo jaza mwenyewe.
Khe! Jesus alikuwa ni Myahudi kwa imani yake ya dini!
Mbona Talmud inasema kuwa yuko motoni Gittin 57a .Jesus is being boiled in "hot excrement."? ina maana Mayahudi ni watu wa motoni?!
Mkandara said:
Hizi ni sheria za dini hata ukiangalia katika Uislaam mtoto yeyote anayezaliwa huwa ni Muislaam lakini wapo wasomi wanaopinga hili na kusema ni lazima wazazi wa mtoto huyo wawe Waislaam.
Ni "wasomi" gani hao? tujuze.
Mkandara said:
Kuhusiana na Shia mkuu ndivyo unavyoamini wewe kwa sababu wewe ni Sunni.. They will say the same when comes to You.
Like what?!
Mkandara said:
Ashkenaz are converts kama wewe ambaye sii Msaudia
Kwa hiyo mimi ambaye sio Msaudia sina haki ya kudai ardhi ya saudia kuwa ni mali yangu, kwa nini Ashkenaz wakadai Jerusalem?!
Mkandara said:
Hakuna sehemu mimi nimesema Uyahudi ni UTaifa wa kuzaliwa na mama, (nilipinga hili) .
Kwa hiyo unapingana na Halakha, umerudi kulekule
 
Mkuu sikuwezi na nadhani unadhihirisha ukweli wako kwamba JF kuna great sinkaz..sikuelewi nawala sintakuelewa unapochanganya written documents za Zionist na dini ya Judaism. hata katika Uislaam wapo Ahmadiyyah ambao ukiwasoma na ku quote maandishi yao unaweza kupata habari nyingine kabisa ya Uislaam.

Nimekwambia Judaism ni dini na wafuasi wake wanaitwa JEWS ambao sisi tunawaita Wayahudi. Pia Islam ni dini na wafuasi wake (in faith) wanaitwa Waislaam, sasa kuna waislaam wanasema kila mtoto anayezaliwa huzaliwa akiwa Muislaam, mwambie maneno hayo Mkristu au Myahudi sijui kama atakuelewa. Mwongo atakuwa aidha wewe au huyo Myahudi ama Mkristu!
 
Mkuu sikuwezi na nadhani unadhihirisha ukweli wako kwamba JF kuna great sinkaz..sikuelewi nawala sintakuelewa unapochanganya written documents za Zionist na dini ya Judaism.
Unataka kuniambia kuwa Zionists sio Jews?!
Mkandara said:
sasa kuna waislaam wanasema kila mtoto anayezaliwa huzaliwa akiwa Muislaam, mwambie maneno hayo Mkristu au Myahudi sijui kama atakuelewa. Mwongo atakuwa aidha wewe au huyo Myahudi ama Mkristumwambie maneno hayo Mkristu au Myahudi sijui kama atakuelewa. Mwongo atakuwa aidha wewe au huyo Myahudi ama Mkristu
Ikiwa maana ya Islam ni Surrendering and submitting yourself to the Almighty God, kwa nini mtoto anayetoka tumboni kwa mama yake akifuatisha amri ya Allah kuwa atoke asiitwe Muislam?!
Kuelewa na kuamini ni vitu tofauti, mbona wakristo wengi tu na Mayahudi wakifahamishwa hivi wanaelewa?! ama kuhusu kuamini hapo ni kitu kingine tena.
"The decisions of the Talmud are the words of the living God. Jehovah Himself asks the opinion of the earthly rabbis when there are difficult affairs in heaven." - Rabbi Menachem Commentary on Fifth Book.
 
Sideeq,
Mkuu bila shaka nazungumza kirumi ndio maana hatuwezi kuelewana kabisa. Unatumia zaidi imani yako ya dini ku doubt watu wengine na kujipongeza wewe..Hutaki kutazama upande wa pili wa shilingi ila kwa yanayokupendeza.
Nilikuwepo - Nimemaliza.
 
....such are greit sinkaz!
 
Sideeq,
Mkuu hivi katika akili yako unafikiri kila Myahudi au Mkristu anaamini kuwa mtoto akizaliwa huwa ni Muislaam?..Umewahi kuuliza kitu hiki au unafikiria kutoka ktk imani yako. Kisha ajabu wewe mwenyewe unaandika na kusema Myahudi ni yule mtoto aliyezaliwa na mama Myahudi..Can't U add up!
 
Sideeq,
Mkuu hivi katika akili yako unafikiri kila Myahudi au Mkristu anaamini kuwa mtoto akizaliwa huwa ni Muislaam?..Umewahi kuuliza kitu hiki au unafikiria kutoka ktk imani yako.
Vizuri kwa kurudi ukumbini.
Kwa sababu ni Myahudi na Mkristo ndio maana haamini hivyo.
Mkandara said:
Kisha ajabu wewe mwenyewe unaandika na kusema Myahudi ni yule mtoto aliyezaliwa na mama Myahudi..Can't U add
Nimekukumbusha ni kitu gani Halakha inasema!
Je, umeshaamua sasa kuwa Myahudi ni nani?
 
Ikiwa maana ya Islam ni Surrendering and submitting yourself to the Almighty God, kwa nini mtoto anayetoka tumboni kwa mama yake akifuatisha amri ya Allah kuwa atoke asiitwe Muislam?!
Kuelewa na kuamini ni vitu tofauti, mbona wakristo wengi tu na Mayahudi wakifahamishwa hivi wanaelewa?! ama kuhusu kuamini hapo ni kitu kingine tena.
Ndio maana nimekwambia unatumia imani yako ya dini kujadili mada hili.. Hapa kijiweni weka imani yako pembeni unapoandika kitu,tumia kufahamisha ili upate kueleweka na wasomaji wote (Wakristu,Wayahudi na hata Pagan) kinyume cha hapo utakuwa unahubiri dini yako ambayo hutapata wanaokuamini, pia huu siii ukumbi wa dini..
- Sijui kama unanielewa.
 
Je? umeshaamua sasa Myahudi ni nani?
 
tatizo la hao wazungu na waarabu akili zimefika ukomo kwani wanakumbatia kubaguana kwa misingi ya rangi na imani.

Sisi watanzania tunaendeshwa na katiba ambayo inakataza kuwabagua watu kiitikadi na kiimani. Lakini ninachokiona ni kwamba mtu anaapa kulinda katiba huku akijua wazi kwamba hata akienda kinyume nayo HATAFANYWA KITU
Isome katiba vizuri na uielewe!

Kabla hujaisoma napenda uelewe kuwa Kujengwa kanisa na kuwahudumia baadhi ya watu haina maana kuwa katiba imefunjwa. AU kujenga msikiti kwa kuwalenga watu fulani vile vile haimaanishi kuwa katiba imefunjwa. Hapo ni kinyume chake kuwa Demokrasia yetu imekuwa kupindukia. Ni sawa kama kuwa na CCM, na CUF, au CHADEMA, KWANI HUWEZI MKUWA MWANACHAMA WA ccm na CHADEMA kwa wakati mmoja. Lakini kama mwanachama wa CUF kutoruhusiwa kwenda katika Mikutano ya CCM SI UBAGUZI.

Tunapoamua kuwa na chaguzi tofauti ndio kukua kwa Demokrasia. Ninawaelewa wale waliozoea kula chakula kimoja tu, nikimaanisha wale waliobaki na mawazo ya NYERERE. Mawazo yaliyoelekeza katika chama KIMOJA, mavadhi aina moja, shule aina moja, vyuo vikuu vyote vya serikali n.k. Muda huo umepitwa na wakati, na hautorudi kamwe.

Hizi ni zama za kuchagua ama KIMINI AU HIJABU, AU VYOTE KWA PAMOJA. Na ndio maana kwangu sioni cha ajabu kwa benki kupanua wigo wao na kuwashirikisha waislam katika uchumi kwa kutumia BENKI. Sasa nitatoa viakiba vyangu na kuvipeleka BENKI, maana sikutaka kuingia dhambi kufuata mtindo wa kijadi wa kibenki wa kiyahudi wa riba.

UKweli umedhihiri, na huko ndiko tutarejea.
 
Hizi ni zama za kuchagua ama KIMINI AU HIJABU, AU VYOTE KWA PAMOJA. Na ndio maana kwangu sioni cha ajabu kwa benki kupanua wigo wao na kuwashirikisha waislam katika uchumi kwa kutumia BENKI. Sasa nitatoa viakiba vyangu na kuvipeleka BENKI, maana sikutaka kuingia dhambi kufuata mtindo wa kijadi wa kibenki wa kiyahudi wa riba.
But you need to make up your mind, either Hijab or Kimini!
Islam is a surrendering and submitting to the law) of Almighty God, sasa ni ni point yako kukwepa riba ya Mayahudi halafu wakati huohuo unachanganya Hijab na Kimini?!
Quran 2:42 And mix not truth with falsehood, nor conceal the truth while you know (the truth).
*"The core of Judaism, like the core of Gnosticism and Egyptian Hermeticism, is magic, the manipulation of the universe, contra God's creation; i.e. against nature. Gershom Scholem, Professor of Kabbalah at Hebrew University wrote that Kaballah embraced a great deal of "black magic, ...a wide realm of demonology and various forms of sorcery that were designed to disrupt the natural order of things..." (Hoffman, p.779.)
 
.. how is Allah involved in finance? One thing I know is this: Sharia or whatever banking is part of global Islamic Jihad which intend to destroy Christianity. When you bank Islamic, you are fighting Christianity unknowingly. STOP ISLAMIC BANKING NOW.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom