Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Is ni conspiracy ya us na Israel ili Israel iwe salama
Ukiangalia kwa jicho a tatu
Kumbe ni wengi sana ambao hawajitambui na wamekaririshwa kupita maelezo!!
Is ni conspiracy ya us na Israel ili Israel iwe salama
Ukiangalia kwa jicho a tatu
Upo ila si bila sababu My name is Green bird and I am not a terroristKwahiyo unataka kutuambia kwamba kwenye Quran hamna hata mstari mmoja unao waamuru muwauwe wasioamini?
Kama utaamua kuianzia mwanzo hiyo sura utaelewa vema bt maelezo yake yanasema hivi >>>>Enyi Waumini! Kumbukeni pale Mwenyezi Mungu alipo wafunulia wale wenye Roho zilio t'ahirika, yaani Malaika, watie ndani ya nyoyo zenu kuwa Mimi ni pamoja nanyi, nakuungeni mkono, na ninakusaidieni, kwa kuwaambia: Zitieni nguvu nyoyo za walio amini, wait'ii Haki na wapigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu. Na Mimi nitaifanya khofu izitawale nyoyo za washirikina, nao watakuogopeni. Nanyi enyi Waumini! Wapigeni vichwani mwao vilio juu ya shingo zao, na kateni vidole vyao vinavyo kamata panga. My name is Green Bird and i am not a terroristQuran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle.
Basi kaka tuelezee huu mstari wa Quran na kama unachosema siyo wanachofanya ISIS
Inalillah huwezi muita muislam mwezako kafiri nahuwezi kuwatetea maadui wauislamu embu soma dini yako vizuriIslamic States ndiyo waislam original,wewe mtoa post ni kafiri tu
maelezo ya (9:29) >>>29. Enyi mlio amini! Wapigeni vita makafiri katika Watu wa Kitabu wasio muamini Mwenyezi Mungu kwa Imani iliyo sawa, wala hawakiri kuwa kuna kufufuliwa na kulipwa, wala hawayashiki aliyo yakataza Mwenyezi Mungu na Mtume wake, wala hawaishiki Dini ya Haki, nayo ni Uislamu. Wapigeni vita mpaka waamini, au watoe Jizya,(1) nao wamenyenyekea na wat'iifu, si wenye kuasi, wasaidie katika kujenga mfuko wa Kiislamu.Quran (9:29) - "Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued." "People of the Book" refers to Christians and Jews. According to this verse, they are to be violently subjugated, with the sole justification being their religious status. Verse 9:33 tells Muslims that Allah has charted them to make Islam "superior over all religions." This chapter was one of the final "revelations" from Allah and it set in motion the tenacious military expansion, in which Muhammad's companions managed to conquer two-thirds of the Christian world in the next 100 years. Islam is intended to dominate all other people and faiths.
Na huu mstari je kaka tueleweshe kama siyo ISIS wanacho fanya ni hiki? Au wao wanampango wao wenyewe?
endelea kudokoa unavyotaka na kuigeuza kurani kwa matakwa yako maelezo ya aya ni>>>> Na pindi tukikadiria tangu azali katika Lauhun-mahfuudh kuwateketeza watu wa mji fulani kwa mujibu wa hikima yetu, basi Sisi huwasalitisha wale walio jidekeza kwa taanusi katika huo mji, wakafanya fisadi zao, wakaacha njia ya Haki, na wakawafuata wenginewe bila ya kutambua, na kwa hivyo huo mji wote tena hapo hustahiki kuangamizwa. Nasi huuangamiza vikubwa mno! My name is Green bird and i am not a terroristQuran (17:16) - "And when We wish to destroy a town, We send Our commandment to the people of it who lead easy lives, but they transgress therein; thus the word proves true against it, so We destroy it with utter destruction." Note that the crime is moral transgression, and the punishment is "utter destruction." (Before ordering the 9/11 attacks, Osama bin Laden first issued Americans an invitation to Islam).
Sasa sijui kama mnasoma Quran nzima lakini hii mistari ipo mingi tu
sura ya kwanza aya ya 183, Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu. na katika bibilia kasome isaya 58 My name is Green bird and I am not a Terroristnionyeshe fungu kwenye qurani imesema watu wafunge ramadhani ama mfungo wa ramadhani?
Basi huujui uislamu wewe.hakika waislam wengi wangekuwa kama mkuu ustadhijuma ,wasio waislam wangeuelewa uislam wa kweli unataka nini na hata idadi ya wanaotaka kusilimu ingeongezeka sana,tatizo waislam wengi ingawa si wote wana mihemko sana juu masuala ya uislam kiasi cha hata kutoona haya kutetea uovu unaofanywa na muumini mwenzake eti kisa ni ndugu yake katika imani,hawa ndio haswa wanaoupaka matope uislam na kuonekana ni dini ya ajabu wakati sio kweli
Ushoga iko sana maeneo ya pwani, ambako wenye imani yako ndy wengi, hata imani yako inasema kila kikichotuna ni suna.
Ukumbuke kanisa lipo kuwasaidia na kuwainua walioanguka dhambini so shoga kupata ubarikio sio tatizo atajuana na mungu wake sio kazi ya kanisa kuhukumu watu.
Yule shoga aliyetikisa clouds tv alilalamika kuwa dau lao kwa sasa limeshuka toka 50,000 hadi 10,000 kwa sababu ya mwezi mtukufu! Next time chunga kauli zasko ndugu. Tatizo mnajaribu kuficha rangi zenu na kuishi kinafiki.Hata iman yako kuitenganisha na ushoga ni vigumu kwa sababu mashoga wamefungamana nayo..hadi ubarikio makanisani wanapata..
Usisahau hilo.
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Uislam unafungamana na Ugaidi wewe unajisumbua tu kuutetea kila mtu anajua vikundi vya kiislamu vya kiuuaji vinavyofanya kazi ya kuua watu wasiokuwa waislamu.
Hayo unayoyasema ni kweli lakini kwa waislamu hawezi wanadharau sana dini zingine na kuwaita wengine MAKAFIRI wakati wao ndiyo MAKAFIRI wakubwa hawapendani wao kwa wao wanauana wao kwa kwao hata misikitini wanaripuana mabomu sasa hawa watu ambao hawapendani wao kwa wao itakuwa ngum sana kuwapenda watu wengine,Cha msingi waislamu waondokane na makundi yao ya kigaidi ambayo yanaua watu wasio na hatia wakati wao wakifurahi kwa visingizio vya kuwa wakienda peponi kwao watapewa mabikira 72 wawabikiri hizi ni fikra Mfirisi kabisa na hazifai katika jamii.ISIS. Si uisilam, ni kupandikiza chuki kwa ndugu wakristo na waislam, ikumbukwe kuna koo zingine, baba mkubwa Mkristo, na mdogo Muislam, wanazikana, kuuguzana, na kupeana misaada, na ushirikiano wote! Sasa, haya yepi, na dunia inapelekwa wapi? Ingefaa sana wakubwa wa dini, wakae pamoja, waiokoe dunia, kila mmoja ashike/afuate lake, na amuheshimu mwenzake, na mambo yake, mihadhara na mahubiri yawe juu ya dini ya mahubiri mwenyewe, asiguse Imani nyingine kwani haimuhusu, wala haiwezi na haijui. kuhukumu, na kuua watu, aachiwe Mungu aliyewaumba.
Huwezi na haitawzekana kuuangalia UISLAM bila kuwaangalia WAISLAMU wanavyo behaveUmenena vema lakini kumbuka kuna waislamu na waumini quran imesema kuwa waumini ndio watakao ingia Jannah usimuangalie muislamu anafanyaje tazama uislamu unatakaje. My name is Greed Bird and I am not a Terrorist
Ww acha kukufuru ndugu yangu, hebu nikuulize swali, hivi kuna mwislamu yeyote ameshawahi kuja kwako akataka kukuua ww au familia yako kwasababu nyinyi ni wakristo?? Hivi ww huna marafiki waislamu na je ukiwa nao unahisi kuuawa muda wote?? Ikiwa hakuna mwislamu amekutishia maisha yako kwaajili ya dini yako kwanini unasema hapa kuwa waislamu ndio wauji. Ni vyema mtu kuelewa watu wenye agenda za kisiasa na kwa mwavuli wa dini. Al shababu ni watu wanaotaka madaraka hakuna kingine. Kama unasema ni waislamu ndio wauaji bila shaka ungekuwa ulishauawa ww siku nyingi maana hapo ulipo ni hakika umezingirwa na waislamu wengi tu.Sasa mbona ukijaribu kufuatilia mauaji ya al-shabab huwa wanaua wakristo pekee hata ukiangalia like basi lililo vamiwa may mombasa walifanya hivyo hivyo
Nimeuliza 2 mana marafiki zangu nmewauliza pia nao wakaniambia waislamu wamegawanyika ktk madhehebu tofaut tofauti na wapo wanao amini hivyoWw acha kukufuru ndugu yangu, hebu nikuulize swali, hivi kuna mwislamu yeyote ameshawahi kuja kwako akataka kukuua ww au familia yako kwasababu nyinyi ni wakristo?? Hivi ww huna marafiki waislamu na je ukiwa nao unahisi kuuawa muda wote?? Ikiwa hakuna mwislamu amekutishia maisha yako kwaajili ya dini yako kwanini unasema hapa kuwa waislamu ndio wauji. Ni vyema mtu kuelewa watu wenye agenda za kisiasa na kwa mwavuli wa dini. Al shababu ni watu wanaotaka madaraka hakuna kingine. Kama unasema ni waislamu ndio wauaji bila shaka ungekuwa ulishauawa ww siku nyingi maana hapo ulipo ni hakika umezingirwa na waislamu wengi tu.
Samahani mkuu ckuwa na nia mbaya nlitaka kujua 2Ww acha kukufuru ndugu yangu, hebu nikuulize swali, hivi kuna mwislamu yeyote ameshawahi kuja kwako akataka kukuua ww au familia yako kwasababu nyinyi ni wakristo?? Hivi ww huna marafiki waislamu na je ukiwa nao unahisi kuuawa muda wote?? Ikiwa hakuna mwislamu amekutishia maisha yako kwaajili ya dini yako kwanini unasema hapa kuwa waislamu ndio wauji. Ni vyema mtu kuelewa watu wenye agenda za kisiasa na kwa mwavuli wa dini. Al shababu ni watu wanaotaka madaraka hakuna kingine. Kama unasema ni waislamu ndio wauaji bila shaka ungekuwa ulishauawa ww siku nyingi maana hapo ulipo ni hakika umezingirwa na waislamu wengi tu.