ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

Acha unafiki wewe wale ndio wanafuata dini ya uislam na watampga yyte ambae anapnga au hatekelezi maandiko!!Eb kakisome kitabu chenu ukimalize ukielewe
AF uje kujibu haya
Kwanini hawataki kuigeuza quaran" kwa lugha za husika kama kiswahili au kingereza n.k ili kila MTU a some aielewe!!mnatetea eti utapunguza swawabu!!
2.Wazinzi wakikamatwa mwanamke inabidi apgwe mawe ,mbona hampgi
3. Wasio waamini uislam mnawaita kafiri,na kadiri yenu kafiri hatakiwi wala Hana haki ya kuishi
Wanachofanya IS wapo sawa kadiri ya maandiko yenu !!Huwez kuyapnga hayo makundi wakati dini yenu ndo inasema hivo!!
Kumbuka tu kilichotokea Kenya!! Wale wanatekeleza kilichoandkwa!!
Zipo Qur'an zilizoandikwa kiswahili.

Kaka ...
 
"ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina" mwisho wa kunukuu.
Inaonyesha kua wanakua Waislamu wenye akili timamu wakishambulia sehemu nyingine ambazo mnaamini ni za makafiri na mnakuja na thread zenye kuwapongeza sana ila leo dogo kakojolea na kunyea godoro la nyumbani mmeamua kumkana.
Lait ningesema muuslam wa kweli hawez kulipua Paris basi watu mngesema wamelipua kwa sababu kuna wakristo nimesema mwislam wa kweli hawezi kulipua madina na bado pia watu mnatafuta sababu ya kupenyeza chuki. Lakin ujumbe umefika Isis,alshabaa,alqaida wanakwenda kinyume na uislam. hawana tofauti na yule kijana wa kizungu alieuwa watu weusi kanisani kwa maono yake mwenyewe na sio kwa dini yake.. Salam
 
Dini yenyewe ilienea na kukua kwa kumwaga damu(jihhad)
wana historia tu watanielewa hapa.
 
...magaidi mwanza wameua watu msikitini!! je uislamu unazungumzaje juu ya hili? kama wao wanafungamana na uislamu kwa nn wanaua mpk waislamu? je wakitega mabomu kwenye magari wanaokufa ni wakristo pekee? maswali haya jiulize ww Mkuu!!
Ndio maana mnaambiwa waislamu muende shule.
 
Asalam Aleikum..!

Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.

Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?

Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.

Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.

Wasalam
.....uchunguzi unaendelea kufanyika lkn mpk sasa pia kuna taarifa kuwa mashia ndo walohusika hivyo ni vzr kunyamaza kimya mpk serikali ya saudia itakapotoa tamko
......
 
Dini yenyewe ilienea na kukua kwa kumwaga damu(jihhad)
wana historia tu watanielewa hapa.
Mi nimesoma Historia na taaluma yangu nimwalimu. nimesoma na kufundisha historia zaidi ya miaka 5 na nashindwa kukuelewa unamaanisha nini labda
 
unajua maana ya jihad?
Naijua vizuri sana, sisi wana historia uislam tunauona kama Arabic culture, ukristo ni Jewish culture, Hinduism ni Indian culture .....hivyo Arabic culture ilienea kwa jihads. West & north Africa ni wahanga wakubwa wa kulazimishwa kuupokea utamaduni wa kiarabu kwa nguvu katika nyakati tofauti.
 
Mi nimesoma Historia na taaluma yangu nimwalimu. nimesoma na kufundisha historia zaidi ya miaka 5 na nashindwa kukuelewa unamaanisha nini labda
Wewe sio mwana historia, usingelishangaa hili sheikh wangu.
 
Naijua vizuri sana, sisi wana historia uislam tunauona kama Arabic culture, ukristo ni Jewish culture, Hinduism ni Indian culture .....hivyo Arabic culture ilienea kwa jihads. West & north Africa ni wahanga wakubwa wa kulazimishwa kuupokea utamaduni wa kiarabu kwa nguvu katika nyakati tofauti.
mwana historia umeshindwa kutofautisha baina ya uislamu na uarabu!
 
mwana historia umeshindwa kutofautisha baina ya uislamu na uarabu!
Sio kosa lako Mkuu, ni elimu. Mbona hujasema kwanini nimeshindwa kutofautisha Hinduism na uhindi? Siwashangai nyie mkianza kutetea jambo hadi kifo. Dressing style, kanzu ulonayo si utamaduni wako, wewe yawezekana ni mzaramo, mmatumbi lakini unatumia kiarabu, ni Arabic culture, eating style na makatazo ya aina ya vyakula unayoyafuata sasa ni Arabic culture, ndoa, maziko, mahari, talaka, miiko, namna ya kuabudu, malezi kwa watoto nk...zote hizo kila kabila la kiafrika kulikuwa na tamadun na namna ya kuvifanya...hayo yote yanajumuisha African traditional religion.
 
Hii imani kuitenganisha na ugaidi ni ngumu kwa sababu magaidi nao wamefungamana nayo.

Hata iman yako kuitenganisha na ushoga ni vigumu kwa sababu mashoga wamefungamana nayo..hadi ubarikio makanisani wanapata..

Usisahau hilo.
 
Sio kosa lako Mkuu, ni elimu. Mbona hujasema kwanini nimeshindwa kutofautisha Hinduism na uhindi? Siwashangai nyie mkianza kutetea jambo hadi kifo. Dressing style, kanzu ulonayo si utamaduni wako, wewe yawezekana ni mzaramo, mmatumbi lakini unatumia kiarabu, ni Arabic culture, eating style na makatazo ya aina ya vyakula unayoyafuata sasa ni Arabic culture, ndoa, maziko, mahari, talaka, miiko, namna ya kuabudu, malezi kwa watoto nk...zote hizo kila kabila la kiafrika kulikuwa na tamadun na namna ya kuvifanya...hayo yote yanajumuisha African traditional religion.
Naomba uniambie weye ni dini gani.?
 
Katika Quran hakuna hicho ulichokieleza ila Quran inasema kwamba Atakaeua nafsi moja isiyo na hatia ni sawa na ameua ulimwengu mzima na atakayeiokoa nafsi moja ni sawa na ameuokoa ulimwengu mzima. Pia quran inasema kuwa tusiwacheke na kuwakejeli wanaoabudu wengine Zaidi ya Allah. sasa sijui hao wanaoua wapate mabikira 72 wanasoma Quran Gani ama wanafata muingozo gani,na nahisi hao unaowasikia wakikupa habari hizo ni wale waislam majina. kumbuka Kuitwa Rashid hakumfanyi mtu kuwa muislam. Shukran
...dah umenikosha Sana, I'm not muslim lakini umeitendea haki dini yako, natamani wengi wangekuwa hivi maana nikishasikia mawaidha mengi ya chuki misikitini mf pale mtambani Na kigamboni, naamini Kuna waislam majina sasa Kama ukisemacho Ni sahihi
 
Asalam Aleikum..!

Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.

Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?

Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.

Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.

Wasalam

Kwahiyo unataka kutuambia kwamba kwenye Quran hamna hata mstari mmoja unao waamuru muwauwe wasioamini?
 
Back
Top Bottom