Ni kweli hao isis sio waislamu kabisa,maana uislamu umekataza kuua kabisa,sasa hao wanaua.Niliangalia kipindi cha why they hate us kilichotayarishwa na farid zakaria wa ccn,ni wazi hao ni mashetaniAsalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
Hao unaoishi nao sio waislamu mkuuwewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Sasa madina kuna nani aliekufuruQuran (8:12) - ". Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole" Hakuna mtu timamu anaweza kutafsiri hii kwa maana ya mapambano ya kiroho.
Waislamu wapi unaishi nao? Baadhi ya waislamu kukosea unauhukumu uislamu? Tofautisha waislamu na uislamu.wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
lengo sio kubishana lengo ni kufahamishana kama umeamua kumuangalia muislamu je tumfuate shia sunni kashabandia qadiria ahmadiyyah ama uislamu? My name is Green Bird and i am not a terroristHuwezi na haitawzekana kuuangalia UISLAM bila kuwaangalia WAISLAMU wanavyo behave
Uko tayari kufahamu hizo aya zimeshuka wakati gani na nini kilipelekea kushuka aya hizo ama unataka nikuache uamini kama unavyoamini.?Quran:
Quran (2: 191-193) - "Na wauweni popote mwakutapo, na waondoeni nje ya maeneo walipo kutoeni; kwani fitina [ya Waislamu] ni mbaya zaidi kuliko kuuwa [wale wasiowaislamu] ... lakini kama wakiacha, basi hakika Na Allah ni Mwenye kusamehe na huruma. Na piganeni nao mpaka isiwepo fitna na mateso, na Dini iwe ya Allah. "
Jaribu kutumia japo saa1 kusoma mafundisho ya kiislam na naamini utajua ni waislam ndio wana mapungufu na sio uislam kamwe. Mi naishi nchi ambayo wakristo ni majority na ninayokumbana nayo ni mengi mabaya bt siwezi kusema kuwa wakristo wote ni wabaya kwa maana najua watu wana mapungufu yao. Juzi tu hapa kuna pasta alisema kuwa Watu weusi waliumbwa kuwatumikia wazungu na alisema msimamo wake unatokana na biblia. Sipendi kuamini ni sahihi kwa maana yawezekana ni jinsi yeye alivyotafsiri bible kwa mtazamo wake. Dini ndo zinatufanya tuishi kwa amani kwa maana bila dini tutaishi zaidi ya wanyamaSamahani lakini. Hivi dini ya kiislam huwa wanafundisha upendo kweli? Mbona kama vile wote wanatabia ya hasira na ubaguzi? Huku pwan utasikia mtoto wa kiislam.simama kiislam wwe sio kafiri....
Na je huwa wanaona mtu ambaye sio mwislam pia kaumbwa na Mungu?