Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,804
Naomba uniambie weye ni dini gani.?
Kafiri huyo
Naomba uniambie weye ni dini gani.?
nionyeshe fungu kwenye qurani imesema watu wafunge ramadhani ama mfungo wa ramadhani?Katika Quran hakuna hicho ulichokieleza ila Quran inasema kwamba Atakaeua nafsi moja isiyo na hatia ni sawa na ameua ulimwengu mzima na atakayeiokoa nafsi moja ni sawa na ameuokoa ulimwengu mzima. Pia quran inasema kuwa tusiwacheke na kuwakejeli wanaoabudu wengine Zaidi ya Allah. sasa sijui hao wanaoua wapate mabikira 72 wanasoma Quran Gani ama wanafata muingozo gani,na nahisi hao unaowasikia wakikupa habari hizo ni wale waislam majina. kumbuka Kuitwa Rashid hakumfanyi mtu kuwa muislam. Shukran
sawa MUFTINOT ALL MUSLIMS ARE TERRORISTS. BUT ALL MUSLIMS SUPPORT, LOVE AND LIKE TERRORISM!
"Enyi mlioamini, mmeandikiwa kufunga kama walivoandikiwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachamungu" (Quran 2:183)nionyeshe fungu kwenye qurani imesema watu wafunge ramadhani ama mfungo wa ramadhani?
Oh you who believe! Fasting is prescribed to you as it was prescribed to those before you, that you many learn piety and righteousness" (Q 2:183)nionyeshe fungu kwenye qurani imesema watu wafunge ramadhani ama mfungo wa ramadhani?
Daah mkuu umeongea jambo jema sana.......Zamani kabla sijaifaham vizur dini yangu nilikuwa na mtindo kama wako wa kupick zile aya/maandiko katika biblia ambayo nilikuwa nayaona kama hayaeweki kisha naanzisha mjadala bila kujua mwanzo wa maandiko hayo na sababu gani yapo. Bt alhamdulillah baad ya kuusoma uislam na kuuelewa nimefahamu kuwa hata hiyo tabia ya kukosoa na kutafuta kasoro katika imani za watu hairuhusiwi na Allah amekataza hivo. so najua one day hata wewe utakuna kuelewa kama kweli unataka kuelewa ila kama umeweka chuki moyoni basi kamwe hutoelewa jambo
dini ya kiislamu inakataza zinaa,tena sio kufanya tu hata kuikurubia,jaribu kuheshimu dini za wenzako maana hapa hakuna alieikashifu dini yako,Kwamba ISIS hawana akili???? Huu ni uongo wa mwendokasi
Kuhusu utumwa wa ngono, kwani dini inakataza??? Nipe vifungu na hadithi.....
Allah says in the Holy Quran Chapter 17 Surah Israa verse 32:Kwamba ISIS hawana akili???? Huu ni uongo wa mwendokasi
Kuhusu utumwa wa ngono, kwani dini inakataza??? Nipe vifungu na hadithi.....
Wahhabism - Wikipedia, the free encyclopediaAsalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
wakilipua paris ama marekani huwa hatuoni post kama hizi....kwakuwa wamelipua madina ndo mnajitokeza
Kasome Quran 2:183-185 utaona ulichouliza.nionyeshe fungu kwenye qurani imesema watu wafunge ramadhani ama mfungo wa ramadhani?
Wewe ni mpumbavu usie kuwa na akili hakuna Muislamu anaeshabikia kuuwauwa wakristo na pia katika quraan tukufu wakristo wanaitwa wakristo. Wale walioitwa makafir ni waarabu waliokuwa wanampinga Mtume kwa kuwaletea maneno ya Mwenyezi Mungu wa haki wakati wao wanataka miungu yao.Hao wanaojilipua ndio makafir na wanadanganywa. Kama wewe unachuki na Uislam na usilazimshe ujinga wako uwe unavyotaka wewe.wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
swali lako ntakujibu kama utaniambia ni nani anaepaswa kufuatwa kati ya Muhammad ibn wahab wa karne ya 18 na Prophet Muhammad (pbuh) .?Wahhabism - Wikipedia, the free encyclopedia
Inaonekana wewe si msomaji na mfuatiliaji wa hawa ISIS na haya makundi ya ISLAMIC EXTREMISM.
Hawa ISIS wanafuata mafundisho ya Sheikh Muhammad ibn Abd al-Wahhab (Wahhabism).
Sasa unaposema hawa watu sio WAISLAMU nakushangaa. Kwa mtu anayejua maana ya WAHHABISM asingesema eti Sio waislamu.
Swali, unajua maana ya WAHHABISM mtoa mada?