ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

Hakuna haja ya kuongea sana juu ya hili,aina ya mtu mtaujua kwa matendo yake,hata kabla ya ISIL,OSAMA nk uuaji na ubaguzi ulifanywa sana,tabia za kibaguzi na za kuiuaji za baadhi ya watu huku mtaani wenye hyo dini yenu ni zaidi hata ya isil,
 
Naonaga post kama hizi pale ambapo waislam wameshambuliwa ila wamewateketeza na kuwatesa kinyama yazzids sijaona matamko kama haya.

Wamefanya mauaji Paris na kwingineko sijaona matamko kama haya zaidi waislam mmekua mkiwapa pongezi kwa kuwaua makafiri na kupigana jihad ya ala leo wanachezea kiwanja cha nyumbani povu jingi.

Shame.
Mchawi akikosa wa kumuwangia huwangia hata wanae,mwizi akikosa la kuiba hujiibia hata mwenyewe,kitendo cha kukubali kuchangamanisha uarabu na tabia zake kuwa ndo uislamu hapa ndo mkenge walipoingia,hivo roho mbaya unafki usaliti ubaguzi ambao ni tabia halisi za kiarabu z imekuwa ndo tabia msingi za dini,na ndo maana utaona mwarabu akipigwa kwa sababu za kisiasa utaona huku bongo watu wanaandamana kupinga wakidhani wanatetea dini,
Oya wenye dini eee ondokeni utumwa ni,tofautisheni dini na uarabu hamtaona ugaidi tena,kinyume na hapo mtachinjana mpaka misikitini,
 
Hahahahaaha
 
Ni ngumu kuwashawish watu kukuelewa sbb vikund ving wapiganaj wake ni muslims km vl is, al-qaeda n.k
2. Watu wanaojilipua weng wanaiman yenu.
Huku mtaan kwet huwa wanashabikia sana makanisa yakichomwa moto au mkristo utasikia safi sana wangeyaua yote tu maka..,,ri.
Hata sakata la mauaji ya msikiti baadh yenu huku walikuwa wanasema ni waki...sto lkn wakiristo hawana hayo mambo ndio maana tunamsemo wa samehe 7x70.
Kipind cha uchomaji wa makanisa kwann hamkutoa tamko la kulaan? Nyiny mkisikia wenu tu mnatoa tamko.
Na pia mahubiri yenu yamejaa chuki, na ubaguzi kwann?
 
Mafundisho ni jambo moja na kifundishwacho ni jambo jingine!
 
Ndo maana nikikutana na binti wa kiislamu, najituma kwelokweli kupoza machungu ya nduguzangu kulipuliwa, cha kushangaza zaidi, Mimi naona nakomoa kumbe wenzangu wa napata Raha
 
Usilamu na Ugaidi ni kitu kimoja, Maana waislamu wakiuwa watu wasio waislamu wameahidiwa pepo na bikira wakisha tenda mauaji. Ndio maana wakishaua wanasema jina la Mungu wao " Allah Akbar' Uislamu na Ugaidi hauwezi kuvitenganisha. Hiyo dini naiogopa sana! Ni hatari sana!
 
mleta mada yuko sahihi na nikweli kabisaa hamna hata aya moja ktk qurani inayotaka watu wauane....na ukisoma vzr historia ya uislamu utagundua maswahaba wengi walikuwa wakiabudia miti na vitu vinginevyo sa lau kama mtume Angekuwa na msimamo kama wa isis wakuua kila asiyekuwa muislam je hao maswahaba Wangeingia vp ktk uislamu maana angewaua wotee!! dini ya uislamu inavyofahamika tofauti na ilivyo na mtu akitaka kuufaham uislam kwa elimu basi ni lzm akae chini asome mfano uislamu unazingatia haqi za jirani ambae si muislam tena haqi hizoo ametufundisha mtume sasa he lau kama mtume angekuwa muuaji kama Osama bin laden je hata hizo haqi za jirani asiye muislam angezifundisha? tafadhali ndugu zetu ktk utu na ubinadamu acheni dhana potofu dhidi ya uislamu!! uislamu haukubaliani kabisa na vitendo vya kigaidi
Kama dini ikasema kuua adui wa mwenyezi mungu ni faida kwa mja(muislam) sawa, na ikaonekana kafir ndiye adui na wale wenye kitabu (wakristo)na mayahudi haiwezekani kusema kuwa uislam siyo ugaidi. Walipiga ufaransa hakuna shida wakipiga saudia kwenye maeneo ya wageni makosa. Kareti miskitini wanafundisha za nini?
 
Sasa kama akiua kafir (kama ulivyosema) Anakwenda peponi, akiua muislam mwenzie anaenda wapi?

Kaka ...
hao wanao waua ni makafri dini inakataza kufungama na kafri, hao wanauawa kwa sababu wanawakaribisha makafri
 
watu hawajui maana ya jihhad mi nawashauri kasomeni vizuri qorani mtaelewa zipo ambazo zimetafriwa kwa kiswahili nenda playstore donld alf soma
 
Kama dini ikasema kuua adui wa mwenyezi mungu ni faida kwa mja(muislam) sawa, na ikaonekana kafir ndiye adui na wale wenye kitabu (wakristo)na mayahudi haiwezekani kusema kuwa uislam siyo ugaidi. Walipiga ufaransa hakuna shida wakipiga saudia kwenye maeneo ya wageni makosa. Kareti miskitini wanafundisha za nini?

Uislamu Unasemaje Juu ya Ugaidi?
Uislamu, Dini ya rehma, hauruhusu ugaidi. Katika Qur-aan, Mwenyezi Mungu Amesema:
“Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni
makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu Huwapenda wafanyao uadilifu.” (Qur-aan, 60:8)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto,[ 90 ]na alikuwa akiwashauri:
((...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.))” [ 91 ]
Alisema pia:
((Mwenye kumuua mtu aliye katika mkataba na Waislamu, hataipata harufu ya Peponi, ingawa harufu yake hupatikana mpaka katika umbali wa mwendo wa miaka arubaini.))[ 92 ]
Kadhalika, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kutoa adhabu ya moto.[93 ]
Kuna wakati aliorodhesha dhambi ya kuua kuwa ya pili miongoni mwa madhambi makubwa,[ 94 ]
hata akatahadharisha hilo juu ya Siku ya Hukumu, (( Kesi za mwanzo kuhukumiwa baina ya watu ka tika Siku ya Hukumu zitakuwa ni zile za umwagaji damu. 95 )) [ 96 ]
Waislamu huhimizwa hata kuwa wakarimu kwa wanyama na wamekatazwa kuwadhuru. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema siku moja:
((Mwanamke aliadhibiwa kwa sababu alimweka paka kifungoni mpaka akafa. Kwa minajili hii, aliangamiziwa Motoni. Wakati alipomweka kifungoni, hakumpatia paka chakula wala kinywaji, wala hakumwacha huru ale wadudu wa ardhini.)) [ 97 ]
Pia alisema kuwa kuna mtu alimpatia kinywaji mbwa aliyekuwa na kiu kikali, hivyo Mwenyezi Mungu Alimsamehe madhambi yake, kwa kitendo hiki. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliulizwa: “Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! Je, sisi hulipwa kutokana na ukarimu wetu kwa wanyama?” Alijibu:
((Kuna malipo kwa ukarimu kwa kila mnyama hai au mwanaadamu.))
[ 98 ]
Zaidi ya hayo, wakati wa kuchinja mnyama kwa ajili ya chakula, Waislamu wameamrishwa kufanya hivyo katika namna inayopelekea hofu ndogo na mateso madogo sana kwa mnyama, kadiri itakavyowezekana. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
((Mnapomchinja mnyama, fanyeni katika njia iliyo bora zaidi. Mchinjaji akinoe kisu chake kwa ajili ya kupunguza mateso ya mnyama.)) [99 ]
Kutokana na mwangaza wa haya na mafundisho mengine ya Kiislamu, kitendo cha kuchochea khofu katika nyoyo za raia wasio na ulinzi, uharibifu wa majengo na mali, ulipuaji mabomu na kuwalemaza wanaume, wanawake na watoto wasio na hatia, yote haya yamekatazwa, tena ni matendo ya kuchukiza kwa mujibu wa Uislamu na Waislamu. Waislamu wanaifuata Dini ya amani, huruma na msamaha, na wengi hawahusiani na matukio ya vurugu ambayo baadhi yamehusishwa na Waislamu. Ikiwa Muislamu mmojawapo atajihusisha na kitendo cha kigaidi, mtu huyo atakuwa katika hatia ya kukiuka sheria za Uislamu.then karate ni mazoezi tu na ikiwa kucheza karate ni ugaidi basi wachina(monk) japanese , Korea wale wote ni magaidi
 
tanbih:
kucheza karate kwa lengo lakuandaa kikundi cha kigaidi jambo hilo halifai ila kufanya mazoezi serikali yetu inatuhimiza kufanya mazoezi
 
Back
Top Bottom