ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

Quran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle.

Basi kaka tuelezee huu mstari wa Quran na kama unachosema siyo wanachofanya ISIS
 
Quran (9:29) - "Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued." "People of the Book" refers to Christians and Jews. According to this verse, they are to be violently subjugated, with the sole justification being their religious status. Verse 9:33 tells Muslims that Allah has charted them to make Islam "superior over all religions." This chapter was one of the final "revelations" from Allah and it set in motion the tenacious military expansion, in which Muhammad's companions managed to conquer two-thirds of the Christian world in the next 100 years. Islam is intended to dominate all other people and faiths.

Na huu mstari je kaka tueleweshe kama siyo ISIS wanacho fanya ni hiki? Au wao wanampango wao wenyewe?
 
Quran (17:16) - "And when We wish to destroy a town, We send Our commandment to the people of it who lead easy lives, but they transgress therein; thus the word proves true against it, so We destroy it with utter destruction." Note that the crime is moral transgression, and the punishment is "utter destruction." (Before ordering the 9/11 attacks, Osama bin Laden first issued Americans an invitation to Islam).

Sasa sijui kama mnasoma Quran nzima lakini hii mistari ipo mingi tu
 
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Huyo muislam anaswali na anauelewa na dini yake unakuta mtu wewe unawasikiliza wale wanaosema mimi dini sikusoma ila maswala ya dini hunidanganyi
 
Quran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle.

Basi kaka tuelezee huu mstari wa Quran na kama unachosema siyo wanachofanya ISIS
Toa kwa kiswahili hata wale wasiojua kingereza waweze kujua kilichoandikwa ili mjadala uweze kueleweka
 
Quran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle.

Basi kaka tuelezee huu mstari wa Quran na kama unachosema siyo wanachofanya ISIS
Ndio maana tunatakiwa tusome kwa maana ya kutambua qur an ipo vip hiyo ni elimu kubwa ndio maana watu kama wewe na isis mnachukua aya kama hiyo na kuupaka tope uislamu ndio maana kuna aya zinaitwa mutashabihati
 
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Lete andiko linalothibitisha unayoyasema sio kubwabwaja maneno ya watu wenye majina yenye asili ya arabuni halafu unatuambia ni waislamu. Kwanza nikuulize swali unajua vigezo vya kiutwa muislamu au unasikia vijiweni?? Hakika wewe hufuati isipokuwa dhana tu, na dhana haifai kitu mbele ya haki.
 
Sasa mbona ukijaribu kufuatilia mauaji ya al-shabab huwa wanaua wakristo pekee hata ukiangalia like basi lililo vamiwa may mombasa walifanya hivyo hivyo
 
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Upo sahihi, wanaungwa mkono na wengi tu duniani pote. Tatizo wanatofautiana namna ya kupokea imani zao. Wengi wamejipa hadhi ya binadamu wa daraja la kwanza na wasafi zaidi. Mungu wao dhaifu kawatuma waipiganie dini yao na kawa-delegate mamlaka ya kuhukumu, kuua, kutesa na kudhulumu binadamu wa "madaraja" mengine pamoja na "makafiri". Wao wana immunity ya dhambi.
 
Quran (8:12) - "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle.

Basi kaka tuelezee huu mstari wa Quran na kama unachosema siyo wanachofanya ISIS
This verse and the verses before and after were revealed about the Battle of Badr, which occurred in Arabia in the early seventh century. A battle in which the pagans of Makkah traveled more than 200 miles to Madinah with an army of about 1000 to destroy Muslims. Prophet Muhammad (peace be on him) and fellow Muslims had suffered severe persecutions and torture for 13 years in the city of Makkah. And now that they had fled Makkah and found a sanctuary in the city of Madinah, they were once again threatened. Kumbuka kuwa jeshi la waislam lilikuwa na wanajesh 300 tu na walitakiwa wapambane na watu 1000 so God Almighty gave the order to Muslims to fight to defend their lives and faith. The enemy came to them with the intent to kill Muslims. It was a war to defend themselves and their Faith. It was a war imposed upon Muslims.
And when you fight, you strive to kill the enemy during the fight.Hata hivyo katika vita Islam has the highest moral law of war. You don't kill children, women or any one who is not fighting with you.
 
Mkuu wewe ni mkweli ila unakosea katika ukosoaji wako.Dini ya uislamu inasema msiwapige wale wasio wapiga vita lau kama wanaleta hoja zao basi nanyi wapeni maibu kwa hoja wala msitumie lugha za kuudhi na matusi kwa sababu nyinyi mkiwatusi na wao watamtukana mola wenu mlezi.So kuna makundi kweli yanapigana na ukafiri ila sisemi kama ukristo ni ukafiri kwa sababu hata Allah anatambua kuwa wakristo(manaswara) wapo na wayahudi so ikiwa yeyote atakayekuwa si muislam akianza kuipiga vita uislamu hatuna budi nasi kujibu mashambulizi ya vita hiyo. Rai yangu ni kuwa hawa jamaa wanapigana jihadi wengi wao wanaleta siasa za kidunia katika dini ndio maana haipatikani suluhu yake asilani abadani.
Hivi unajua Jihadi wewe? Isis anapigana jihadi gani? Hivi umewahi hata kuisoma quran mwanzo mpaka mwisho? Lazima kuna shida na elimu yako ya dini. Ujumbe wa kwenye Quran ni huu, ........mpige anayekupigeni, watoeni kwao wanaokutoeni kwenu mpaka suluhu ipatikane na anayezidi mipaka huyo ndiye dhalimu na Mwenyezi MUNGU hawapendi watu madhalimu.....
 
Wewe ujui unachoongea. Madina kulikuwa na koo nyingi za wayaudi. Alafu wakajua muhamad akija atawamaliza waka mualika na kujisalimisha. Ila muhamad alienda akawafanyia kitu mbaya zaidi ya watusi walichofanyiwa. Sasa jiulize kwanini hakuna wayaudi madina.
Muongo uliyekubuhu wewe. Lete andiko. Bila ushahidi mtu yeyote anaweza kuandika lolote. Halafu Muhammad alivokuja hakukuwa na mwislamu yeyote pale Makka, hivyo, kazi yake ilikuwa ni kuonya watu ambao walikuwa ni makafiri wakati huo baadaye waliamini ndio wakawa waislamu; kama angeliwaua je waislamu wangetoka wapi? Yeye alikuja kwaajili ya watu waovu ili awafundishe wabadilike na sio kuua. Vita vilivyopiganwa vilikuwa ni kwasababu watu walioupokea uislamu walikuwa wanauawa na kufukuzwa majumbani mwao, hivyo ilikuwa ni lazima kwao kujitetea.Haiwezekani kani mtu anakupiga mbata halafu wewe umekaa unamsikilizia tu, ni lazima ujitetee. Nakusisitiza usimuhusishe mtume Mohammad na ukafiri unaofanywa na ISIS
 
Quran (9:29) - "Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued." "People of the Book" refers to Christians and Jews. According to this verse, they are to be violently subjugated, with the sole justification being their religious status. Verse 9:33 tells Muslims that Allah has charted them to make Islam "superior over all religions." This chapter was one of the final "revelations" from Allah and it set in motion the tenacious military expansion, in which Muhammad's companions managed to conquer two-thirds of the Christian world in the next 100 years. Islam is intended to dominate all other people and faiths.

Na huu mstari je kaka tueleweshe kama siyo ISIS wanacho fanya ni hiki? Au wao wanampango wao wenyewe?
The verse 9:29 is a command to fight the Romans and other hostile powers who were planning an invasion against the Muslims in Arabia. In context, it is a distinct response to aggression, in particular the assassination of one of the Prophet’s ambassador..
 
Quran (17:16) - "And when We wish to destroy a town, We send Our commandment to the people of it who lead easy lives, but they transgress therein; thus the word proves true against it, so We destroy it with utter destruction." Note that the crime is moral transgression, and the punishment is "utter destruction." (Before ordering the 9/11 attacks, Osama bin Laden first issued Americans an invitation to Islam).

Sasa sijui kama mnasoma Quran nzima lakini hii mistari ipo mingi tu
Zamani kabla sijaifaham vizur dini yangu nilikuwa na mtindo kama wako wa kupick zile aya/maandiko katika biblia ambayo nilikuwa nayaona kama hayaeweki kisha naanzisha mjadala bila kujua mwanzo wa maandiko hayo na sababu gani yapo. Bt alhamdulillah baad ya kuusoma uislam na kuuelewa nimefahamu kuwa hata hiyo tabia ya kukosoa na kutafuta kasoro katika imani za watu hairuhusiwi na Allah amekataza hivo. so najua one day hata wewe utakuna kuelewa kama kweli unataka kuelewa ila kama umeweka chuki moyoni basi kamwe hutoelewa jambo
 
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Una evidence kutoka katika maandiko ya waislam yanayosema ukimuua kafiri utaenda peponi? MANENO HAYO HAYAPO KATIKA UISLAM ,so mambo mengine ni ushabiki tu wa wtu ...ndugu yangu ukickiliza maneno ya watu pasina kujua maandiko yalivo unaeza mchukia kila mwislam dunian bt pia ukumbuke kuna kitu kinaitwa propaganda .kam huamin Fanya uchunguz private utaprove nayokwambis.
 
The verse 9:29 is a command to fight the Romans and other hostile powers who were planning an invasion against the Muslims in Arabia. In context, it is a distinct response to aggression, in particular the assassination of one of the Prophet’s ambassador..
Ukianzia aya ya 25 sura hiyo hiyo ya 9 mpaka aya ya 29 utagundua kuwa mwanzoni waislamu walipigwa na hao watu. Hivyo katika aya hiyo ya 29 Mwenyezi MUNGU alikuwa natoa mwongozo kwa waislamu wafanye nini juu ya hao waliowapiga mwanzoni. Tena anasema wawapige mpaka watakapo surrender, sio piganeni hadi wabadili dini! Wala sio piganeni hata kama wao wametulia tu! Kwa ufupi maana yake yalikuwa ni mapigano ya piga nikupige sio mtu mmoja kwenda kumchokoza mwenzake. Huyo mtu aliyeleta hiyo aya ni mtu anaetaka kupotosha watu hapa. Inaonekana mleta hoja kacopy na kupaste kwenye website wanakojazana ujinga wakristo wenyewe kwa wenyewe.

Tena neno lililotumika hapo sio wapigeni bali piganeni nao, that means kulikuwa na mapigano.
 
Asalam Aleikum..!

Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.

Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?

Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.

Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.

Wasalam
wakilipua paris ama marekani huwa hatuoni post kama hizi....kwakuwa wamelipua madina ndo mnajitokeza
 
Back
Top Bottom