Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Huyu mzee abdul hajawahi kuwa mwanaume mwenye heshma, imani, mipango... kusema mara mimba walitoa, mara condom ilipasuka sio maadili, pia ni wazi alikua anapuyanga ila hukuhitaji mtoto ndio maana sasa anamdhalilisha kwamba ni mtoto aliyepatikana bila kupanga
Na amewaza kuongea yote sababu sio mwanae kweli na hana uchungu wala upendo kwake
Kwani hyo mama alishawahi kuwa mwanamke mwenye heshima
Angekuwa anajiheshimu asingezungumza masuala hayo kwenye media
Hata mtoto wake huyo esma wote mule mule
Maisha waliyokulia uswz shida dhiki imewaaribu

Ova
 
Nenda kwa dada wa taifa, ndiyo utapata picha kamili kuhusu sakata hili. Haya mambo dada wa taifa alipewaga ubuyu kitambo sana miaka kadhaa nyuma. Lakini hata majirani wa familia hiyo wanajua hilo kitambo tu. Hakuna kiki ila Esma na wivu wake ndiyo kaharibu hali ya hewa. Hili picha lilitakiwa kuja kufumuliwa kwenye reality show ya familia yao kupitia wasafi ili watengeneze pesa. Huyo mzee siyo wa kumwamini mjanja mjanja sana. Ngoja mama Dangote naye apate airtime Kama mzee afunguke kwa marefu na mapana
 
Baba wa familia hawezi ishi kwenye nyumba ya wakwe, akalalia kitanda cha wakwe, akaoga sabuni moja na wakwe.... na bado akapata nguvu za kupasua mpira. Acheni kutetea uzembe buana
Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
 
Nimeishi kariakoo jirani na kwa bibi yake queen baba yake alikua vizuri sana alikua Don kariakoo.... sasa baada ya Nasib kuja kuwa maarufu na kusema kwamba aliishia form3 kwa kukosa ada na nilipojua baba yake ndio baba wa queen nilishangaa kwanini hakumsomesha? Sababu uwezo uliokuwepo

Kumbe mzee baba aligoma kutoa sapota kabisaaa. Na inasemekana alipokua anaishi ukweni mambo yake hayakua mazuri ila sandra akampa sapota na alikua hajali inakotokea... mambo yake yalipoanza kunyooka wakatibuana akahama na hakuwahi toa sapota
Unamjua mama yake qeen aliendaga holland
Alikuwa swahiba sana f.shisha
Uzembe huoo unatokana aina ya wazazi kuwa umjinimjini
Mm pia nimekaa mtaa wa pemba hapo na wakat huo kitu chochote kizuri ilikuwa lazima kipatikana hapo tu kuanzia nguo,viatu,redio etc ndomana wanaume hapo walikuwa wanawangoa wadada ......ndomana mzee abdul kwa sababu ya kupiga pamba na kujua maujanja aliwngoaa
Mambo ya malezi etc wao tu hawakuwa responsible

Ova
 
Abdul alipewa sapota na Sandra akakae kwao akiwa hayupo vizuri, hata interviews zake amekiri maisha ya tandale hayakua mazuri sana na akajigamba yeye ndio alikua baba wa hiyo familia

Mambo yalipomnyookea wakatibuana aliondoka wazima hakuwa hata kukumbuka sapota ya Sandra. Kumhifadhi mtoto wa kike kumhifadhi mwanaume wake ndani ya nyumba anayoishi na wazazi wake ni sapota ambayo wanawake wachache sana wanaweza kuitoakuitoa

Bibi yake nasib mzaa baba yake mzazi anaongea
Mzee abdul kwao mwanzoni ilikuwa pemba street
Nyumba ikauzwaga kifamilia..
Mambo ya mgawo ukaja....
Aliwa support kimtindo huyo mama hawez kukubali kwani nyie wanawake mnakubaligi
Mnachofanyiwa
Zaidi ya kumtia mtoto sumu

Ova
 
Hahaha gelofriend alimhifadhi na kumpa huduma zote za kibinadamu.... mambo mengine wacha Sandra mwenyewe aje aseme na ushahidi wa sapota alizompa
Huyo sandra wako huoni yuko kimya
Ataongea nn mchrk wa zamani

Ova
 
Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
Sandra anaenda kwa kilicho Bora kwa wakati uliopo, mambo ya kesho hayanaga uhakika
 
Mzee abdul kwao mwanzoni ilikuwa pemba street
Nyumba ikauzwaga kifamilia..
Mambo ya mgawo ukaja....
Aliwa support kimtindo huyo mama hawez kukubali kwani nyie wanawake mnakubaligi
Mnachofanyiwa
Zaidi ya kumtia mtoto sumu

Ova
Hivi wewe mrangi unajua nyumba za familia za kariakoo!?

Unadhani kuwa na nyumba pemba street ndio kuwa na pesa? Watu wana nyumba kariakoo wanakuls mlo mmoja kwa siku tena Ugali wa kugongea

Labda muuze mgao ndio utakupa sapota na wakati Abdul wanauza nyumba yao pemba walishatengana na Sandra.
 
Watu mmekaa kabsa mna discuss na wengine kuanza kujifanya na huruma mnaona

Hiv mnadhan yule ricardo momo angeenda tu kujiongelea bila ya mondi kuwa na taarifa zote na kinachoendelea

Au mama dangote angeanza tu kuongea bila kumshirikisha mwanae kuhusu hilo swala

Wabongo mfike mahali na nyinyi muwe mnatumia vichwa vyenu sio mnapelekwa pelekwa kma mpira wa kona
 
Watu mmekaa kabsa mna discuss na wengine kuanza kujifanya na huruma mnaona

Hiv mnadhan yule ricardo momo angeenda tu kujiongelea bila ya mondi kuwa na taarifa zote na kinachoendelea

Au mama dangote angeanza tu kuongea bila kumshirikisha mwanae kuhusu hilo swala

Wabongo mfike mahali na nyinyi muwe mnatumia vichwa vyenu sio mnapelekwa pelekwa kma mpira wa kona
Kwani!?
 
Uwezo wa watanzania kupambanua mambo ni mdgo kma sio mdgo sana

Kesho mond anaweza kuamka akamwita mzee wasaf pale akamuomba msamaha yakaisha watanzania hawa hawa wakafurah tena
 
Back
Top Bottom