Unajua niko curious kujua kilichowachekesha. EMT naona kauchuna.
Ni kwamba nimeongea pumba au?
Kabakabana say something dear.... Acha mambo ya auntie Mamndenyi....lol
mimi yashanishinda ya mapenzi au hujaingia chit chat ukaona?
Kipipi kila siku nakukataza tu short statements twako....lol
From your post yaonesha tupo pamoja kabisa in the initial decisions to make..... Analysis of my answer.... I am impressed! lol
Naangalia what I can neccessarily add hapo... BUT sioni.... Genuinely.... AND Aj... I am humbled from your whole acknowledgement.
Hivi unadhani nitashindwa kukuweka mbali?Mwali..Mwali nimefuatia mtizamo wako!! hahh hh!
Kama nimekulewa vile..!? Lakini subiri...
... hebunieleze unaanzaje kuvunja mahusiano na shemeji yako ... ambye mlikuwa mmezoena ..lakini kama unavyosema ..sasa yameanza kubadilika ... Chukulia huyo shemji yako ndio Mimi ... Unaazaje kuvunja mahusiano na mimi, unaninunuia? ... Utaniita na kunieleza kwa sasa ...kunazia leo ...etc Utanikasirikia..kuonyesha kuwa unaweza kunipush away kwa hasira zako..etc.. Kumbuka wewe unaamini kuwa Hakuna alie kamilika ..Lol
Mwali hebu niweke mbali ...!!!
Hivi unadhani nitashindwa kukuweka mbali?
Kama mabadiliko yametokea kwangu,kwako au kwa rafiki yangu (mpenzi wako) siwezi kukwambia chochote, utaona tu nakua busy kuliko zamani, ukiniita kwa program fulani nakua siko tayari. hata kwa sim, ukinipigia nakwambia subiri, nakupigia sasa hivi alafu sipigi. Ila kama ni swala muhimu la kuhitaji msaada bado nakua avialable (siwezi kuweka hasira kabisa, hasira ya nini sasa wakati aiai marafiki?). Pia nakua mbali kidogo na rafiki yangu (mpenzi wako) hadi nitakapo hisi kua hali haina hatari tena.
Niliuliza tu kilichokuchekesha. Kutaka au kutotaka ukasirike ni irrelevant.
Ni the way ulivyoiweka hiyo sentensi tuu Mkuu. Kwamba it was short as a mini skirt but it covered the essential parts. Some writings are just interesting to read.
Pick your adjective...but bottom line is, it's stupid!
Mimi nina jamaa (acquaintance) ambaye hadi leo hii huwa ananisimulia akilala na mwanamke. Huwa hata siulizi. Anaanzaga mwenyewe tu. Na yuko kwenye mid-upper 30s. Huyo unaweza kweli ukasema yuko mature?
Maana kwangu hayo mambo ni ya shule ya msingi na labda sekondari hadi kwenye form 3 hivi. Akianzaga kunisimulia mimi huwa nasema 'ooh...'aisee'...'duuuh' n.k. Huwa namchora tu halafu kichwani najisemea huyu jamaa kweli bado hajakua! Wengine tulishakua tukayaacha hayo!
Labda anajua unapenda kusikiliza ndio maana anaendelea.
Hehehe mwenyewe utakuta anajua ukifanya hivyo midadi inakupanda. Kama hupendi jaribu kubadili story mambo ya mke wake arudishe kwa mke wake.Kwa kweli sijali either way. Ni kwamba tu hajajishtukia kuwa anachofanya kinamchoresha yeye zaidi kuliko hata hao awaongeleao.
Mtu muelewa angekuwa keshanisoma zamani. Unapomuambia mtu kitu halafu aishie kusema 'ooh'..'aisee'....'daaah'...'hmmm'....ujue kuna walakini hapo.
Well well... Mkihitimisha huu mjadala msisahau kuwaombea wagonjwa. Wanahitaji maombi yenu zaidi na zaidi.