Sisi hatuna time travel sisi tuna time dilation,ya watu wa pangoni ni time dilation.
Na mola wetu ufanyaji wake wa matendo hauziuiwi au haufati hizi kanuni za ulimwengu.
Ndio maana matukio ya kama hayo,unaya kuta kwa mja mwema Uzair aliye lala miaka mia moja akakuta au akahisi kama alilala siku moja au safari ya mtume ya Israa wa al Miraaj ina onyesha hivyo.
Na siku moja ya Mola wetu ni sawa na miaka elfu moja kwetu,kwahiyo utaona kabisa kwbaatukio hayo yalikuwepo ndani ya wakati.
Nakupa swali,je unaweza kuelezea Time Travel kwa matukio yaliyo pita ?