Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

Hapana sijabadikisha jambo hapo hii experiment wamewahi kuifanya jeshi la marekani in the middle of the ww11 inaitwa project rainbow na ilifanikiwa kwa chini ya 50% pamoja kutofanikiwa kwa 100% ila iliweza kupruv kwamba ni possible kushafiri muda na ku teleport[/QUOTE]Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie
 
Gari kutumia March 3 ukasimama mbele yake utagongwa tu.
Gari kutumia March 7 ukasimama mbele yake utagongwa tu.
Gari kutumia March 15 onward ukasimama mbele yake what will happen
Uzito na Upana vina play part gani katika time travel in relation to Light!?.
Unahisi Time Travel ni kuhusu Spidi ya kukimbia tu!?.🙂
Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie
 
ankai It's not about kupata mechanism Ila it's about to understand first
Kwa wote walioelewa wamekwishajua wapi tunakwama sasa or wapi tunaishia
Just try to understand first before kufanya majaribio yako
Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie
 
Umeelezea Vizuri sana..
Yeah Kumbe unaweza Ukasafiri Mbele ya Muda...
Hii naweza kufananisha kidogo na Zile Ndege za kivita zinazokimbia kuliko Sauti...Inapita ndio Sauti inafuata.
Changamoto je tutaweza kutengeneza chombo Chenye speed kuliko muda?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie
 
Umenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that are Caesar's; and to God the things that are God's. Haya ni ya Caesar:

I do believe in time traveling as a scientist but we don't have the technology to make it happen. Kipinidi na present, nakumbuka walikuja professors from Cambridge, walikuwa impressed sana na kazi yangu. Moja ya vitu nilivyoongelea ni aliens... Kwenye my study room kwenye apartment nina post imeandikwa I want to believe. Wengi nina imani mnajua hi post imetoka wapi. Nirudi kwenye mada yako. Wakati namaliza presentation nilitoa Mfano mmoja.

Ukipiga risasi, inaenda baadae inarudi chini(cause of gravity). Nikasema kama tungeongeza speed ya hii bullet risasi ingezunguka Dunia na kurudi pale pale ilipotoka, the loop will never end if the speed is constant. Fikiria free fall eg (satellites orbiting the Earth). Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.

Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension. Kuna professor mmoja wa Physics nilibahatika kumuona mall flani nchi ninayosoma. Nilikuwa nimepoteza coin, sio Bei kubwa Kama 2000 ya kibongo, sasa nalipia nikakuta sina coins na budget haikuruhusu. Ningetoa hela nyingine that means usafiri mpaka home ni bus na kwa mimi nina rangi nyeusi sio salama. Ikabidi nirudi kupunguza vitu, mzee akaniambia atanilipia. Then akaniuliza ever thought of having the ability to go back in time and get back your lost money? Yaliyofuata ni moja ya vitu ambavyo sitavisahau.

Alianza na kuniambia kuwa na yeye ni religious... Then he went on, have you ever thought of another dimension? Have you ever asked yourself what's real? Do you think time exists? If it does, is it a straight line without a loop? What happens if we reach the end of the loop? Aliongea sana na akanitoa coffee [emoji4] na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.

TL;DR time travel is possible with the help of speed. Run fast enough and everything around you stops, run faster and everything around you will start reversing.

P.s I wish Tanzania tungeanzisha research facilities. Ila tuna Mambo mengi, watoto hawana madawati.

-callmeGhost
Kwa nn hukutaka kwenda chuon kwake ukaone vitu
 
Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie

Unaamini Katika dini..?

Na Kama jibu ni ndio ni ipi..? Ili tupate msaada wa kutolea mifano wa kitu tutakachojaribu kujifunza
 
Labda tunge refer ndege ya kimarekani iliyopotea miaka 37 ikapatikana venezuela.iyo inaweza ikawa time travel?
 
...Time travel ni Concept za Filamu tu!
Ndio maana kwenye Time Cop ya Van Damme mwizi alisoma story ya dhahabu nyingi iliyopata kusafirishwa kutoka mji mmoja USA kwenda Benki makao makuu ya nchi.
Jamaa akasoma eneo walikopitia, akajizatiti kwa silaha za kisasa na kuingia kwenye Time travel mashine na kutokea kwenye barabara iliyokuwa inatumiwa kusafirisha mzigo.
Shughuli ikawa ndogo kutokana na Askari waliokuwa wanalinda mzigo kuwa wanatumia magobore ya karne ya 18 wakati jamaa anatumia mashine za Karne ya 20!
Jamaa akachukua mzigo kirahisi na kurudi duniani karne ya 20!
Ukweli hizi ni concept za sinema tu. Ingewezekana kweli, mimi ningependa ku travel back in time hadi 9 disemba 1961 kumuona Mwl Nyerere akibidhiwa Uhuru wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapinduzi mengi ya kisayansi huanza kama uchawi then inakuja kuwa myth then inakuwa concept mpaka mwisho jambo linakuja kugundulika... Time travel is possible coz theory imesha kamilika vilivyo na DOD (the pentagon) wanafanya experiment kila kukicha (pengine wamekwishamaliza)...

wengi wetu tunao argue its possibility tunaiangalia from the 3rd person's perspective na siyo suala lenyewe na uwezekano wake kwa mapana yake...
 
Its possible but the human body can't operate on different frequency of dimension.

Most beings tries inception & end up confused to identify their original timeline.

To understand this your brain must be in use to a higher percentage than usual.
 
Hapana sijabadikisha jambo hapo hii experiment wamewahi kuifanya jeshi la marekani in the middle of the ww11 inaitwa project rainbow na ilifanikiwa kwa chini ya 50% pamoja kutofanikiwa kwa 100% ila iliweza kupruv kwamba ni possible kushafiri muda na ku teleport
Dah! yaani toka vita ya pili ya dunia hakuna update ya experiment nyingine iliyofanywa kuhusu hii theory? pia kufanikiwa chini ya 50% kuna prove kitu gani hapo? Mimi naona ni sayansi isiyo halisi.
 
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...

ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli pwa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.

Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.

kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema

Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunchoona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa

Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona

Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti

Mwanaga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa

Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)

Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.

How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie

Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(light) unauwezo wa kufreez time au kutravel kabisa time

Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipo

CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita

Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)

Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka

Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW

NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU

kingo inversio inaexplain well hii concept
Wanasayansi maranyingi mambo huyatoa katika vitabu vya muongozo(dini)
Time travel imezungumzwa katika Quran sura inayoitwa "watu wa mapangoni"
Kwa ufupi ilielezwa na mungu mwenyewe kuwa kuna watu walilala kwa nusu siku walipoamka kuenda kununua misosi gulioni wakaona mabadiliko na pia katika exchange kwenye pesa na bidhaa muuzaji akagundua pesa wanayoitumia ni ya miaka 300+ iliyopita
Muuzaji akawabana akawauliza kua jamaa huenda kagundua hazina "pesa ya zamani Kama hii umeipata wapi"
Akajibu "yazamani!!???"
Baada ya purukushani za kutaka kuoneshwa hazina......wakajigroup kuomba mungu warudi back in time kwa sababu hakuna atakae amini.
Sasa hii story aliisoma einstern AKAIELEZEA kwa mtindo wa QUANTUM LEVEL.
sio hayo tuu Bali hata kuhusu expansion of ulimwengu
Mungu alisema tumeweka mbingu saba na tunazidi kuzitanua.
Einstern akaipata bwana akatuletea tabu aisee.
Akizungumza einstern watu Wana amini lakini akizungumza mungu watu hawaamini.
Mungu alisema mbingu zipo thabiti na ndo maana Leo tunaona post humu hamisi forum kuwa hakuna alietoboa kufikia mwezini
NIMEMALISA
 
Daah mzee hyo sura ya QURAN noma sana asante kwa kunijuza ngoja nika ichimbe
 
Back
Top Bottom