Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Kingredha kigumu
Umenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that are Caesar's; and to God the things that are God's. Haya ni ya Caesar:
I do believe in time traveling as a scientist but we don't have the technology to make it happen. Kipinidi na present, nakumbuka walikuja professors from Cambridge, walikuwa impressed sana na kazi yangu. Moja ya vitu nilivyoongelea ni aliens... Kwenye my study room kwenye apartment nina post imeandikwa I want to believe. Wengi nina imani mnajua hi post imetoka wapi. Nirudi kwenye mada yako. Wakati namaliza presentation nilitoa Mfano mmoja.
Ukipiga risasi, inaenda baadae inarudi chini(cause of gravity). Nikasema kama tungeongeza speed ya hii bullet risasi ingezunguka Dunia na kurudi pale pale ilipotoka, the loop will never end if the speed is constant. Fikiria free fall eg (satellites orbiting the Earth). Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.
Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension. Kuna professor mmoja wa Physics nilibahatika kumuona mall flani nchi ninayosoma. Nilikuwa nimepoteza coin, sio Bei kubwa Kama 2000 ya kibongo, sasa nalipia nikakuta sina coins na budget haikuruhusu. Ningetoa hela nyingine that means usafiri mpaka home ni bus na kwa mimi nina rangi nyeusi sio salama. Ikabidi nirudi kupunguza vitu, mzee akaniambia atanilipia. Then akaniuliza ever thought of having the ability to go back in time and get back your lost money? Yaliyofuata ni moja ya vitu ambavyo sitavisahau.
Alianza na kuniambia kuwa na yeye ni religious... Then he went on, have you ever thought of another dimension? Have you ever asked yourself what's real? Do you think time exists? If it does, is it a straight line without a loop? What happens if we reach the end of the loop? Aliongea sana na akanitoa coffee [emoji4] na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.
TL;DR time travel is possible with the help of speed. Run fast enough and everything around you stops, run faster and everything around you will start reversing.
P.s I wish Tanzania tungeanzisha research facilities. Ila tuna Mambo mengi, watoto hawana madawati.
-callmeGhost
Mkuu umeongea vitu viwili tofauti kwa ni time differences btn two oint and second ni time reverse @certain point mfano niko apa kimara ni saa mojs asubuhi nipe process mimi niliye apa kimara still nikiwa apa kimara niweze kureverse time iwe saa kumi na mbili asubuhi mimi nikiwa bado niko bado niko apa apa kimara bila kumove ni mechanism gani ninayoweza kutumia mzee kwa sababu ukisema uifanye brain yako iflash zile time zilizopita iyo haitakuwa time travel bali ni flashback so mkuu to me kureverse time ni impossible hsiwezekani kinachowezekana ni kuflashback mind through time and action, yaani kumfanya mtu akumbuke kitu ambacho kimepita mfupi uliyopita ambach alikuwa amekisahau ama kumfanya ayaone yale mazingira ya sehemu fulan aliyopita muda fulan uliopita lakini siyo kuyafanya msjira yarudi nyuma mzee hili liko nje ya uwezo wa mwanadamu kaka na halitakaa liwezekane couse ili iwezekane ni lazima kubadirisha panel nzima ya solar system, bt kuna mfano mmoja umetoa kuhusu gar na maspeed mengi hii iko ivi ni kweli kama gari itatumia mach 0 kuround the earth mwadamu kwa macho ya kawaida hawezi kuona kama lili move bt iyo siyo time travel bali ni speed reconciliation tu kivipi ilo gari litatumia mach 0 lakini haliwezi kurevese ya eneo lilipo mfano ni saa nne kamili asubuhi stil ilo gari likimaliza kuzunguks dunia bado likirudi lilipo anzia litakuta ni saa nne kamili asubuhi na wala haitokuwa saa tatu na dakika 59 asubuhi so time reverse haiwezekani bt speed reconciliation or speed magnification inawezekana mzee bt not time reversing or time travellingOne dream
One boat ...
Kumbe tupo wengi ...
But what will we do for our country ..
Mkuu unipe mechanism ambayo ninaweza kuapply kuwa mimi niliye apa tegeta asubuhi hii nitravel time yangu na nikiwa apa apa tegeta mimi nifike kesho wakati wengine bado wako leo apa tegeta ama nifike jana wakati wengine bado wako leo apa apa tegeta maani hiyo ndo tunaweza kuita time travelling kitu ambacho ni kigumu sana na hakitokaa kitokee ata siku moja ivi vingine kama time flashback, speed reconciliation, time differences btn two points ni vtmya kawaida n ni applicable in our daily life lakini kuyapeleka mbele ama kuyarudisha nyuma majira ni ngumu na haiwezekana mkuu ila unaweza kushare nami iyo mechanism unayoifikiria kwamba inaweza kutumika apa mkuu, kuyareverse majira ni ngumu sana mzee couse itaitaji kuidisturb panel nzima ya solar system kitu ambacho hakiwezekaniUmenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that are Caesar's; and to God the things that are God's. Haya ni ya Caesar:
I do believe in time traveling as a scientist but we don't have the technology to make it happen. Kipinidi na present, nakumbuka walikuja professors from Cambridge, walikuwa impressed sana na kazi yangu. Moja ya vitu nilivyoongelea ni aliens... Kwenye my study room kwenye apartment nina post imeandikwa I want to believe. Wengi nina imani mnajua hi post imetoka wapi. Nirudi kwenye mada yako. Wakati namaliza presentation nilitoa Mfano mmoja.
Ukipiga risasi, inaenda baadae inarudi chini(cause of gravity). Nikasema kama tungeongeza speed ya hii bullet risasi ingezunguka Dunia na kurudi pale pale ilipotoka, the loop will never end if the speed is constant. Fikiria free fall eg (satellites orbiting the Earth). Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.
Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension. Kuna professor mmoja wa Physics nilibahatika kumuona mall flani nchi ninayosoma. Nilikuwa nimepoteza coin, sio Bei kubwa Kama 2000 ya kibongo, sasa nalipia nikakuta sina coins na budget haikuruhusu. Ningetoa hela nyingine that means usafiri mpaka home ni bus na kwa mimi nina rangi nyeusi sio salama. Ikabidi nirudi kupunguza vitu, mzee akaniambia atanilipia. Then akaniuliza ever thought of having the ability to go back in time and get back your lost money? Yaliyofuata ni moja ya vitu ambavyo sitavisahau.
Alianza na kuniambia kuwa na yeye ni religious... Then he went on, have you ever thought of another dimension? Have you ever asked yourself what's real? Do you think time exists? If it does, is it a straight line without a loop? What happens if we reach the end of the loop? Aliongea sana na akanitoa coffee [emoji4] na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.
TL;DR time travel is possible with the help of speed. Run fast enough and everything around you stops, run faster and everything around you will start reversing.
P.s I wish Tanzania tungeanzisha research facilities. Ila tuna Mambo mengi, watoto hawana madawati.
-callmeGhost
Gari kutumia March 3 ukasimama mbele yake utagongwa tu.Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.
Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension.
Hahaha,naona mnazidi kubadilika badilika. Lile jibu lako la jana nililikalia kimya sababu sababu ulichokiandika kwenye mada na jibu ulilolitoa ni vitu viwili tofauti.Its possible in laboratory lakini!
Hili sio jibu linalo husiana na hii mada.Los Angeles now ni Friday saa 7:00 mchana. Wakati Melbourne Australia ni Jumamosi saa 1:00 asubuhi..ukisafiri kwa fighter jet yenye kasi kwa 4hrs. Utafika Los Angeles Friday saa 11 jion..TIME TRAVEL hiyo back in Time..umetoka jumamosi asubuh umefika ijumaa jion
Tatizo kubwa linalowakumba wanasayansi ni kutokuwa kujua ya kuwa kuna mambo kiuhalisia hayawezekani. Sasa kutokujua kwao huko kunapelekea kuanza kusema uongo kwa kutunga mambo ambayo kuyajengea hoja za kielimu wanashindwa.ankai It's not about kupata mechanism Ila it's about to understand first
Kwa wote walioelewa wamekwishajua wapi tunakwama sasa or wapi tunaishia
Just try to understand first before kufanya majaribio yako
Hii siyo sawa mkuu,ni sawa na useme ukifika los angels hiyo saa 11 jioni ijumaa basi utaweza kurudia matukio ya austaria ya jumamosi,au utayaona upya...yaani ina maana kama mtu alikufa austaralia bssi ukienda los angels atakuwa hai.Los Angeles now ni Friday saa 7:00 mchana. Wakati Melbourne Australia ni Jumamosi saa 1:00 asubuhi..ukisafiri kwa fighter jet yenye kasi kwa 4hrs. Utafika Los Angeles Friday saa 11 jion..TIME TRAVEL hiyo back in Time..umetoka jumamosi asubuh umefika ijumaa jion
Hapana sijabadikisha jambo hapo hii experiment wamewahi kuifanya jeshi la marekani in the middle of the ww11 inaitwa project rainbow na ilifanikiwa kwa chini ya 50% pamoja kutofanikiwa kwa 100% ila iliweza kupruv kwamba ni possible kushafiri muda na ku teleportHahaha,naona mnazidi kubadilika badilika. Lile jibu lako la jana nililikalia kimya sababu sababu ulichokiandika kwenye mada na jibu ulilolitoa ni vitu viwili tofauti.
Sasa jambo hilo hata maabara haliwezekani. Jalia maabara liliwezekana kwanini katika hali halisi lisiwezekane ?
Pili,nielezee hilo tukio au hayo majaribio ya Time Travel wali ya conduct vipi in laboratory ?
Nipo.......
Umemaliza kaz!Mkuu umeongea vitu viwili tofauti kwa ni time differences btn two oint and second ni time reverse @certain point mfano niko apa kimara ni saa mojs asubuhi nipe process mimi niliye apa kimara still nikiwa apa kimara niweze kureverse time iwe saa kumi na mbili asubuhi mimi nikiwa bado niko bado niko apa apa kimara bila kumove ni mechanism gani ninayoweza kutumia mzee kwa sababu ukisema uifanye brain yako iflash zile time zilizopita iyo haitakuwa time travel bali ni flashback so mkuu to me kureverse time ni impossible hsiwezekani kinachowezekana ni kuflashback mind through time and action, yaani kumfanya mtu akumbuke kitu ambacho kimepita mfupi uliyopita ambach alikuwa amekisahau ama kumfanya ayaone yale mazingira ya sehemu fulan aliyopita muda fulan uliopita lakini siyo kuyafanya msjira yarudi nyuma mzee hili liko nje ya uwezo wa mwanadamu kaka na halitakaa liwezekane couse ili iwezekane ni lazima kubadirisha panel nzima ya solar system, bt kuna mfano mmoja umetoa kuhusu gar na maspeed mengi hii iko ivi ni kweli kama gari itatumia mach 0 kuround the earth mwadamu kwa macho ya kawaida hawezi kuona kama lili move bt iyo siyo time travel bali ni speed reconciliation tu kivipi ilo gari litatumia mach 0 lakini haliwezi kurevese ya eneo lilipo mfano ni saa nne kamili asubuhi stil ilo gari likimaliza kuzunguks dunia bado likirudi lilipo anzia litakuta ni saa nne kamili asubuhi na wala haitokuwa saa tatu na dakika 59 asubuhi so time reverse haiwezekani bt speed reconciliation or speed magnification inawezekana mzee bt not time reversing or time travelling
Hayo mambo hayapo, assume Mimi nimekaa kwenye chumba self miaka 50 huduma zote napata humo chumbani sio mateka lakini sitoki nje. Nasubili kama kuna fala anaeweza kurudi past miaka hata ishirini atukute wawili(Mimi nikiwa past na Mimi Niko present nijione nikiwa past) maana na Mimi ntakua palepale lakini Mimi Niko present.One dream
One boat ...
Kumbe tupo wengi ...
But what will we do for our country ..
Hayo mambo hayapo, assume Mimi nimekaa kwenye chumba self miaka 50 huduma zote napata humo chumbani sio mateka lakini sitoki nje. Nasubili kama kuna fala anaeweza kurudi past atukute wawili(Mimi nikiwa past na Mimi Niko present nijione nikiwa past) maana na Mimi ntakua palepale lakini Mimi Niko present.
Umenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that are Caesar's; and to God the things that are God's. Haya ni ya Caesar:
I do believe in time traveling as a scientist but we don't have the technology to make it happen. Kipinidi na present, nakumbuka walikuja professors from Cambridge, walikuwa impressed sana na kazi yangu. Moja ya vitu nilivyoongelea ni aliens... Kwenye my study room kwenye apartment nina post imeandikwa I want to believe. Wengi nina imani mnajua hi post imetoka wapi. Nirudi kwenye mada yako. Wakati namaliza presentation nilitoa Mfano mmoja.
Ukipiga risasi, inaenda baadae inarudi chini(cause of gravity). Nikasema kama tungeongeza speed ya hii bullet risasi ingezunguka Dunia na kurudi pale pale ilipotoka, the loop will never end if the speed is constant. Fikiria free fall eg (satellites orbiting the Earth). Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.
Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension. Kuna professor mmoja wa Physics nilibahatika kumuona mall flani nchi ninayosoma. Nilikuwa nimepoteza coin, sio Bei kubwa Kama 2000 ya kibongo, sasa nalipia nikakuta sina coins na budget haikuruhusu. Ningetoa hela nyingine that means usafiri mpaka home ni bus na kwa mimi nina rangi nyeusi sio salama. Ikabidi nirudi kupunguza vitu, mzee akaniambia atanilipia. Then akaniuliza ever thought of having the ability to go back in time and get back your lost money? Yaliyofuata ni moja ya vitu ambavyo sitavisahau.
Alianza na kuniambia kuwa na yeye ni religious... Then he went on, have you ever thought of another dimension? Have you ever asked yourself what's real? Do you think time exists? If it does, is it a straight line without a loop? What happens if we reach the end of the loop? Aliongea sana na akanitoa coffee [emoji4] na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.
TL;DR time travel is possible with the help of speed. Run fast enough and everything around you stops, run faster and everything around you will start reversing.
P.s I wish Tanzania tungeanzisha research facilities. Ila tuna Mambo mengi, watoto hawana madawati.
-callmeGhost
Kuna Uzi m1 upo humu unaitwa Je, tupo wenyewe kwenye ulimwengu? Season finale, Ep 3 (time reference..) - JamiiForumsHahaha,naona mnazidi kubadilika badilika. Lile jibu lako la jana nililikalia kimya sababu sababu ulichokiandika kwenye mada na jibu ulilolitoa ni vitu viwili tofauti.
Sasa jambo hilo hata maabara haliwezekani. Jalia maabara liliwezekana kwanini katika hali halisi lisiwezekane ?
Pili,nielezee hilo tukio au hayo majaribio ya Time Travel wali ya conduct vipi in laboratory ?
Nipo.......
Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.