Time paradox

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma.

Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza akasafiri muda na kwenda mwaka 1900 akawakuta watu wazamani mabibi na mababu walivyo kua wana fanywa na wakoloni.

Hii dhana ipo kama theory tuh lakini utekelezaji wake kisayansi bado, sababu hakuna teknolojia ya kuweza kufanikisha kusafiri muda.

Kwa sababu ili uende past unatakiwa walau ukimbie kwa asilimia 25 ya mwendokasi wa mwanga ambao unakadiriwa kua trioni tatu, kutokana na sabahu hiyo basi utekelezaji wake unakua wa nadharia huku binadamu akisubiri teknolojia ikue ili vipatikane vifaa vya utekelezaji huu!

Wakatu tunasubiti teknoloji ikue, ipo terminology ambayo wengi wasio amini uwezekano wa time travel wanaitumia ya TIME PARADOX.

TIME PARADOX, kwa tafasiri ya chapchap, ni fumbo la muda.

Kwa mfano, binadamua mwenye miaka 23 yaani ame zaliwa mwaka 2000 aka safiri muda hadi mwaka 1994 kipindi ambacho hajazaliwa bado akamtafuta mama yake ambae ata mzaa yeye baada ya miaka sita na kumuua.

Hivyo mama yake anakua ame fariki miaka 6 sita kabla ya yeye kuzaliwa Je? yeye ataedelea kuwepo au, atakua hajazaliwa sababu mama yake alikufa kabla ya kumzaa? Na kama atakuwepo ata endelea kuwepo je atakua ame zaliwa na nani?

Mpaka mwaka 2015, hapakua na theory yenye majibu yalio nyooka yanayo solve time paradox za namna hii time paradox.

Mwaka 2016, Maxwell Adventure, Raia wa Ismir Uturuki, Fundi wa Phisikia alie bobea kwenye theory za Einstein hususa masuala ya Relativity alikuja kutegua kitendawili hiki na theory ya Multivesal and Multiple reality!

Kwa wale wapenda Super Heroes movies kutoka Marvel na DC basi neno MULTIVESAL AND MULTIPLE REALITY sio geni, refer Doctor Strange The Madness of Multivelsa, Spider Man ya mwisho The flash Movie hii iliyo toka juzi.

Multivelsal and Multiple reality theory ina sema hivi " Muda sio dimension iliyo nyooka kama rula, pia muda una multi dimension, kwa maana kwamba unaposema Now(sasa), Zamani(past) na baadae(future) vyote vipo kwa wakati mmoja, na vina fanyika kwa wakati mmoja utofauti ni space Dimension.

Well!

Kama hukua unaelewa Physics na Superhero movies sio vitu vyako ishia tu hapa!😂😂😂

Na recal story line ya Berry Allen(Flash) wakati akiwa na umri mdogo mama Yake ali uliwa na Reverse flash (huyu ni velein) wakutoka Dimension ya timelime tofauti na hii ya Earth 22, ambayo ndio hii tuliopo ila zipo dimension zisizo hesabika zinazo fanya kuwe na Eath zisizo hesabika na kila moja na reality yake.

Kisa cha Reverse flash kumuua mama yake Barry sita zungumzia hapa!

Baada ya miaka kibao Barry Alln kua mtu mzima na kupata pawer na kuwa Fastest man akive ana pata shahuku ya kujua alie muua mama yake na anataka apate namna kufanya mama yake asi uliwe!

Hapo ndio anapo jipata kwenye mtego wa Multivelsal multiple reality.

Unapo badiri chochote kutoka past kinacho athiri kwa namna yoyote present na future unacho kifanya sio kubadiri past na kuathiri present na future bali una swich reality na kwenda kwenye universe na reality ambayo ina match na kile ulicho badiri ila teality hii inabaki kama ilivyo.

Nia Flash ilikua ni kubadiri uzembe ulio tokea na kupelekea mama yake kuwawa ili awe nae present, ila badala yake alijikuta kwenye Universe yenye Flash mwingine ambae reality yake ni kua mama yake yu hai.

Hivyo hata ukisafiri muda kwenda kuokoa ajari iliyo chukua uhai wa mpendwa wako, basi hato kufa kw ajari hiyo ataishi, ila sio kwenye reality hii.

Ndio kusema kuna reality ambazo kanumba yupo hai, kuna reality ambazo wewe na bebi wako hamja achana kuna reality Magu bado ana tumbua majipu, zipo reality Baba wa taifa bado ana hutubua taifa kila mwisho wa mwezi.

TIME PARADOX.
 
ipo nadharia ya kusafiri muda,(time traveling) maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma,

Yaani kama leo ni 2023 binadamu anaweza akasafiri muda na kwenda mwaka 1900 akawakuta watu wazamani mabibi na mababu walivyo kua wana fanywa na wakoloni,

Hii dhana ipo kama theory tuh lakini utekelezaji wake kisayansi bado, sababu hakuna teknolojia ya kuweza kufanikisha kusafiri muda.

Kwa sababu ili uende past unatakiwa walau ukimbie kwa asilimia 25 ya mwendokasi wa mwanga ambao unakadiriwa kua trioni tatu,

Kutokana na sabahu hiyo basi utekelezaji wake unakua wa nadharia huku binadamu akisubiri teknolojia ikue ili vipatikane vifaa vya utekelezaji huu!,

Wakatu tunasubiti teknoloji ikue ipo terminology ambayo wengi wasio amini uwezekano wa time travel wanaitumia ya TIME PARADOX,

TIME PARADOX kwa tafasiri ya chapchap ni fumbo la muda,

Kwa mfano binadamua mwenye miaka 23 yaani ame zaliwa mwaka 2000 aka safiri muda hadi mwaka 1994 kipindi ambacho hajazaliwa bado akamtafuta mama yake ambae ata mzaa yeye baada ya miaka sita na kumuua,
Hivyo mama yake anakua ame fariki miaka 6 sita kabla ya yeye kuzaliwa Je? yeye ataedelea kuwepo au, atakua hajazaliwa sababu mama yake alikufa kabla ya kumzaa?

Na kama atakuwepo ata endelea kuwepo je atakua ame zaliwa na nani?

Mpaka mwaka 2015 hapakua na theory yenye majibu yalio nyooka yanayo solve time paradox za namna hii time paradox ..

Mwaka 2016 Maxwell Adventure Raia wa Ismir Uturuki Fundi wa Phisikia alie bobea kwenye theory za Einstein hususa masuala ya Relativity alikuja kutegua kitendawili hiki na theory ya Mutivesal and Multiple reality!

Kwa wale wapenda Super Heroes movies kutoka Marvel na DC basi neno MULTIVESAL AND MULTIPLE REALITY sio geni, refer Doctor Strange The Madness of Multivelsa, Spider Man ya mwisho The flash Movie hii iliyo toka juzi,

Multivelsal and Multiple reality theory ina sema hivi " Muda sio dimension iliyo nyooka kama rula, pia muda una multi dimension, kwa maana kwamba unaposema Now(sasa) ,Zamani(past) na baadae(future) vyote vipo kwa wakati mmoja, na vina fanyika kwa wakati mmoja utofauti ni space Dimension

Well!

Kama hukua unaelewa Physics na Superhero movies sio vitu vyako ishia tu hapa!😂😂😂

Na recal story line ya Berry Allen(Flash) wakati akiwa na umri mdogo mama Yake ali uliwa na Reverse flash (huyu ni velein) wakutoka Dimension ya timelime tofauti na hii ya Earth 22 , ambayo ndio hii tuliopo ila zipo dimension zisizo hesabika zinazo fanya kuwe na Eath zisizo hesabika na kila moja na reality yake

Kisa cha Reverse flash kumuua mama yake Barry sita zungumzia hapa!

Baada ya miaka kibao Barry Alln kua mtu mzima na kupata pawer na kuwa Fastest man akive ana pata shahuku ya kujua alie muua mama yake na anataka apate namna kufanya mama yake asi uliwe!

Hapo ndio anapo jipata kwenye mtego wa Multivelsal multiple reality,

Unapo badiri chochote kutoka past kinacho athiri kwa namna yoyote present na future unacho kifanya sio kubadiri past na kuathiri present na future bali una swich reality na kwenda kwenye universe na reality ambayo ina match na kile ulicho badiri ila teality hii inabaki kama ilivyo,

Nia Flash ilikua ni kubadiri uzembe ulio tokea na kupelekea mama yake kuwawa ili awe nae present,
Ila badala yake alijikuta kwenye Universe yenye Flash mwingine ambae reality yake ni kua mama yake yu hai,

Hivyo hata ukisafiri muda kwenda kuokoa ajari iliyo chukua uhai wa mpendwa wako, basi hato kufa kw ajari hiyo ataishi, ila sio kwenye reality hii,

Ndio kusema kuna reality ambazo kanumba yupo hai,
Kuna reality ambazo wewe na bebi wako hamja achana kuna reality Magu bado ana tumbua majipu
Zipo reality Baba wa taifa bado ana hutubua taifa kila mwisho wa mwezi,

TIME PARADOX.
Inaweza kuwa ngumu kurudi past kwasababu hakuna negative energy & density.

Nadharia ya special relativity imejaribu kuelezea namna speed inavyoathiri Muda.

Kama
Speed (S) = umbali (L) /Muda(T)

then
S T = L​
Ikiwa kasi ya mwanga haibadiliki (ni constant) katika Hali yoyote ile ulimwenguni. (S is consntant)

Kumbe bhasi Muda na umbali unaweza ukabadilika mara kwa mara ili kufidiana.

Hivyo kwa mtu anayekuwa katika kasi kubwa karibia na ile ya mwanga (299 792 458 m / s)
Ataufeel muda taratibu zaidi kuliko yule ambaye atakuwa na kasi ndogo ama yuko tuli (stationary)
Na muda kati ya mtu aliye tuli na aliye kwenye mwendo, huwa unatofautiana kwa factor ya

\gamma = \frac{1}{\sqrt{1 - \frac{v^2}{c^2}}}

Hivyo hivyo kulingana na nadharia ya general relativity, tunakutana na gravity time dilation.
Kwamba sehemu ambayo ina gravity kubwa bhasi umbali unapita taratibu kuliko sehemu yenye gravity ndogo ama haina kabisa.
Inaaminika kuwa sehemu yenye gravity kubwa kama kwenye mashimo meusi (black hole 🕳) muda unapita taratibu sana.
Yaani yawezekana wewe ukaishi pale dakika 20 tu, lakini duniani tukawa tumekuhesabia kuwa umeishi miaka hata 18.
Kwasababu ya gravity time dilation.

So time is not absolute, but it's relative
 
Inaweza kuwa ngumu kurudi past kwasababu hakuna negative energy & density.

Nadharia ya special relativity imejaribu kuelezea namna speed inavyoathiri Muda.

Kama
Speed (S) = umbali (L) /Muda(T)

then
S T = L​
Ikiwa kasi ya mwanga haibadiliki (ni constant) katika Hali yoyote ile ulimwenguni. (S is consntant)

Kumbe bhasi Muda na umbali unaweza ukabadilika mara kwa mara ili kufidiana.

Hivyo kwa mtu anayekuwa katika kasi kubwa karibia na ile ya mwanga (299 792 458 m / s)
Ataufeel muda taratibu zaidi kuliko yule ambaye atakuwa na kasi ndogo ama yuko tuli (stationary)
Na muda kati ya mtu aliye tuli na aliye kwenye mwendo, huwa unatofautiana kwa factor ya

\gamma = \frac{1}{\sqrt{1 - \frac{v^2}{c^2}}}

Hivyo hivyo kulingana na nadharia ya general relativity, tunakutana na gravity time dilation.
Kwamba sehemu ambayo ina gravity kubwa bhasi umbali unapita taratibu kuliko sehemu yenye gravity ndogo ama haina kabisa.
Inaaminika kuwa sehemu yenye gravity kubwa kama kwenye mashimo meusi (black hole ) muda unapita taratibu sana.
Yaani yawezekana wewe ukaishi pale dakika 20 tu, lakini duniani tukawa tumekuhesabia kuwa umeishi miaka hata 18.
Kwasababu ya gravity time dilation.

So time is not absolute, but it's relative
Kwa lugha raisi tu ukitumia gari kusafiri unatumia mda mdogo zaid , kwa sababu ya speed ya gari inaathiri mda .

Kwa hiyo basi speed ikiwa kubwa zaidi mda unaenda taratibu zaidi zaidi ,tofauti na speed ikiwa ndogo .
 
Nadharia ya Relativity inafanya kazi ikiwa kitu kitafikia walau 1/10 ya speed ya mwanga.

Atleast 30,000 Km/s
 
ipo nadharia ya kusafiri muda,(time traveling) maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma,

Yaani kama leo ni 2023 binadamu anaweza akasafiri muda na kwenda mwaka 1900 akawakuta watu wazamani mabibi na mababu walivyo kua wana fanywa na wakoloni,

Hii dhana ipo kama theory tuh lakini utekelezaji wake kisayansi bado, sababu hakuna teknolojia ya kuweza kufanikisha kusafiri muda.

Kwa sababu ili uende past unatakiwa walau ukimbie kwa asilimia 25 ya mwendokasi wa mwanga ambao unakadiriwa kua trioni tatu,

Kutokana na sabahu hiyo basi utekelezaji wake unakua wa nadharia huku binadamu akisubiri teknolojia ikue ili vipatikane vifaa vya utekelezaji huu!,

Wakatu tunasubiti teknoloji ikue ipo terminology ambayo wengi wasio amini uwezekano wa time travel wanaitumia ya TIME PARADOX,

TIME PARADOX kwa tafasiri ya chapchap ni fumbo la muda,

Kwa mfano binadamua mwenye miaka 23 yaani ame zaliwa mwaka 2000 aka safiri muda hadi mwaka 1994 kipindi ambacho hajazaliwa bado akamtafuta mama yake ambae ata mzaa yeye baada ya miaka sita na kumuua,
Hivyo mama yake anakua ame fariki miaka 6 sita kabla ya yeye kuzaliwa Je? yeye ataedelea kuwepo au, atakua hajazaliwa sababu mama yake alikufa kabla ya kumzaa?

Na kama atakuwepo ata endelea kuwepo je atakua ame zaliwa na nani?

Mpaka mwaka 2015 hapakua na theory yenye majibu yalio nyooka yanayo solve time paradox za namna hii time paradox ..

Mwaka 2016 Maxwell Adventure Raia wa Ismir Uturuki Fundi wa Phisikia alie bobea kwenye theory za Einstein hususa masuala ya Relativity alikuja kutegua kitendawili hiki na theory ya Mutivesal and Multiple reality!

Kwa wale wapenda Super Heroes movies kutoka Marvel na DC basi neno MULTIVESAL AND MULTIPLE REALITY sio geni, refer Doctor Strange The Madness of Multivelsa, Spider Man ya mwisho The flash Movie hii iliyo toka juzi,

Multivelsal and Multiple reality theory ina sema hivi " Muda sio dimension iliyo nyooka kama rula, pia muda una multi dimension, kwa maana kwamba unaposema Now(sasa) ,Zamani(past) na baadae(future) vyote vipo kwa wakati mmoja, na vina fanyika kwa wakati mmoja utofauti ni space Dimension

Well!

Kama hukua unaelewa Physics na Superhero movies sio vitu vyako ishia tu hapa!😂😂😂

Na recal story line ya Berry Allen(Flash) wakati akiwa na umri mdogo mama Yake ali uliwa na Reverse flash (huyu ni velein) wakutoka Dimension ya timelime tofauti na hii ya Earth 22 , ambayo ndio hii tuliopo ila zipo dimension zisizo hesabika zinazo fanya kuwe na Eath zisizo hesabika na kila moja na reality yake

Kisa cha Reverse flash kumuua mama yake Barry sita zungumzia hapa!

Baada ya miaka kibao Barry Alln kua mtu mzima na kupata pawer na kuwa Fastest man akive ana pata shahuku ya kujua alie muua mama yake na anataka apate namna kufanya mama yake asi uliwe!

Hapo ndio anapo jipata kwenye mtego wa Multivelsal multiple reality,

Unapo badiri chochote kutoka past kinacho athiri kwa namna yoyote present na future unacho kifanya sio kubadiri past na kuathiri present na future bali una swich reality na kwenda kwenye universe na reality ambayo ina match na kile ulicho badiri ila teality hii inabaki kama ilivyo,

Nia Flash ilikua ni kubadiri uzembe ulio tokea na kupelekea mama yake kuwawa ili awe nae present,
Ila badala yake alijikuta kwenye Universe yenye Flash mwingine ambae reality yake ni kua mama yake yu hai,

Hivyo hata ukisafiri muda kwenda kuokoa ajari iliyo chukua uhai wa mpendwa wako, basi hato kufa kw ajari hiyo ataishi, ila sio kwenye reality hii,

Ndio kusema kuna reality ambazo kanumba yupo hai,
Kuna reality ambazo wewe na bebi wako hamja achana kuna reality Magu bado ana tumbua majipu
Zipo reality Baba wa taifa bado ana hutubua taifa kila mwisho wa mwezi,

TIME PARADOX.
Chai
 
Time travel when you view Einstein theory of relativity Ameelezea juu ya uhusiano kati ya Time na Space , according to modern physcs withn the universe gravitation is higher to curve space that why time is not possible to bend (muda kuenda mbele kwa haraka zaidi) lakn when u reach up when gravity of object and the earth is no longer is possible to curve time, it is believed that the possibility to curve time is possible when u cross the black hole let say u are at a space as astronomer to cross the black hole u need your body to be broken down into small approximately the mass of an atom to cross the core of black hole which is not possible physical because of extremly gravitation force.

Time travel is possible in spiritual world than the normal body. I strong agree its possible.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom