Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

Kama inawezekana, hebu tufanye umesafiri kurudi hadi 1930 halafu ukamuua babu yako inamaana wewe hautazaliwa na hautamuua Babu yako na uta zaliwa... "Grandfather paradox"

Hadi sasa wataalamu wanakubaliana kwenye kitu kimoja "time dilation" inawezekana na si wote wanakubali au kukataa uwezekano wa time travel.
 
But the question is, can we move arbitrarily far into the future of our surroundings while we ourselves age only slightly? Well, if you think about it, this time dilation effect actually gives you a way of doing it. Here’s how: Simply find a spaceship, take off from Earth, eventually reaching a speed very close to the speed of light, and then turn around, eventually returning to Earth. Once you’ve returned, you’ll have aged less than the people on Earth. Why?

Well, let’s say you’re sitting on the Earth, and I leave in a spaceship. (I’m the one teaching this class, so I get first dibs on the spaceship.) Since I’m moving relative to you, you will observe time to go slower for me on the spaceship. And, depending on my speed relative to you, time can go much slower for me on the ship relative to you. So, if I adjust my speed just right, then I can arrange things so that, as 10 years passes by for me on the ship, 1,000 years passes by for you! I’d have to go very fast for this to happen — something like 99.999% of the speed of light — but, in principle, it’s possible.

And, if I go even faster, I can arrange things so that as a million years goes by for you, only a day goes by for me! So, once I’ve returned to Earth, I’ll have effectively traveled to the future. This might be a little different from the flux capacitor or Hiro Nakamura’s method, but it’s a method of traveling into the future that is definitely allowed by physics and is very uncontroversial; everybody in physics agrees that this method is totally possible, in principle.

The problem, of course, is actually getting a ship to go fast enough to have a noticeable amount of time dilation. But this is really an engineering problem, not a physics one. With today’s technology, we haven’t even been able to get spaceships to go a percent of a percent the speed of light. And here I said we need to get to 99.999% the speed of light! So, with today’s technology, time travel to the future by this method is certainly not feasible.

However, in Lecture Notes 4, I mentioned some technologies that very advanced extraterrestrial civilizations might have — antimatter rockets, nuclear ramjets, and so forth — so there are definitely ways in principle that
people have already thought of to get very fast.
 
ti
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...

ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli wa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.

Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.

kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema

Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunachokiona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa

Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona

Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti

Mwanga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa

Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)
Hujiifadhi kenye zone flani tu..

Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.

How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie

Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(speed of light) unauwezo wa kufreez time na kutravel kabisa time

Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipi

CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita

Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)

Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka

Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW

NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU!
time travel is possible kama kitapatikana kifaa chenye speed zaid ya light 3 x 10^8
 
Siku moja Mwalimu(Nabii) alikuwa anasomesha msikitini,habari za familia.
mtu mmoja akafikiria kuwa huyu mwalimu anatufundisha hii kitu kuhusu ladha ya tendo la ndoa kati ya mwanamke na mwanamme ,lakini ni nanai hasa anapata raha zaidi? , kwa hiyo akapingana na mwlimu kinamna fulani kwa kutaka kudadisi .
Akaambiwa subiri utapewa jibu lako.
Pale pale mtu mmoja akiwa kaegama kwenye ukuta wa msikiti huku somo likiwa linaendelea yeye akasinzia.
Ndani ya usingizi akajiona yeye ni mwanamke na anaolewa yuko kwenye shamra shamra za harusi akchukuliwa na mumewe hadi nyumbani.
Shughuli ya Mke na mume ikaanza ,na yule bwana akaanza kuleta miguno ya kusikia utamu wa kuvunjwa bikra kama mwanamke mwari.
Akiwa usingizini akapata mimba na kujifungua mtoto na akaanz kunyonyesha.
Kama kawaida maisha yakaendelea huku akipata ladha ya tendo la ndowa kwa muda wote wa ndoto yake a usingizini.
Ghafla akashituliwa kwa kusikia msemaji akisema '' muulizeni huyo mwenzenu kuhusu jambo hili atakupeni jibu sahihi''.

Aliposhituka watu wote wamemkodolea macho wakimsihi aweleze kadhia ya ladha ya tendo la ndoa kati ya mwanammke na mwanammme ,ni yupi hupata ladha zaidi?

Alishaangaa sana na bila ya kuamini macho yake akiwa amerudi akiwa mwanamme kama kawaida, wakati usingizini alikuwa anachezea kichapo cha mwanmke wa kihaya aliyelipwa kwa masaa mawili ya ngono mfululizo na mpagaazi wa rombesa sokoni Tandale akiwa amekunjwa sawa sawa na kijeba.

Aliwapa jibu fasaha kabisa ,lakini kilichomshangaza muda wa yeye kulala na kuamka ni kiasi ya mwalimu kusomesha na kumaliza kwa dakika 20 mpaka 40 hivi, lakini matendo yaliyotokea ni ya miaka si chini ya mitatu, na jinsia kubadilika pia.

Hivi Hii ndio time travel?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekosa jibu
 
Ok tukubaliane kuwa hii habari ni theory tuu,na kwa hiyo hakuna ukweli wowote.?

Huwezi kubadili past ya mtu au kitu,
labda kubwa unaweza kuona Future na unaweza kujaribu kubadili hiyo.
 
Hapana wewe umeshindwa kuelewa concept ...mfano uliotoa unajieleza kwamba hujaelewa
 
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...

ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli wa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.

Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.

kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema

Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunachokiona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa

Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona

Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti

Mwanga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa

Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)
Hujiifadhi kenye zone flani tu..

Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.

How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie

Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(speed of light) unauwezo wa kufreez time na kutravel kabisa time

Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipi

CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita

Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)

Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka

Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW

NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU!
Mkuu vipi kama mtu akiwa ndani ya event horizon ya black hole.hawezi toka kwa sababu ya gravity ,ila si anaweza akaiona future,kwa sababu kwake mda (time)inakuwa inaenda taratibu sana.Sina uhakika labda utaweza tusaidie kutufafanulia
 
Tatizo watu wana tafsiri vibaya time travel, kwenda past haiwezekani, kinachowezekana ni kuona past ya sehemu ambazo zipo mbali, kuanzia 300,000km away inakua sekunde moja in the past.
Kutazama sio kwenda, unavyotumia telescope kuona sayari zilizopo mfano 4 light years away, unaona miaka 4 nyuma, ila kusema uendepo hutoweza, hata kama tungeweza kwenda kwa speed ya light basi ungefika ungekuta pashabadilika kwa miaka 8.
Kwenda nyuma ya time haiwezekani IMPOSSIBLE, inaondoa all logic, ina paradox kibao, hakuna mwanasayansi aliyewahi kusema kwenda nyuma ya time inawezekana ni watu hua wanawatafsiri vibaya.
 
Hii ya kwako inaeleweka,
ii ninchoelewa Kwenda FUTURE ndio haswa inawezekana,.
Manabii wote wametuletea yale yatakayo tokea huko mbeleni kabla hatujafika,
Na wameshatambua kuwa wengi wetu tutafeli na kuangamia Jahannam.
Ndo Maana wanataka tubadili matokeo wakati bado muda tunao.
Hili linawezekena ikiwa tutawaelewa.
Ukweli ni kwamba 'Future' ndiyo tunaweza kuibadili kwa vile bado haijatendeka na ni siri.
 
Hahaha manabii wapi hao?
We usilete uchawi wako kwenye sayansi, manabii feki. Jahannam ndo wapi? Hakuna kitu kama hicho zaidi ya vitisho tu vilaza wengi wamekubali.
 
Back
Top Bottom