Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

Concept inaelewaka sana tuu mzee kaza ndonga
HKII MITU INAWEZEKANA WAKAYI WA VITA VYWA KWANZA KULE BURMA KUNA WAZEE WA KIJIJININKWTU KWA MAELEZO YA HKADITHI WALEWEZA KUSAFIRI USIKU NA KUPIGA MZIGO NA WAKE ZAO NA ASUNUHKI WAKARUDI JESHINI NAFUATILIA UNDANI WAKE ILA NI african time travel
 
Mbona mtoa mada keshatoa maekezo hapo awali juu ya nini maana ya time travel kwenye paragraph yake ya kwanza..!

Labda ina maana zaidi ya hiyo..! Tena usisahau Mufti kunipa faida juu ya tofauti ya time travel na hiyo yako ya time dilation

....tuendelee

Soma vizuri utaona tofauti ya mtoa mada na mimi.

Pili,hayo matukio niliyo kuonyesha au kutolea mfano ndio time dilation yenyewe.

Naomba unielezee time travel ya matukio yaliyopita,inakuwaje au inawezekana vipi ?
 
Hivi ni kwamba hujui kuwa Leo ni Jana ya Kesho....!?

Sasa Mtu ukiweza kufika kesho wakati upo na sisi leo kwanini tusiite ni time travel_ugumu upo wapi wewe...!?

Hiyo ziara ya kwenda mbinguni kwenye hadithi zenu ina maelezo mengi yenye kutosha kukupa uelewa wa kinachozungumzwa

Kama ukishindwa kuelewa dhana hiyo kupitia visa hivyo hakuna wa kukusaidia

Tena kwa mujibu wa simulizi Hilo ni kwamba huyo mh aliweza kuitembelea pepo na alipofika huko akashangaa kusikia hatua za kiumbe mwengine zikisikika zikipita..akauliza "ni Nani huyo.!?" Kwa kupata mshangao kwakuwa alishatangulia kusmbiwa kuwa hakuna aliyeiingia hapo awali yeye ndiye mkata utepe_ Akajibiwa na mwenyeji wake kuwa "ni Bilal huyo" kesha kula jackpot na anakula maisha Peponi tayari wakati Duniani alikuwa bado Anakaangika

Kwa ufafanuzi huo ni kwamba mh wako alipofika huko alikuwa akiishi kesho Kama uhalisia lakini ukweli ni kwamba bado muhula wake ulikuwa wa Jana kwa dunia

.....Sijui umepata kitu?
 
Nani awezaye kufika kesho wakati tuko nae sisi ? Acheni uvivu wa kufikiri na kupelekwa pelekwa puta.

Fika kesho tuone,na utuambie umefikaje ?
 
Hivi ni kwamba hujui kuwa Leo ni Jana ya Kesho....!?

Sasa Mtu ukiweza kufika kesho wakati upo na sisi leo kwanini tusiite ni time travel_ugumu upo wapi wewe...!?

Hiyo ziara ya kwenda mbinguni kwenye hadithi zenu ina maelezo mengi yenye kutosha kukupa uelewa wa kinachozungumzwa

Kama ukishindwa kuelewa dhana hiyo kupitia visa hivyo hakuna wa kukusaidia

Tena kwa mujibu wa simulizi Hilo ni kwamba huyo mh aliweza kuitembelea pepo na alipofika huko akashangaa kusikia hatua za kiumbe mwengine zikisikika zikipita..akauliza "ni Nani huyo.!?" Kwa kupata mshangao kwakuwa alishatangulia kusmbiwa kuwa hakuna aliyeiingia hapo awali yeye ndiye mkata utepe_ Akajibiwa na mwenyeji wake kuwa "ni Bilal huyo" kesha kula jackpot na anakula maisha Peponi tayari wakati Duniani alikuwa bado Anakaangika

Kwa ufafanuzi huo ni kwamba mh wako alipofika huko alikuwa akiishi kesho Kama uhalisia lakini ukweli ni kwamba bado muhula wake ulikuwa wa Jana kwa dunia

.....Sijui umepata kitu?

Hapa huna la kueleza zaidi ya wasi wasi tu. Kadhia ya safari hiyo iko wazi na aliefanya hivyo ni Mola kwa mja wake na ni muujiza.
 
Umejitahidi kuelezea mkuu ila kuna ukakasi mwingi sana.

Sawa leo ni jana ya kesho.

Ila na leo ni kesho ya jana pia au?
 
VITABU VYA DINI VIMEELEZA VEMA KABISA,HAKUNA AIJUAE KESHO
Sidhani kama mtu anaweza tengeneza kifaa cha kuiona kesho kabla kesho yenyewe haijafika.Hizi zitabaki kuwa ndoto tamu zaidi za kisayansi
 
Si ndo hapo sasaa
 
Time ipo na ina exist na ni kweli kifaa tutumiacho ni zao la mind, ili mtu aweze kwenda past na future according to theory of reflectivity ni lazima pawepo na kifaa ama machines ambazo zitakua na speed ya light ambalo hilo jambo sidhani kama linawezekana.
Ila tukiitazma hii concept ya time traveling kwa upande mwengine wa shilling basi ni kitu kinachowezekana, labda tujiuulize kwa tunaoamini returning of Jesus je atakapo rudi si atakua time traveler?! Kwani since amedesapia ni miaka mingapi imepita? Na nafikiri sidhani huko alipo kunaisabiwa mda the way tunahisabu huku. Siku moja ya huko alipo ni miaka elfu ya nyakati hizi za kuzama na kuchomoza kwa jua.
Pili tutazame tena katika history basi tutakutana na story ya wale watu saba wa pangoni ambao walikua ndani ya pango miaka 3 na kitu je walipotoka huko pangoni hawakua time travelers kwakua hata pesa waliotaka kununua chakula ilikua haitumiki tena je hili haliwezi kuprove time travel inaexist kwa mtazamo huu?
Kama hujui hii story ya hawa watu 7 wa pangoni huwezi kunielewa kabisa.
Ilinibidi nika isome kiasi hiyo sura kabla sija icoment kwa lolote maaana sipo deep sana katika masuala ya dini ,,,,ila kwa nilivyo elewa Mimi hao jamaa walikuwa wanakimbia watu Fulani walio taka kuwadhuru na kuelekea mapangoni baada ya hapo kwakuwa walikuwa watu wa mungu waliomba ulinzi wake ...na akawapa usingizi mzito kiasi wakalala miaka elfu elfu ,,,,walipo amka waka kuta wame pitwa na wakati sanaa...

Kimsingi hii sio time traveling....Mkuu ukilala saa 7 ukaamka saa 12 hapo hauja travel time labda useme umeskip time kidooogo ina make sense

Time traveling yenyewe kama yenyewe ni ishu ambayo you understand kabisa unajua Leo ni may 5 2019 and unatravel time instant unajikuta upo watu wanasoma may 5 1200 huko hyo ndio time traveling ..
kwa kifupi hao jamaa hawaku travel time ni walilala usingizi mzito sana kwa muda mrefu sabaa
 
Hivi ni kwamba hujui kuwa Leo ni Jana ya Kesho....!?

Sasa Mtu ukiweza kufika kesho wakati upo na sisi leo kwanini tusiite ni time travel_ugumu upo wapi wewe...!?

Hiyo ziara ya kwenda mbinguni kwenye hadithi zenu ina maelezo mengi yenye kutosha kukupa uelewa wa kinachozungumzwa

Kama ukishindwa kuelewa dhana hiyo kupitia visa hivyo hakuna wa kukusaidia

Tena kwa mujibu wa simulizi Hilo ni kwamba huyo mh aliweza kuitembelea pepo na alipofika huko akashangaa kusikia hatua za kiumbe mwengine zikisikika zikipita..akauliza "ni Nani huyo.!?" Kwa kupata mshangao kwakuwa alishatangulia kusmbiwa kuwa hakuna aliyeiingia hapo awali yeye ndiye mkata utepe_ Akajibiwa na mwenyeji wake kuwa "ni Bilal huyo" kesha kula jackpot na anakula maisha Peponi tayari wakati Duniani alikuwa bado Anakaangika

Kwa ufafanuzi huo ni kwamba mh wako alipofika huko alikuwa akiishi kesho Kama uhalisia lakini ukweli ni kwamba bado muhula wake ulikuwa wa Jana kwa dunia

.....Sijui umepata kitu?
Shida nnayo Iona hapa mpaka watu tunashindwa kuongea lugha moja ni hii hali ya kumix masuala ya imani na masuala ya kisayansi
Hii concept sio ya kidini .....inawezeka huko kwenye vitabu vya dini kuna story na simulizi zinazo wiana na hii concept lakini dini huwa hai proof mambo na huwa hairuhusu kuhoji ...unachotakiwa ni kuamini na kufuata ...

Tujaribu Ku stiki kwenye sayansi ....imani tuweke pembeni ...
 
Hapa huna la kueleza zaidi ya wasi wasi tu. Kadhia ya safari hiyo iko wazi na aliefanya hivyo ni Mola kwa mja wake na ni muujiza.
Hata ashuke jiblil kuja kukuelekeza huambui kitu

Shida yako unasoma kwa utoshelevu wa nafsi..Kila zigo mmemtupia Mungu...kusumbua akili kwenu mwiko na ndio maana mnapigwa Bao

Aliyetangulia kukufundisha ndio wa kulaumiwa kailoga Akili yako vilivyo... Naam_kakuzeesha vilivyo Hongera yake
 
Yees mkuu ile kisa haina time travelling wale wameenda swa na muda ila tu wakati muda unaenda wao walikuwawamelala.

Mimi nikilala saa 2 nikaamka alfajiri maana yake ni kuwa nimeenda sawa na muda ila wakati muda unaenda nilikuwa nimelala.

Hivyo akif mtu labda saa 3 wakati ambapo nimelala n akazikwa saa 4 wakati ambapo bado nimelala na akazaliwa mtu saa 5 wakati bapo bado nimelala,na akaogeshwa n kufanyiwa kila kitu mpaka saa 9 akawa amewekwa kitandani wakati ambao bado nimelal,alafu nikaamka nikaambiwa fulani alikufa saa 3 tukamzika,na akazaliwa mtoto fulani hapa huyo hapo kitandani.huwezi kusema ni time traveling hata siku moja.
Ilinibidi nika isome kiasi hiyo sura kabla sija icoment kwa lolote maaana sipo deep sana katika masuala ya dini ,,,,ila kwa nilivyo elewa Mimi hao jamaa walikuwa wanakimbia watu Fulani walio taka kuwadhuru na kuelekea mapangoni baada ya hapo kwakuwa walikuwa watu wa mungu waliomba ulinzi wake ...na akawapa usingizi mzito kiasi wakalala miaka elfu elfu ,,,,walipo amka waka kuta wame pitwa na wakati sanaa...

Kimsingi hii sio time traveling....Mkuu ukilala saa 7 ukaamka saa 12 hapo hauja travel time labda useme umeskip time kidooogo ina make sense

Time traveling yenyewe kama yenyewe ni ishu ambayo you understand kabisa unajua Leo ni may 5 2019 and unatravel time instant unajikuta upo watu wanasoma may 5 1200 huko hyo ndio time traveling ..
kwa kifupi hao jamaa hawaku travel time ni walilala usingizi mzito sana kwa muda mrefu sabaa
 
Hata ashuke jiblil kuja kukuelekeza huambui kitu

Shida yako unasoma kwa utoshelevu wa nafsi..Kila zigo mmemtupia Mungu...kusumbua akili kwenu mwiko na ndio maana mnapigwa Bao

Aliyetangulia kukufundisha ndio wa kulaumiwa kailoga Akili yako vilivyo... Naam_kakuzeesha vilivyo Hongera yake

Sawa.
 
Shida nnayo Iona hapa mpaka watu tunashindwa kuongea lugha moja ni hii hali ya kumix masuala ya imani na masuala ya kisayansi
Hii concept sio ya kidini .....inawezeka huko kwenye vitabu vya dini kuna story na simulizi zinazo wiana na hii concept lakini dini huwa hai proof mambo na huwa hairuhusu kuhoji ...unachotakiwa ni kuamini na kufuata ...

Tujaribu Ku stiki kwenye sayansi ....imani tuweke pembeni ...
Mkuu tungeweza kuijadili hii mada yako kisayansi kama uoneleavyo

Ila Kuna Jambo moja tu lililo la hakika ambalo pia nawe umeligusia kuhusiana na waliotangulia kuyashughulikia majaribio hayo na pale walipoishia tena wakiwa wanajiweza kielimu na kiuchumi

Sasa kuleta kwetu sisi mbugilambugila ni Kama kutakata kujaza page kwa mafikirio yasiyo tu na uhakika

Ni Kama kuangalia marudio ya mechi ya watu waliotoka sare lakini ukiwa unaruhusu midadi ya faulo na klosi zinazopigwa kwakuwa hukutangulia kuangalia live hapo awali...nadhani hii ni Zaidi ya kujilisha upepo

Na ndio maana tunajaribu kuvuta huu Uzi kwa upande wetu tunaomudu kujaribu kusaidiana namna ya kuielewa zana hiyo kwa upande wa kidini na kiroho

Kama tutakuwa na ulinganifu wa kiitaalamu kwa kile tulichotangulia kukijua na hicho Basi tutaweka kisha tuangalie ladha ya makande tutakayopika
 
Sisi dini si tumeletewa Mkuu ?? Asili ya mwafrica na imani yake ni kuabudu miti na ni milima hizo story za dini zote tumeletewa,,, hayo masuala ya mtume na yesu yoote yametoka kwao
tena yaliletw na hao jamaa huon kwa manufaa yao,,, ipo haja sasa ya ku think out side the box maana kuna dhana nyingi sana za kitumwa kwenye hvyo vitabu pendwa vya dini na siku zote concept zao huwaga hazina proof na hakuna ruhusa ya kuhoji.....
 
Hata ashuke jiblil kuja kukuelekeza huambui kitu

Shida yako unasoma kwa utoshelevu wa nafsi..Kila zigo mmemtupia Mungu...kusumbua akili kwenu mwiko na ndio maana mnapigwa Bao

Aliyetangulia kukufundisha ndio wa kulaumiwa kailoga Akili yako vilivyo... Naam_kakuzeesha vilivyo Hongera yake
Hahaha unajua Mkuu kun neno la kingereza ambalo kitakwimu lipo kwenye maneno mia ambayo hutamkwa Mara chache Zaidi na watiaji wa lugha hiyo kwa mwaka mzima ...."STAGNANT" ....watanzania wengi tupo STAGNANT kwenye ubongo na fikra ...ndio maana Leo unakut mtu concept za physics anakwambia mungu aliamua iwe hvyo haumizi kichwa kwa lolote wao ni kipinga tuu...
Walitaka tuwe hivi na wamefanikiwa kwa Zaidi ya 90%
 
VITABU VYA DINI VIMEELEZA VEMA KABISA,HAKUNA AIJUAE KESHO
Sidhani kama mtu anaweza tengeneza kifaa cha kuiona kesho kabla kesho yenyewe haijafika.Hizi zitabaki kuwa ndoto tamu zaidi za kisayansi
Karne za zamani alikuwapo mwanasayansi mmoja alie itwa Leonardo davinci moja kati ya innovation zake ni calculations zinazo saidi kwenye masuala ya helicopter na upaaji wa ndege .....wakati huo hapakuwa n hata gari lakini yeye alisema kuna wakati binadamu atapaa ...woote wali muona chizi lakini Leo tunaona ndege ni kawaida .....in science the innovative always seems to be impossible until it has innovated ..
 
Sisi hatuna time travel sisi tuna time dilation,ya watu wa pangoni ni time dilation.

Na mola wetu ufanyaji wake wa matendo hauziuiwi au haufati hizi kanuni za ulimwengu.

Ndio maana matukio ya kama hayo,unaya kuta kwa mja mwema Uzair aliye lala miaka mia moja akakuta au akahisi kama alilala siku moja au safari ya mtume ya Israa wa al Miraaj ina onyesha hivyo.

Na siku moja ya Mola wetu ni sawa na miaka elfu moja kwetu,kwahiyo utaona kabisa kwbaatukio hayo yalikuwepo ndani ya wakati.

Nakupa swali,je unaweza kuelezea Time Travel kwa matukio yaliyo pita ?
Kuna mahali hauja elewa Mzee ....tuseme hivi wewe una age ya miaka 20(example) mathematical baada ya miaka 80 utakua na miaka 100 so utakua ni kikongwe usuejiweza completely ....sasa unfortunately you find your self watu wanasoma taleh 2100 na wewe ulikua 2020 na unakua kama ulivyo sasa kijana na hauja badirika chochotee Ila muda uliopita ni miaka 80 hyo ni time traveling....
Kimsingi hii kwenye dini haitakupa majibu yoyote stiki kwenye science na nature ya science sio hadithi ni proof ndio maana nikasema awari ni concept iliyo provuwa laboratory . so people is working to implement it physical in real life ...zipo concept nyingi sana mbona ambazo ipo laboratory proved ila in real life bado hazijawa implemented.....kwaa maana hyo ukitaka tukutajie nani alie Fanya time traveling huko zamani hauta kaa upate jibu ..ila ukitaka nani aliifanya research ,kitabu gani kina eleza vyema hii concept utapata
 
Back
Top Bottom