geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
Asante sana kwa maelezo mazur...Umenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that are Caesar's; and to God the things that are God's. Haya ni ya Caesar:
I do believe in time traveling as a scientist but we don't have the technology to make it happen. Kipinidi na present, nakumbuka walikuja professors from Cambridge, walikuwa impressed sana na kazi yangu. Moja ya vitu nilivyoongelea ni aliens... Kwenye my study room kwenye apartment nina post imeandikwa I want to believe. Wengi nina imani mnajua hi post imetoka wapi. Nirudi kwenye mada yako. Wakati namaliza presentation nilitoa Mfano mmoja.
Ukipiga risasi, inaenda baadae inarudi chini(cause of gravity). Nikasema kama tungeongeza speed ya hii bullet risasi ingezunguka Dunia na kurudi pale pale ilipotoka, the loop will never end if the speed is constant. Fikiria free fall eg (satellites orbiting the Earth). Then nikasema tuchukulie bullet ndio gari moving in a straight line. Likiwa linatembea pole pole we can see it with our eyes, Je ulishwahi kwenda kuona mashindano ya magari uone gari linavyokipita? Cause of speed your eyes can't capture the images well, unakuta hata Kama pembeni kumeandikwa Yamaha, huoni Tena unaona blur cause of speed. Now if this car ingeongeza speed to March 3. Hutoliona gari, utasikia upepo tu. Now what if we increase it to Mach 15(example) the car will disappear from your eyes completely despite the fact linapita mbele yako ila hulioni.
Catch the idea? Tuivute hapa, figure, RAV4 limetumia dk 15 kuuzunguka Dunia nakurudi pale lilipotoka. Likamove kwa Mach 3, limetumia dk 2. Likamove kwa Mach 6, limetumia 0 seconds. Kwa macho unaona halijaenda sehemu kumbe limeenda na limerudi. Je likimove kwa Mach 10??? Litatumia -2 mins. This is where time travel kicks in. Simlpy time can't keep up with you mpaka umeistopisha kwa Mach 6, now unaenda kwa Mach 10. You've bent time and now we say you are in fourth dimension. Kuna professor mmoja wa Physics nilibahatika kumuona mall flani nchi ninayosoma. Nilikuwa nimepoteza coin, sio Bei kubwa Kama 2000 ya kibongo, sasa nalipia nikakuta sina coins na budget haikuruhusu. Ningetoa hela nyingine that means usafiri mpaka home ni bus na kwa mimi nina rangi nyeusi sio salama. Ikabidi nirudi kupunguza vitu, mzee akaniambia atanilipia. Then akaniuliza ever thought of having the ability to go back in time and get back your lost money? Yaliyofuata ni moja ya vitu ambavyo sitavisahau.
Alianza na kuniambia kuwa na yeye ni religious... Then he went on, have you ever thought of another dimension? Have you ever asked yourself what's real? Do you think time exists? If it does, is it a straight line without a loop? What happens if we reach the end of the loop? Aliongea sana na akanitoa coffee [emoji4] na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.
TL;DR time travel is possible with the help of speed. Run fast enough and everything around you stops, run faster and everything around you will start reversing.
P.s I wish Tanzania tungeanzisha research facilities. Ila tuna Mambo mengi, watoto hawana madawati.
-callmeGhost
But you young boy unachanganya kitu kimoja time and action.... Nakubali na ww kwamba unaweza zunguka dunia in half a second.na ukaona gar halijamove yaan limefreeze i agree...but kumbuka hapo kuna action imefanyika in a very minute time within that half a second or within whatever time you mention.. Say imechukua milisecond kuzunguka dunia...still action imetokea very fast within that time in a sense that you cant separate with your eyes....so gari ilo limeenda hatua kwa kwa hutua kuzunguka dunia lakin ni haraka saana... Kwa maneno mengine time and action are inseparable.