Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

We have been in this discn. Speed even the farthest ever can not change Time.

Digest that.
 
Apa kinachohitajika ni ushahidi wa mechanism ambayo inakuwa applied ili kueffect hii kitu ambayo mnaita time travelling how could us prove the existence of this myth?

Niwe kimara saa moja asubuhi niapply mechanism fulani nikiwa apo apo kimara bila kumove even a single step nijikute mimi peke yangu niko saa kumi na mbili jion lakini kwa wenzangu apo apo kimara ibaki kuwa saa moja asubuhi uku mchizi mimi nikirudi saa kumi na mbili jioni ya jana yake through time travelling

Iyo mechanism ndo nahitaji kuijua na ndo unatakiwa ututajie
Hakuna hiyo. Time travelling CAN NOT exist.

It's a Myth.
 
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...

ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli wa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.

Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.

kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema

Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunachokiona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa

Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona

Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti

Mwanga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa

Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)
Hujiifadhi kenye zone flani tu..

Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.

How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie

Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(speed of light) unauwezo wa kufreez time na kutravel kabisa time

Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipi

CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita

Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)

Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka

Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW

NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU!
Labda useme kusafiri kwenda past na present ila siyo future
 
Sayansi ina vituko vyake aisee. Sasa twende katika uhalisia wa hili suala la Time Travel. Hapa nina maswali,maana maelezo yako haya jakaa kielimu yamekaa kama habari za kutunga.

Hapa nina maswali :

1. Naomba unipe mfano au mifano ya matukio halisi ambayo hutokea hapa duniani yanayothibitisha ukweli wa Time Travel ?

2. Hivi kwa akili yako ya kawaida unaona kwamba suala la Time Travel linawezekana ?

Narudi......
Time traval ni kweli kwenye kurudi past tu siyo future....tena nahiyo past yenyewe inakuwa ni virtual reality ni kama kuangalia video ya miaka 60 iliyopia hivyo unaona matukio ya zamani ila unakuwa unayaona leo
 
Hii sio time travel mkuu hapa tunapo sema time travel kama unarudi nyuma ya muda yani unaweza kwenda 1990 na ukawakuta watu walio kufa hko utawakuta eg unaweza ukawa umezaliwa 1999 na ukarudi 1990 utamuona nyerere akiwa hai na kuutubia taifa
Time travel kwa past ni sawa ila kwa future ni no impossible...ila haya ya past ni virtual reality tu
 
Kama tukiweza kupata kitu chochote chenye spidi KULIKO MWANGA bas tutaweza kwenda past na kuona matukio.lakin kanuni za kifizikia zinakataa kabisa kwa mada yoyote yenye uzito na nafasi kuweza kusafiri kwa spidi inayokaribiana na mwanga achilia mbali kupita spid ya huo mwanga.mpaka sasa wanasayansi wameshakata tamaa kupata kitu ambacho kitaweza kusafiri kwa spidi kali kuupita mwanga.hebu tuishi humo kwanza
 
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...
Kuhusu time travel sishabikii uwezekano wake katika hii physical world it is impossible.

Muda ni mabadiliko ya mambo yote, unaweza kuyachelewesha au kuyaharakisha ila kuyahamuna hilo hapana. Maana hata ukianza mchakato wa kuyahamna[kuyanegative] utajikuta unaendelea kufanya mbadiliko mapya kutokea kwenye hali iliyopo hivyo kiufupi utaendelea kuupeleka muda mbele tu.

Mfano ikiwa juzi ulimwengu ulikuwa ni wa bluu na jana ukawa wa kijani halafu leo ukawa ni wa njano. Ukajidanganya kwamba ngoja nifanye manuva nirudi juzi ambapo ulimwengu ulikuwa wa bluu.

Basi utarukaruka utakimbia utafanya hiki na kile ili kurejesha ubluu na vyote vitakuwa ni michakato so kwa bahati mbaya hiyo tayari itapeleka muda mbele. So hata kama mwishoni utaupata huo ubluu utakuwa haujarudi nyuma ya muda bali utakuwa umeendelea kutumia muda kutembea kutoka bluu - kijani - njano kwenda bluu tena!!

Sorry, there is no going back in time for physical bound creatures, we.
 
Hakuna hiyo. Time travelling CAN NOT exist.

It's a Myth.
🤣 🤣 🤣 🤣 Myth? ngoja nkupe scenario moja, ukiangalia juu kwenye anga izo nyota unazoziona unadhan zipo umbali gan? na unadhan huo mwanga wa nyota unaouona ni wa mwaka gan?
 
Kuhusu time travel sishabikii uwezekano wake katika hii physical world it is impossible.

Muda ni mabadiliko ya mambo yote, unaweza kuyachelewesha au kuyaharakisha ila kuyahamuna hilo hapana. Maana hata ukianza mchakato wa kuyahamna[kuyanegative] utajikuta unaendelea kufanya mbadiliko mapya kutokea kwenye hali iliyopo hivyo kiufupi utaendelea kuupeleka muda mbele tu.

Mfano ikiwa juzi ulimwengu ulikuwa ni wa bluu na jana ukawa wa kijani halafu leo ukawa ni wa njano. Ukajidanganya kwamba ngoja nifanye manuva nirudi juzi ambapo ulimwengu ulikuwa wa bluu.

Basi utarukaruka utakimbia utafanya hiki na kile ili kurejesha ubluu na vyote vitakuwa ni michakato so kwa bahati mbaya hiyo tayari itapeleka muda mbele. So hata kama mwishoni utaupata huo ubluu utakuwa haujarudi nyuma ya muda bali utakuwa umeendelea kutumia muda kutembea kutoka bluu - kijani - njano kwenda bluu tena!!

Sorry, there is no going back in time for physical bound creatures, we.

the simpliest one is going back than going forward, actually your already time traveling hapo ulipo in sync na dunia zingine
 
Kama tukiweza kupata kitu chochote chenye spidi KULIKO MWANGA bas tutaweza kwenda past na kuona matukio.lakin kanuni za kifizikia zinakataa kabisa kwa mada yoyote yenye uzito na nafasi kuweza kusafiri kwa spidi inayokaribiana na mwanga achilia mbali kupita spid ya huo mwanga.mpaka sasa wanasayansi wameshakata tamaa kupata kitu ambacho kitaweza kusafiri kwa spidi kali kuupita mwanga.hebu tuishi humo kwanza

hio ni kutokana na einsten lakini kufanya time travel sio lazima spidi ya mwanga, kuna kitu kinaitwa worm holes! kakitafute
 
Kama inawezekana, hebu tufanye umesafiri kurudi hadi 1930 halafu ukamuua babu yako inamaana wewe hautazaliwa na hautamuua Babu yako na uta zaliwa... "Grandfather paradox"

Hadi sasa wataalamu wanakubaliana kwenye kitu kimoja "time dilation" inawezekana na si wote wanakubali au kukataa uwezekano wa time travel.

ukifanya ivo maaana yake babu yako ataenda kwa time story tafauti ambayo nayo itakua inajitegemea, mfano hukuzaliwa wewe then thats it
 
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)

Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...

ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli wa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.

Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.

kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema

Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunachokiona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa

Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona

Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti

Mwanga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa

Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)
Hujiifadhi kenye zone flani tu..

Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.

How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie

Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(speed of light) unauwezo wa kufreez time na kutravel kabisa time

Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipi

CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita

Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)

Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka

Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW

NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU!
Ni porojo tu kama story za popobawa
 
Duh. Msituchanganye bhana
 
Back
Top Bottom