safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,136
- 15,776
Kwa hyo time travelling haimuathiri msafiriji lakini inawaathiri wale wanaomzunguka peke yake?
Kuna mahali hauja elewa Mzee ....tuseme hivi wewe una age ya miaka 20(example) mathematical baada ya miaka 80 utakua na miaka 100 so utakua ni kikongwe usuejiweza completely ....sasa unfortunately you find your self watu wanasoma taleh 2100 na wewe ulikua 2020 na unakua kama ulivyo sasa kijana na hauja badirika chochotee Ila muda uliopita ni miaka 80 hyo ni time traveling....
Kimsingi hii kwenye dini haitakupa majibu yoyote stiki kwenye science na nature ya science sio hadithi ni proof ndio maana nikasema awari ni concept iliyo provuwa laboratory . so people is working to implement it physical in real life ...zipo concept nyingi sana mbona ambazo ipo laboratory proved ila in real life bado hazijawa implemented.....kwaa maana hyo ukitaka tukutajie nani alie Fanya time traveling huko zamani hauta kaa upate jibu ..ila ukitaka nani aliifanya research ,kitabu gani kina eleza vyema hii concept utapata