As long kiingereza kimekuja KWA Meli, no problemDuh,umejitahidi lakini kibongobongo. Sentensi moja kosa moja tu!
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?
NOTE: The future JF is here - www.jamiiforums.com/NewJF (visit via mobile or PC and check)
The best in which category??
Asante mdau,hii ni lugha yangu ya 2,Such a broken English Language. Ukienda NairaLand watakucheka. Si sahihi kutumia pronoun 'I', then katika verb ukaongeza 's'.
Marire
Mkuu hapo umegusa pazuri sana. Kuna watu wana interest tofauti ilihali hawana majukwaa yao. Kuna wadau nawaona mara kwa mara wanaomba majukwaa na moderators wanakaa kimya kuliko kutoa feedback. Hadi sasa nimeona kuna gape kubwa kwenye;
1. Jukwaa la magari.
2. Jukwaa la fasheni za nguo.
3. Jukwaa la malezi ya watoto.
Ah ah ah! au marafiki.com
Bila kusahau Jukwaa la Urembo...
Ruttashobolwa
Mpangilio wa JF na wa Political forum ya US vinafanana
Mkuu hata hii wanaotaka tuingie ni nzuri...mimi thread view nahitaji ibaki kama ilivyoMkuu Invisible labda mlitaka maoni ya kina nani? Sikua na takwimu sahihi ila kwa kuangali post za watu wengi walitaka ile mpya irudi.
Binafsi rangi sikuona kua ni kitu kikubwa sana ila yale yalioongezeka ndio yaliyonivutia, kama sisi tunaotumia app ilikua poa sana, labda mngeacha kama mwezi hivi tuone..
Mkuu hata hii wanaotaka tuingie ni nzuri...mimi thread view nahitaji ibaki kama ilivyo
duh!....
muanzisha thread kajiunga 2015...
sasa sina hakika kama anamfahamu ENIGMA..(ka-nzi),mwanakijiji,gametheory,mukandara,omarilyas,fmes,asprin,bigirita,rev masanilo,ms,....very senior fellaz wa hili jukwaa...
sijui bana...