Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

Aisee nairaland forums nadhani is the best for africa kuna vitu ambavyo huwezi kujifunza kwenye forums nyingine kwa Africa. Jamiiforums igeni mazuri ya huku
Cc Invisible hivi yale maboresho ya mwishoni mwa mwezi 12 yaliishia yap?....sio mbaya mkapitia nairaland mkaongeza maujuzi zaid
 
Last edited by a moderator:
Aisee nairaland forums nadhani is the best for africa kuna vitu ambavyo huwezi kujifunza kwenye forums nyingine kwa Africa. Jamiiforums igeni mazuri ya huku

Siwezi kuipa nafasi Nairaland kwa kuwa mule hakuna discussion zenye mashiko sana, nikisoma thread zao wanaonekana kama ni kizazi vijana wa Facebook.
 
Miaka ya 2008-2012 nlikuwa naifagilia sana Mashada, ilikuwa ndio baba lao(sijui ni kwa sababu mi Mkenya),alafu ikaja Kenyanlist ambayo hadi kufikia majuzi kati imekuwa ……hacked??? lakini Jamiiforums has been my all time favourite. Nairaland……???Hhhhmmm,never tried that.
 
Naam hao mazuzu wanaojitia hamnazo ndiyo wanashusha reputation ya JF.

Uwepo wao hapa jamvini ni kuhakikisha wanavuruga mijadala muhimu kuhusiana na mustabali wa nchi yetu na hutumia hata matusi tena ya nguoni ili tu kuwanyamazisha wale ambao wana mapenzi ya kweli na nchi yetu.

Cha kustaajabisha hawa wahuni watukanaji wanaachwa tu bila kuadhibiwa kwa kufungiwa na matokeo yake wachangiaji wazuri hawataki tena kuingia hapa.

Hali hii ikiachwa iendelee wachangiaji wazuri wengi hapa katika mijadala mbali mbali nao wataamua kuingia mitini. Sheria za kuwashughulikia hawa wahuni zipo, lakini hazitumiki.

Aisee NaijaLand is the best kwa kweli, though JF we do good... Zote hizo nimezitembelea na baadhi nipo mwanachama...

Naigeria wao wanatoa concrete issues sana.. Wapo vizuri.. JF kuna mazuzu flani wanaiharibu na pia stori hazibalance sana hasa pale story inapokuwa hot na inagusa maslahi ya wenye maslahi.. Basi mwenye maslahi anajitahidi kulinda maslahi yake..
 
Cc Invisible hivi yale maboresho ya mwishoni mwa mwezi 12 yaliishia yap?....sio mbaya mkapitia nairaland mkaongeza maujuzi zaid
Mkuu,

Si ajabu baadhi ya watanzania wasipoona value ya kazi yetu; ila pia naamini hata hao wana la kujifunza kwetu.

Tumewapa muda mrefu na wa kutosha on changes hamkutilia maanani au wengine huenda nayo mliona ni kazi bure, hatuwezi kuyaacha yatumike bila feedback ya kutosheleza;

Mliambiwa tembeleeni https://www.jamiiforums.com/NewJF ili mjiridhishe kama huduma inaendana na mahitaji yenu au bado kuna mengi ya kuboreshwa.

Wapo waliotoa maoni, yatazingatiwa sana ktk marekebisho lkn sijaona yako!
 
JF ndo bora kwangu.hayo mengine siyajui na wala sitaki kuyajua.mungu azd kuwalinda viongozi wake.Amen
 
Mkuu hapo umegusa pazuri sana. Kuna watu wana interest tofauti ilihali hawana majukwaa yao. Kuna wadau nawaona mara kwa mara wanaomba majukwaa na moderators wanakaa kimya kuliko kutoa feedback. Hadi sasa nimeona kuna gape kubwa kwenye;
1. Jukwaa la magari
2. Jukwaa la fasheni za nguo.
3. Jukwaa la malezi ya watoto

Tena mkuu hiyo no 2 na 3 ndo zenyewe.
 
Mkuu,

Si ajabu baadhi ya watanzania wasipoona value ya kazi yetu; ila pia naamini hata hao wana la kujifunza kwetu.

Tumewapa muda mrefu na wa kutosha on changes hamkutilia maanani au wengine huenda nayo mliona ni kazi bure, hatuwezi kuyaacha yatumike bila feedback ya kutosheleza; mliambiwa tembeleeni https://www.jamiiforums.com/NewJF ili mjiridhishe kama huduma inaendana na mahitaji yenu au bado kuna mengi ya kuboreshwa.

Wapo waliotoa maoni, yatazingatiwa sana ktk marekebisho lkn sijaona yako!

Mkuu mi nilikuwa sijui hiyo kitu, kama kunakutoa maoni ngoja nitembelee. Ila kiongozi mnabidi muwe wakali kidogo, kunawatu kazi zao kuharibu threads za wenzao tu, na kuingiza mambo ya kidin. Tupo pamoja sana. JF ni kitovu cha habar
 
Nairaland miaka ya nyuma ilikuwa ni noma...

sijui kizaz cha sasa.. kuna siku walikuwa wanaiongelea cnn.. kwenye documentary ya kuhusu africa
 
Mkuu,

Si ajabu baadhi ya watanzania wasipoona value ya kazi yetu; ila pia naamini hata hao wana la kujifunza kwetu.

Tumewapa muda mrefu na wa kutosha on changes hamkutilia maanani au wengine huenda nayo mliona ni kazi bure, hatuwezi kuyaacha yatumike bila feedback ya kutosheleza; mliambiwa tembeleeni https://www.jamiiforums.com/NewJF ili mjiridhishe kama huduma inaendana na mahitaji yenu au bado kuna mengi ya kuboreshwa.

Wapo waliotoa maoni, yatazingatiwa sana ktk marekebisho lkn sijaona yako!

Huo muonekano mpya umetulia, Ni wapi tuliambiwa tutembelee huo muonekano mpya!? kwa maana niliona ile siku moja halafu mkaiondoa... lakini kitu kimetulia...
 
Acheni pumba. Nendeni huko kwa Wanaigeria mkachangie hzo mada sasa. Aliyeanzisha JF anatakiwa kupewa credit pia.

Haitoshi kusema kuwa JF sio nzuri kama forum fulani. Njoo na idea fulani zitakazo iwezesha JF kuwa juu zaidi.

Otherwise wanaoiponda JF na 24 hrs wanashinda hapa nawaona wanafiki tu. period!!!
 
Huo muonekano mpya umetulia, Ni wapi tuliambiwa tutembelee huo muonekano mpya!? kwa maana niliona ile siku moja halafu mkaiondoa... lakini kitu kimetulia...

Inaelekea watu wengi hawajui kama kunakutoa maoni. Wengi wapo kama mimi tunasubiria hijo jf mpya. Nimeiona ni nzuri ila ile mirangi rangi duu kwa kweli haijanivuti Invisible tafuta rangi nyingine.

Rangi zimekuwa nyingi mno. Au acheni rangi hii ya JF ya zamani tuliyoizoea na Muongezee na jukwaa mengine kama walivyoomba wadau. Mnastahili pongezi ni kazi nzuri.
 
Mizchief
Mashada ilikua nzuri,ikaja kupotea kipindi cha uchaguzi mkuu wa kenya,imekuja ibuka tena,imepoa sana.kenyalist ndo ikashika kasi mbaya,imekata ghafla mwezi disember,wale timu dry fry na team mafisi akina siwezmake,okouch p etc

wanajisogeza polepole JamiiForums.com,japo bado haijachangamka.
ila jf iko poa,ukiacha wachache wanaotukana pindi mkitofautiana kimsimamo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Darhotwire iko wapi siku hizi? Tulikadaka totoz sana kule daaaah enzi zile internet access mpaka uende kwa Cafe

Umenikumbusha mbali wakati hata 3g bongo hakuna ni mwendo wa gprs na edge tu, nilikuwa. Napenda sana kupitia kuangalia picha za vituko.
 
Back
Top Bottom