Nairaland nimeingia muda si mrefu ina watu kama 7000 walio online...
JF these days huwezi jua kuna watu wangapi online labda tunge compare...
Kingine impact ya hiyo forum hasa kisiasa...(maana Afrika demokrasia hiko chini Forum kama hizi zikitumika vizuri zinasaidia kufikia viongozi wetu indirectly)
Kwa wingi wa wanaija...na ujanja wao...hiyo forum imekuwa na impact gani...? Maana japo nasi tuna yetu Naija ina hali mbaya zaidi kisiasa...
JF imekuwa chachu ya mabadiliko kisiasa kwa njia moja au nyingine...
Otherwise we need research kuweza kuwa na jibu la nani zaidi...
Kwangu mimi JF iko juu so far ... ila niko tayari kubadili msimamo nikipata data za ku prove otherwise...[/QUOT
Hata hivyo member wanao kuwa on line bado tunawapita japo siku hizi jf hawaweki na kumbuka kipindi wanaweka ulikuwa on line member si chini ya 20;000 kila muda...