Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

Chunga Sana

Senior Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
117
Reaction score
88
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?

NOTE: The future JF is here - www.jamiiforums.com/NewJF (visit via mobile or PC and check)
 
Wazambia wanalilia Forums kama JF. Juzi juzi walikuwa na uchaguzi wanalumbana Facebook, nikauliza km wana forum km hii aliyenijibu ni hakuna.
 
Sijawahi kutembelea hizo nyingine zaidi ya naijaland/nairaland na jamii forums. nachoweza sema jamii forums haingizi maguu kwa nairaland. yaani kwa umakini wa watu na jinsi wanavyoendesha discussions zao.

Nairaland ipo juu Jamiiforums inakaa kwa nairaland.

Ni hayo tu.
 
I know kenyanlist lakini imekaa ki udaku sana na mapicha picha ka album.
 
Jf ikitumika vizuri itakuwa kiunganishi kizuri kati ya wananchi na serikali yao, sema serikali yetu haitaki kukosolewa kwa lolote wakati mitandao kama hii hiyo ndiyo kazi yake mahsusi.

Sidhani kwa hizo nchi kama wana discussion za kutosha kama ilivyo kwetu ktk JF. Unaweza kuta ktk thread moja wapo matata kunazidi ya page 30 wakati huko kwaw haow wengine waweza kuta hataw page moja kujaa now shida..!!

Love JF.
 
Kali zaidi ni nairaland ya wanaigeria
 
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?

One must have a good knowledge of other Forums to make a sensible conclusion!
 
Kwa looks napenda JF look hasa ya desktop maana ndo pekee ambayo hua natumia, sema kwenye discussions hasa za technology wanigeria wako mbali sana,

Wana interesting discussions sio humu JF watu wanakuja kuuliza tu matatizo mepesi ambayo mtu uki google jibu linatokea kwenye first link.
 
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?

Aisee NaijaLand is the best kwa kweli, though JF we do good... Zote hizo nimezitembelea na baadhi nipo mwanachama... Naigeria wao wanatoa concrete issues sana.. Wapo vizuri..

JF kuna mazuzu flani wanaiharibu na pia stori hazibalance sana hasa pale story inapokuwa hot na inagusa maslahi ya wenye maslahi.. Basi mwenye maslahi anajitahidi kulinda maslahi yake..
 
kwa looks napenda JF look hasa ya desktop maana ndo pekee ambayo hua natumia, sema kwenye discussions hasa za technology wanigeria wako mbali sana,

wana interesting discussions sio humu JF watu wanakuja kuuliza tu matatizo mepesi ambayo mtu uki google jibu linatokea kwenye first link....

Ukija na mada zilizopinda hupati wachangiaji?,?
 
Jf ikitumika vizuri itakuwa kiunganishi kizuri kati ya wananchi na serikali yao, sema serikali yetu haitaki kukosolewa kwa lolote wakati mitandao kama hii hiyo ndiyo kazi yake mahsusi.

Sidhani kwa hizo nchi kama wana discussion za kutosha kama ilivyo kwetu ktk JF. Unaweza kuta ktk thread moja wapo matata kunazidi ya page 30 wakati huko kwaw haow wengine waweza kuta hataw page moja kujaa now shida..!!

Love JF

BACK TANGANYIKA

Bora wao ambao hawajazi page katika hizo post unazoziita matata.

Humu unaweza kuta post nzuri lakini watu wanacomment mashudu au wengine wanaanza kupeana "mambo?mazima? na kupiga story zisizoeleweka.

Bado tunasema wao wanajielewa, maana kama post wanaiona hawaiwezi au haieleweki wanapiga kimya kuliko mtu unaona post ina pages 30 kumbe ndani kuna mashudu!!
 
Ukija na mada zilizopinda hupati wachangiaji?,?
Mfano mzuri yule aliyeanzisha mada ya east africa kutumia simple currency, watu hata kujua challenges zinazotokana na hii process hakuna, utasema bongo nzima hamna watu wenye interest wala waliosoma uchumi, matatizo ya kusomea mitihani na sio kugain knowledge.
 
Ufahamu wanajf uko katika
maswala ya kimungu, mapenzi, na miujinza, na kujadili viongozi wa taifa.

ni wachache sana wenye uelewa kuhusu maswala ya uchumi, tekinolojia na viwanda.
 
Back
Top Bottom