Hivi ni naijaland au nairaland mkuu???me nnayo nairaland
Nairaland.naona ina majukwaa zaidi ya 40.
Tatizo wanazungumzia vitu vingi vya internal.
Nairaland ni noma aseeee
Nairaland ni noma aseeee
I only Knows JF
Hivi Darhotwire iko wapi siku hizi? Tulikadaka totoz sana kule daaaah enzi zile internet access mpaka uende kwa Cafe
ah ah ah! au marafiki.com
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?
I only Knows JF
6¤7i know kenyanlist lakini imekaa ki udaku sana na mapicha picha ka album
Such a broken English Language. Ukienda NairaLand watakucheka. Si sahihi kutumia pronoun 'I', then katika verb ukaongeza 's'.
I only Knows JF
ah ah ah! au marafiki.com