lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,343
Ukiiba zigo ka hilo kwanza inbd upotee duniani had mda upite sio ukanunue Harrier..Zile pipa za plastic halafu unachimbia mita 12,
Ila ukiminywa korodani utasema tu,hakuna kitu kinauma kama kuminywa kende kwa plies..
Watu wanashindwa ku act low profile somewher ndani ndani huko hakuna cha simu wala nn hapo zigo ushalifukia inatkiwa uvumilivu haswa wakat unangoja vumbi lipoe....
Sema kukaa miaka 4 au 5 bila kuzitumia ni habari ingine