Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,002
- 26,602
Kuna saloon moja ipo kino ni maarufu tuu sasa huwa kuna grocery sjui liquor niseme hivyo siku nimekaaa pale nikaona wadada wametoka saloon wakaja kukaa hapo kwenye groceryDada angu alikua anaolewa saloon anapofanya make up kaoge alikua anafanya kazi hapo.
Nikapewa hela nikampe kaoge akanunue toothstick.
Nimetoka nje namkuta nikashindwa nimuitaje! Alikua amevaa skintight na top sura ngumu ile kazi ni kazi.
Nikamung'unya mdomo "kaka umeambiwa ukanunue stick za meno" akacheka akaenda kununua.
Halafu hakufa kwa kuoza nyuma, alikufa kwa ugonjwa.
Dk tano hv namuona jamaa mmoja akaja pale kuwafuata wateja wake alivyorendemka duuuh hatare sana