Irene Uwoya: Sitaki Mwanangu Alale kwa Ndugu!

Irene Uwoya: Sitaki Mwanangu Alale kwa Ndugu!

Kulala kwa ndugu kunaingilianaje na kuiaribika kwa mtoto. Mtoto hata umfungie ndan au umbebeshe bibilia na quran kila mda kama ni wa kuharibika ni wa kuharibika tu. Tatizo kama amejua mandugu zake ndo shida kwa nini asiwakalishe chini awaambie waache hiyo tabia itakayoharibu mtoto wake. Acha tu ninyamaze maana...
 
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.

"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake aaribike labda awe kichaa, Mimi sitaki hata mtoto wangu aende kulala ata kwa ndugu yoyote sababu Dunia imearibika, mimi ndo najua machungu ya mtoto wangu nitakuwa naye" Alisema -Irene uwoya.
Unaogopa ataliwa?wewe mbona unawakula wengine
 
Ukiona mambo yako yanakwenda vizuri, una kazi nzuri, una familia bora, watoto wanafanikiwa, kifupi umejipata, usidhani wewe una kunywa chai na Mungu. Ni kwa neema tuu. Wale wasio kama wewe usiwaona kama wamepoteza ramani kwenye maisha au wanakosea mipango. Wala ukiona wanao wanafanikiwa usidhani wewe ndo mzazi bora.

Bustani inaweza kuwa moja lakini kila mti hutoa maua kwa wakati wake.
 
Mkuu naamini una watoto. Kama huna una ndugu wenye watoto. Kuwa mchache wa kuhukumu. Maisha yana mengi.
Ww ukimungalia huyo mtoto, yupo sawa na watoto wa kiume mtaani kwako?
 
Back
Top Bottom