Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
kuandika kwenyewe ni tatizo kwakoNaona mahaba na US yamekujaa. hivi mnaamini US hawezi kupigwa?
Sasa ndio hivyo kaiha pigwa 1:0
kuandika kwenyewe ni tatizo kwakoNaona mahaba na US yamekujaa. hivi mnaamini US hawezi kupigwa?
Sasa ndio hivyo kaiha pigwa 1:0
Naona unabwata tu!Wewe ndio pole au nikuwekee link hapa. Wew hujui kitu alafu unajifanya unajua. Hayo ya mazungumzo ya nuclear iran ashakataa mda kuongea na usa. Usa yeye amemalizana na iran kwa kuiwekea vikwazo tu. Usa amesema iran akikubali mazungumzo na kukubali mkataba mpya basi kesi imeisha. Kama hujui uliza uambiwe
Naona unabwata tu!
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.reut.rs
Nilikuonya dhidi ya unayoyaandika na nikakupa options za eidha tubaki kwenye ushenzi/uhuni au tujenge hoja haya nipe hizo link
Soma link zote mbili ujue huu mgogoro wa sasa umeanzia wapi, link ya kwanza ni ya page ya Bernie Sanders na ya pili ni website ya Reuters wameeleza kwa kina namna mzozo unavyoweza kujitokeza mashariki ya kati na chanzo ni nini?Senator Bernie Sanders
President Trump’s decision to withdraw from the Iran nuclear deal is the latest in a series of reckless decisions that move our country closer to conflict.
Hiyo ndio point yako? Maana sijakuelewa?
Soma link zote mbili ujue huu mgogoro wa sasa umeanzia wapi, link ya kwanza ni ya page ya Bernie Sanders na ya pili ni website ya Reuters wameeleza kwa kina namna mzozo unavyoweza kujitokeza mashariki ya kati na chanzo ni nini?
Kwenye page ya Bernie kuna video clip ya Trump.
Ukimaliza leta link za mzozo kusababishwa na ulichokisema
Soma link zote mbili ujue huu mgogoro wa sasa umeanzia wapi, link ya kwanza ni ya page ya Bernie Sanders na ya pili ni website ya Reuters wameeleza kwa kina namna mzozo unavyoweza kujitokeza mashariki ya kati na chanzo ni nini?
Kwenye page ya Bernie kuna video clip ya Trump.
Ukimaliza leta link za mzozo kusababishwa na ulichokisema
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝![]()
Pentagon will send 1,500 troops, along with drones and fighter jets to the Middle East to counter Iran threat
The Pentagon will send additional American troops, drones and fighter jets to the Middle East amid increasing tensions between the United States and Iran.www.google.com
Msikilize vzr trump anachosema. And they cannot have nuclear weapons. This is the not objective of accumulatind 1500 solders. The main is the threay in middle eastSoma link zote mbili ujue huu mgogoro wa sasa umeanzia wapi, link ya kwanza ni ya page ya Bernie Sanders na ya pili ni website ya Reuters wameeleza kwa kina namna mzozo unavyoweza kujitokeza mashariki ya kati na chanzo ni nini?
Kwenye page ya Bernie kuna video clip ya Trump.
Ukimaliza leta link za mzozo kusababishwa na ulichokisema
Mi sielwi unachocheka. Kwani hujaelewa hapo au unafanya makusudi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Aibu hii, unakumbuka ulijinasibu kuwa mimi hakuna nalolijua ila wewe ndio unajua huu mzozo chanzo chake ni nini kwa hiyo hiki [emoji121] ndio chanzo?
Kumbuka mgogoro wa hawa watu una miongo zaidi ya minne kama si mitano
The deployment will include approximately 1,500 U.S. military personnel and consist of a Patriot battalion to defend against missile threats, additional intelligence, surveillance, and reconnaissance aircraft, an engineer element to provide force protection improvements throughout the region and a fighter aircraft squadron to provide additional deterrence and depth to our aviation response options," acting Secretary of Defense Patrick Shanahan wrote in a statement Friday.Mi sielwi unachocheka. Kwani hujaelewa hapo au unafanya makusudi
trillion 20Bilion kumi kwa hela ya bongo ni kama Trilion 2?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
Hamna lolote mikwara tu hiyo mbona kashindwa na kiduku pale kila siku anaachia makombora kaita vikao weeee mwisho kaufyata. Huyo mmarekani wenu atawasumbua wajinga wajinga tu lakini wenye silaha zao thubutuuuHuo mfano ulioutoa ni ujinga, na hufanywa na watu wasio na akili!
Drone zile zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya ku_spy na zinapaa in a very higher altitude huenda ni kweli iliingia kwenye anga la Iran na wana haki ya kuitungua lakini sio kuidharau U.S. anaweza kukufanya hata wews uliyeko Gairo ukapata tabu!
U.S. ana base karibu kila taifa kasoro ya kipuuzi (yasiyo na faida kwake) Iran je?
Vita ikizuka itapiganwa ndani ya ardhi ya Iran je maisha ya civilians unajua yatakuwa katika hali gani?
Unafahamu ni mauwaji makubwa sana yatatokea kwa raia wa kawaida kabisa wa Iran?
Chunga vidole vyako ombea response ya U.S. iwe more tough sanctions tu na si vinginevyo
Huna lolote wewe mpiga propaganda wa marekaniSio mawazo ya kimasikini na hakuna mahala nimekuita mjinga ila nimekuambia mfano ulioutoa ni ujinga! Na hufanywa na watu wasio na akili.
Sasa labda nikuulize jambo moja ufaransa unataka battle ya ushenzi?
Iran sio mnyonge, unyonge alionao ni kwa sababu bado si taifa tajiri ila ana nguvu ya kijeshi kwa kiasi cha kutotegemea sana vifaa vya kijeshi kutoka mataifa mengine!
Jambo baya zaidi analolifanya ni anatafutiwa sababu za kijinga tu nae anaingia mkenge! Anaonyesha uwezo, Rais Putin katika kipindi cha Q&A jana amesema Iran anatakiwa kuwa mpole aheshimu makubaliano yaliyowekwa na asijiingize katika vita na marekani itapelekea madhara makubwa sana!
NB: Hajasema hayo madhara yatatokea vipi na ni nani atayaleta.
Kwa hali iliyopo wana diplomasia wanatarajia kuona vikwazo zaidi vya kiuchumi dhidi ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa na sio vita!
Narejea palepale, unataka battle ya ushenzi tuachane na habari a kujenga hoja?
Kwani inaitwaje mkuu! Mkuu Trump kachanganyikiwa juzi kasema Rais wa china kampigia simu! China wasema Leo wewe Trump vip bwana umechanganyikiwa wewe ndie uliyepiga simu na sio sisi!! Sisi tuna shidah gan!!Ngalawa tena....
Hahahahaha
Baharini **** viumbe vingi mkuu wana vishangaa!! Na mawimbi muruwa ya bahari wana kuwa kama vile wapo kwenye bembea!Mkuu jamaa zako siku hizi majahazi yao yana watalii...?
Hahahaha
Za kiume mkuu!Duuuh mkuu mbona Iran wana kauli za kibabe
Ndivyo North Korea wanavyo zijuwa mkuu!Mkuuu!!
US aircraft carrier unaziita ngalawa[emoji55][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tuone mkuuHajazungumzia pesa bwana acha mahaba yaliyopindukia kasema Dege lilikuwa kwenye international air space Iran walichokifanya Watajibiwa vikali!
Na kama umeangalia interview Trump kuna kitu uso wake unaashiria tutegemee kuona Iran ikifungiwa kufanya lolote au maneno ya Putin yakajitokeza amezungumza kwenye Q&A na waandishi wa habari kuwa hii mambo inayoendelea italeta madhara makubwa sana!
Sasa kama una akili timamu utaelewa madhara yatakuwa upande gani kumbuka vita (kama itatokea) itapiganwa ndani ya ardhi ya Iran na si kwingine
Duuuuh 😂🙌🏽Mwanzoni nilijua kuwa shule zenu za kata "zinawafunza" ujinga, lakini kumbe si hilo tu; zinawafunza pia "kujivunia" ujinga! Hongera mno mkuu! Umehitimu.