Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Aibu kwangu ila kwako si aibu eeh. Hamna jeuri wewe black Amerika na wenzioUshabiki mwingine ni aibu tupu, Irani hamuwezi hata Myahudi sembuse US
Aibu kwangu ila kwako si aibu eeh. Hamna jeuri wewe black Amerika na wenzioUshabiki mwingine ni aibu tupu, Irani hamuwezi hata Myahudi sembuse US
Inaonesha ni namna gani huamini Iran anaweza kuitungua ndege ya marekani.pole sanaInawezekana hii ni janja ya America kutungua ndege yake mwenyewe ili kuishambulia Iran kama chadema wanavyowateka kuwapiga Risasi na kuwaua wanachama wake ili ionekane serika Ndiyo inafanya. Hizi mbinu Mataifa ya Magharibi wanatumia sana.
Naamini America wametungua ndege yao wenyewe ili kuambiwa washirika wake kuwa Iran imewachokoza
Hawana hao USA mpk wawashirikishe NATONdio maana nikasema arushe kwenda iran kama uwezo huo anao.
Inawezekana hii ni janja ya America kutungua ndege yake mwenyewe ili kuishambulia Iran kama chadema wanavyowateka kuwapiga Risasi na kuwaua wanachama wake ili ionekane serika Ndiyo inafanya. Hizi mbinu Mataifa ya Magharibi wanatumia sana.
Naamini America wametungua ndege yao wenyewe ili kuambiwa washirika wake kuwa Iran imewachokoza
Hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia sioPicha ya drone iliyodondoshwa iko wapi?
kumbe ulikuwa shabiki mkubwa wa IRAN
IRANI sio wa kulaumiwa! Alitoa tahadhar KITAMBO maana alishtukia huo mpango mapema BAADA YA KUFANYA UDUKUZI WA KIJESHI(hucking) Hilo likafichuliwaKatika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.
![]()
Iran claims it shot American drone, US military doesn't comment
Iran has shot down an American RQ-4 reconnaissance drone flying over Hormuzgan province, Tehran claims. The US military declined to comment.www.rt.com
Na wataishusha kwa jiwe moja tu maana jamaa wana shabaha kweliIRANI sio wa kulaumiwa! Alitoa tahadhar KITAMBO maana alishtukia huo mpango mapema BAADA YA KUFANYA UDUKUZI WA KIJESHI(hucking) Hilo likafichuliwaView attachment 1693150
Vp mkuu walisha waface[emoji12][emoji12][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] propaganda jana USA imetangaza imeongeza 1000 soldiers to Middle East ready to face Iran
[emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iran iliwahi kuishusha (HACK) US DRON miaka kadhaa huko nyuma
Wanajitahidi ila yaliyoikuta Iraq, Libya yanawakaribia
Yaani we jamaa hata propaganda hujui picha inaonesha ilitunguliwa ila wanaonesha ikiwa nziiiiiima bila jerahaVp mkuu walisha waface[emoji12][emoji12][emoji38]
Tuamini ipi na zote zilitolewa na IRANI[emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
nlicho kujibu na unacho nijibu haviendani mkuu soma upyaaYaani we jamaa hata propaganda hujui picha inaonesha ilitunguliwa ila wanaonesha ikiwa nziiiiiima bila jeraha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
ukikua utajua kutofautisha uhalisia ba propagandaTuamini ipi na zote zilitolewa na IRANI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1589][emoji1589][emoji1589][emoji1589][emoji1589] propaganda hiziView attachment 1693511View attachment 1693512
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mi ni mzee 45+ and countingukikua utajua kutofautisha uhalisia ba propaganda
45+ upo ktk hatua za mwisho ktk kujifunza lkn kwa wengine umri si kigezo cha mwisho wa kujifunza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mi ni mzee 45+ and counting
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema USA imetangaza imepeleka watalii 1000 Middle East[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] propaganda jana USA imetangaza imeongeza 1000 soldiers to Middle East ready to face Iran