Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Wewe dogo umeshaenda shule kusoma?Aaah tushamzoea hana lolote mkodi majeshi tu yale hapo anategemea NATO washughulike.
Ila kwa muhajemi mchizi boti atulie tyu
Wewe dogo umeshaenda shule kusoma?Aaah tushamzoea hana lolote mkodi majeshi tu yale hapo anategemea NATO washughulike.
Ila kwa muhajemi mchizi boti atulie tyu
.Not only a mistake,
But a very big mistake
[emoji23][emoji23][emoji23]
In trump voice..
Mkuu jamaa zako siku hizi majahazi yao yana watalii...?
Hahahaha
Huo mfano ulioutoa ni ujinga, na hufanywa na watu wasio na akili!Sasa mtu anaingia kwenye anga lako ulitakaje. Hata kama mtu mbabe na wewe mnyonge usikubali mtu akufuate geto akupige vibao mbele ya wanao. Bora upigane nae akupige ujue moja. Hata watoto watajua baba kapigana lakini kapigwa sio baba kapigwa makofi. Anachokifanya iran ni sawa kama wewe kwenu umezoea unyonge wewe huko wengine hawajazoea
Huo mfano ulioutoa ni ujinga, na hufanywa na watu wasio na akili!
Drone zile zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya ku_spy na zinapaa in a very higher altitude huenda ni kweli iliingia kwenye anga la Iran na wana haki ya kuitungua lakini sio kuidharau U.S. anaweza kukufanya hata wews uliyeko Gairo ukapata tabu!
U.S. ana base karibu kila taifa kasoro ya kipuuzi (yasiyo na faida kwake) Iran je?
Vita ikizuka itapiganwa ndani ya ardhi ya Iran je maisha ya civilians unajua yatakuwa katika hali gani?
Unafahamu ni mauwaji makubwa sana yatatokea kwa raia wa kawaida kabisa wa Iran?
Chunga vidole vyako ombea response ya U.S. iwe more tough sanctions tu na si vinginevyo
Sio mawazo ya kimasikini na hakuna mahala nimekuita mjinga ila nimekuambia mfano ulioutoa ni ujinga! Na hufanywa na watu wasio na akili.Wewe sasa ulitakaje mfano. Acha ujinga wewe kama umezoea unyonge ni wewe. Kwani USA anapotaka kuishambulia nchi lazima atafute sababu hawezi kukuacha. Mifano ipo kibao, kashambulia iraq ambae alikubali kupekuliwa walipodai ana silaha za sumu na bado wamemshambulia, USA ameshambuli ka nchi kama libya ambayo maskini hata hakana kitu. Sasa usione ukiwa mnyonge ndio atakuacha, acha mawazo ya kimaskini hivyo.
Hiyo ni Military Doctrine ya kutoka wapi?Ajaribu kumpiga kwake kama yeye ni kidume.
Sio mawazo ya kimasikini na hakuna mahala nimekuita mjinga ila nimekuambia mfano ulioutoa ni ujinga! Na hufanywa na watu wasio na akili.
Sasa labda nikuulize jambo moja ufaransa unataka battle ya ushenzi?
Iran sio mnyonge, unyonge alionao ni kwa sababu bado si taifa tajiri ila ana nguvu ya kijeshi kwa kiasi cha kutotegemea sana vifaa vya kijeshi kutoka mataifa mengine!
Jambo baya zaidi analolifanya ni anatafutiwa sababu za kijinga tu nae anaingia mkenge! Anaonyesha uwezo, Rais Putin katika kipindi cha Q&A jana amesema Iran anatakiwa kuwa mpole aheshimu makubaliano yaliyowekwa na asijiingize katika vita na marekani itapelekea madhara makubwa sana!
NB: Hajasema hayo madhara yatatokea vipi na ni nani atayaleta.
Kwa hali iliyopo wana diplomasia wanatarajia kuona vikwazo zaidi vya kiuchumi dhidi ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa na sio vita!
Narejea palepale, unataka battle ya ushenzi tuachane na habari a kujenga hoja?
Hahahaa sawa ilihali umejirudi kwenye hoja huenda tukaenda sawa, kule kwenye ushenzi ndiko kwetu.Wewe unajua sababu ya USA kutaka kuishambulia iran? nijibu hapo kwanza maana naweza nikawa nakibishana na mtu ambae hajui kitu
Hahahaa sawa ilihali umejirudi kwenye hoja huenda tukaenda sawa, kule kwenye ushenzi ndiko kwetu.
Iran inasadikika anajiimarisha kwenye kuunda silaha za kinyuklia ambazo kiuhalisia ni hatari kwa dunia nzima si adui zake tu!
Sasa U.S. katika kuwafanya hawa jamaa wasitengeneze hizo silaha wakwekeana mkataba ambao ni mwaka mmoja sasa tangu marekani ajitoe katika huo mkataba wa kimataifa!
Chanzo kingine kisicho rasmi inasemekana U.S anaitaka petrol ya Iran aimiliki na hiki ndicho kinapewa nguvu kubwa zaidi kwa sababu kwenye silaha za Nyuklia kiuhalisia U.S. anazo na mataifa mengine ila si kama N.K na Iran wanazotaka kuziunda hizi zinalenga kuangamiza dunia.
Lengo mama hasa ni petrol U.S. hafanyagi vitu pasi na faida, Libya sasa hivi anavuta wess tu wao wanapigana yeye anavuta na mataifa mengine mengi kama Venezuela nae ni hayohayo mafuta!
Wale magwiji wa somo la jogoo mkorofi watudadavulie kidogoView attachment 1132978
😂 😂 😂 hiyo link iko wapi inayosema watalii?Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo link iko wapi inayosema watalii?
naona walikuwa wanatikisa kiberiti wakakuta kime jaa. hapo USA ameshajua kuwa ni maji marefuHamna mkuu. Ilizidi kule iran ili wa spy. Ile kunusa tu ikajikuta chini
Hatari ndugu yangu. Nimemskia trump anasema eti iran watakuwa wametungua ile ndege bahati mbaya hawakuwa na nia hiyo. Sasa trump sijui kawa msemaji wa irannaona walikuwa wanatikisa kiberiti wakakuta kime jaa. hapo USA ameshajua kuwa ni maji marefu
Pole sana.Unaandika sana halafu kumbe hujui kitu. Usa anataka kuishambulia iran kwa sababu iran ni tishio wa assets zake mashariki ya kati pamoja na assets za marafiki zake. Kwa hiyo usa amepeleka meli na wanaheshi kwa ajili ya kulinda assets zake huko. Kama hujui uliza. Hayo ya mambo ya nuclear umetunga USA wewe.
Naona mahaba na US yamekujaa. hivi mnaamini US hawezi kupigwa?Huo mfano ulioutoa ni ujinga, na hufanywa na watu wasio na akili!
Drone zile zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya ku_spy na zinapaa in a very higher altitude huenda ni kweli iliingia kwenye anga la Iran na wana haki ya kuitungua lakini sio kuidharau U.S. anaweza kukufanya hata wews uliyeko Gairo ukapata tabu!
U.S. ana base karibu kila taifa kasoro ya kipuuzi (yasiyo na faida kwake) Iran je?
Vita ikizuka itapiganwa ndani ya ardhi ya Iran je maisha ya civilians unajua yatakuwa katika hali gani?
Unafahamu ni mauwaji makubwa sana yatatokea kwa raia wa kawaida kabisa wa Iran?
Chunga vidole vyako ombea response ya U.S. iwe more tough sanctions tu na si vinginevyo
Wewe ndio pole au nikuwekee link hapa. Wew hujui kitu alafu unajifanya unajua. Hayo ya mazungumzo ya nuclear iran ashakataa mda kuongea na usa. Usa yeye amemalizana na iran kwa kuiwekea vikwazo tu. Usa amesema iran akikubali mazungumzo na kukubali mkataba mpya basi kesi imeisha. Kama hujui uliza uambiwePole sana.
Naona mahaba na US yamekujaa. hivi mnaamini US hawezi kupigwa?
Sasa ndio hivyo kaiha pigwa 1:0