Yaani USA chezea wote lakini si hao waajem watawakula vicjhwa hao jamaa
Hivi N.Korea bado wanaendelea kufanya majaribio ya makombora?Hamna lolote mikwara tu hiyo mbona kashindwa na kiduku pale kila siku anaachia makombora kaita vikao weeee mwisho kaufyata. Huyo mmarekani wenu atawasumbua wajinga wajinga tu lakini wenye silaha zao thubutuuu
Huna uwezo wa kujenga hoja?Huna lolote wewe mpiga propaganda wa marekani
Mpaka keshoHivi N.Korea bado wanaendelea kufanya majaribio ya makombora?
Wewe dogo umeshaenda shule kusoma?
Wewe dogo umeshaenda shule kusoma?
Huna lolote wewe mpiga propaganda wa marekani
Ushabiki mwingine ni aibu tupu, Irani hamuwezi hata Myahudi sembuse US
Hicho kinjia hapo oman na iran unakiona? Meli za mafuta kutoka saudia, iraq na oman lazima zipite hapo. Iran ndio anasema ataziba hiyo njia ikibidi. Kumbuka saudia peke yake anazalisha pipa milioni 2 kwa siku
Ushabiki mwingine ni aibu tupu, Irani hamuwezi hata Myahudi sembuse US
sasa myahudi anasumbulia na hamas warusha mawe ndo atamuweza muajemi,iran ana kila technology kwenye medani za kivita,,
US si aende sasa mwinzie iran keshaputa mchanga kwenye kiganja cha US,,sasa kazi kwake kujibu,
Hamas ni magaidi na huwezi kupambana na magaidi ni ngumu, lakini watoke front line waone mziki wake
Hamas sio magaidi hizo ni fikra zako za ww na wamarekani wenzako.
Hamas wako kwaajili ya Palestines hususan kutetea msikiti wa Masjid aqsa unafaa umuite Netanyahu gaidi anaevamia nyumban kwa Hamas sio Hamas ndio umuite gaid
Kaka ni nn maana ya kigaidi?!Ndg Mwarabu wa jf, Hamas ni magaidi sababu wanatumia mbinu za kigaidi, vinginevyo watqngaze vita tuone
Kaka ni nn maana ya kigaidi?!
Hamas wanashinikiza nini kwa Israel ?!Kwanza magaidi ni majitu yanayodhuru/kushambulia kwa lengo ya kushinikiza kile wakitacho kwa nchi au kundi flani.
Terrorism is, in the broadest sense, the use of intentionally indiscriminate violence as a means to create terror among masses of people; or fear to achieve a religious or political aim. the unlawful use of violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political or religious aim.Kwanza magaidi ni majitu yanayodhuru/kushambulia kwa lengo ya kushinikiza kile wakitacho kwa nchi au kundi flani.