Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Maana Israel ndio inaishinikiza na kuua wanyonge wa Palestines ili waibe ardhi ya Ghazar.Asa mkuuu nan gaidi kat ya hao.?!
Hamas analenga sana kuulinda msikiti wa al,aqsa asa mkuu nan gaid kat ya hao wawili nipe ufafanuzi mkuu?!
Kwanza magaidi ni majitu yanayodhuru/kushambulia kwa lengo ya kushinikiza kile wakitacho kwa nchi au kundi flani.
 
Huwa najaribu sana kuepuka ubishani wa kidini, hauna mizania bali unaegemea imani, naomba nikae pembrni, nikifunguka nitagusa wengi
Maana Israel ndio inaishinikiza na kuua wanyonge wa Palestines ili waibe ardhi ya Ghazar.Asa mkuuu nan gaidi kat ya hao.?!
Hamas analenga sana kuulinda msikiti wa al,aqsa asa mkuu nan gaid kat ya hao wawili nipe ufafanuzi mkuu?!
 
Hapana mkuu nilitaka tu jibu la maana ya ugaidi.
Ila nakusihi kaa uangalie mvutano wa Israel na Hamas utagundua unkosea sana kumuita Hamas gaid badala ya Netanyahu anaewaua had watoto kisa ardhi ya watu ya Ghazar .
Huwa najaribu sana kuepuka ubishani wa kidini, hauna mizania bali unaegemea imani, naomba nikae pembrni, nikifunguka nitagusa wengi
 
Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.

Wanaofuatilia global balance of power wanajua global secret military alliances between US and Russia itakuwa ni technology ya warusi hiyo nadhani wengine wanakumbuka jinsi Taliban walivyoitungua kirahisi ndege ya kisasa isiyoonekana ktk radar stealthy bombers US na Russia wanaonyeshana misuli ndio maana Trump amewithdraw kulipiza kisasi adui aliye nyuma ya Iran ndio shida kubwa kwake inabidi wajipange sana
 
Shida sio kutungua
Shida ni drone ngap zinaingia kati ya hyo moja iliotunguliwa
Myb zinaingia 300 na moja imepigwa
Ila c vzr kuchunguliachungulia watu kihivyo
 
Anti USA
IMG_20190621_150747.jpeg
 
Back
Top Bottom