Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Let's wait a US resolve
Screenshot_20190620-193439.jpeg
Screenshot_20190620-193322.jpeg
 
Aaah tushamzoea hana lolote mkodi majeshi tu yale hapo anategemea NATO washughulike.
Ila kwa muhajemi mchizi boti atulie tyu
Wakilipiza kisasi msije mkaanza kulia hooo, USA Giant Eagle [emoji1659] Hana huruma. Maana akimwaga Sumu pale Teheran wakafa watu Milioni Moja mkasema hooo na kulia mkiwa na akina Ayatollah Khomeini wa Mwananyamala, manzese na keko
 
Wakilipiza kisasi msije mkaanza kulia hooo, USA Giant Eagle [emoji1659] Hana huruma. Maana akimwaga sumu pale teheran wakafa watu milioni moja mkasema hooo na kulia mkiwa na akina Ayatollah Khomeini wa Mwananyamala, manzese na keko
Hapo kwenye red,ndio vita hua inapiganwa hivyo? hivi unazijua sheria za vita za kimataifa? naona unajadili vitu vya msingi kishabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!
 
Aaah tushamzoea hana lolote mkodi majeshi tu yale hapo anategemea NATO washughulike.
Ila kwa muhajemi mchizi boti atulie tyu
Yani Iran imemchanganya kweli mpaka PM wa Canada amebidi arudi na kichekesho kwao, Trump anadhani drone ina pilot na ma engineering, kichaa kweli hivi walio mchagua si watajiona wajinga

😀
 
Hapo kwenye red,ndio vita hua inapiganwa hivyo? hivi unazijua sheria za vita za kimataifa? naona unajadili vitu vya msingi kishabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!
Wewe tena bro mzee wa hapo kwenye red
 
Hapo kwenye red,ndio vita hua inapiganwa hivyo? hivi unazijua sheria za vita za kimataifa? naona unajadili vitu vya msingi kishabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!
Wewe ambae ndio, mtaaaramu wa Maswala ya mataifa, ndio utupe update Sasa
Ayatoullah Khomeini
 
Yani Iran imemchanganya kweli mpaka PM wa Canada amebidi arudi na kichekesho kwao, Trump anadhani drone ina pilot na ma engineering, kichaa kweli hivi walio mchagua si watajiona wajinga

😀
Ah bora Marekani waangushwe tyu
Toka nipate ile habari ya Majeshi ya bush kuwakamata wajeda wa iraq na kuwabakisha na mbwa Yani mbwa wanawalawiti wanajeshi wa iraq nilimwona jamaa ana ukatili sana.
Aisee namchukia hadi leo mm ningepewa hela niitunze familia yangu km $ 1 million halafu niambiwe nikajitoe mhanga America pale Pentagon ama white house sisiti naenda mia mia
 
Wakilipiza kisasi msije mkaanza kulia hooo, USA Giant Eagle [emoji1659] Hana huruma. Maana akimwaga Sumu pale Teheran wakafa watu Milioni Moja mkasema hooo na kulia mkiwa na akina Ayatollah Khomeini wa Mwananyamala, manzese na keko
Thubutu yake alishindwa kipindi kile iran ipo nyonde nyonde ataiweza sasa
 
Hapo kwenye red,ndio vita hua inapiganwa hivyo? hivi unazijua sheria za vita za kimataifa? naona unajadili vitu vya msingi kishabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!
Hiv mkuu unaweza kunikumbusha chanzo cha Bush kumgeukia Saddam Hussein ?
 
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!
Borders are our redline, and any enemy violating these borders will not go back,” Salami continued.View attachment 1132784
Mzigo wa maana
View attachment 1132788
Duh
Hajazungumzia pesa bwana acha mahaba yaliyopindukia kasema Dege lilikuwa kwenye international air space Iran walichokifanya Watajibiwa vikali!

Na kama umeangalia interview Trump kuna kitu uso wake unaashiria tutegemee kuona Iran ikifungiwa kufanya lolote au maneno ya Putin yakajitokeza amezungumza kwenye Q&A na waandishi wa habari kuwa hii mambo inayoendelea italeta madhara makubwa sana!

Sasa kama una akili timamu utaelewa madhara yatakuwa upande gani kumbuka vita (kama itatokea) itapiganwa ndani ya ardhi ya Iran na si kwingine
 
Sasa mtu anaingia kwenye anga lako ulitakaje. Hata kama mtu mbabe na wewe mnyonge usikubali mtu akufuate geto akupige vibao mbele ya wanao. Bora upigane nae akupige ujue moja. Hata watoto watajua baba kapigana lakini kapigwa sio baba kapigwa makofi. Anachokifanya iran ni sawa kama wewe kwenu umezoea unyonge wewe huko wengine hawajazoea
Chunga vidole vyako sana!
 
Back
Top Bottom