Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Hahaha propaganda tu hizo wanatafuta visingizio baada ya kuwa wame -fail. . Walijisahau sana Wakawaacha Russia na china wajiimarishe --matokeo yake ndio hayo ---Assad mtu asiye na nguvu zozote za kijeshi dhidi ya USA Aliye paswa kupigwa na kuondolewa kwa muda wa ndani ya week 1 ..sasa ame-wagharimu zaidi ya miaka 5...what a lost! !!!?
Soma mkuu, usiseme tu ni propaganda wala haija side upande wowote, imeeleza ukweli
 
Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
Aibu sana m-dege wote huu Umeshushwa chini ....dah! !!!View attachment 1132679
 
Hahaha hizi Dharau sasa
Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
 
Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
Huo ni "USHABIKI" uliopitiliza ndugu!
 
Hahahahah. Nawasoma sana hawa jamaa wapo vzr sana. Wanasema meli ya usa ikuzidi hata cm moja tu kwenye maji ya iran lazima usa wajute. Nikawa najiuliza hawa iran wanataka nini? Cm moja ijue ndogo sana
Huo ni "USHABIKI" uliopitiliza ndugu!
 
Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
Duh watali tena si waje kwa mjomba jiwe tupate pesa!
 
Hatari sana. Alafu iran wamesema kuangusha ile ndege ni salaam tu kuonyesha kuwa wapo tayari kwa vita
Mtamponza mwenzenu kwa kumpa kichwa

Ikija destroyer moja tu huyo ayatola atakumbilia mapango ya torabora
 
Hahaha. Sasa kama meli yao USA ipo km10,000,000 kutoka kwenye bahari/teritorry ya iran si watalii to hao
Ata iyo drone Trump kasema wameitunguwa ikiwa kwenye anga huru!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iran iliwahi kuishusha (HACK) US DRON miaka kadhaa huko nyuma

Wanajitahidi ila yaliyoikuta Iraq, Libya yanawakaribia
Wasije wakalalamika oooh tunaonewa.

Nakumbuka simba tulivyocheza ile mechi ya sportipesa.
 
mkuu sisi tulioko huku Gulf ndio tunausoma mchezo wote hali ni hatari sana usiombe kaka. Tuombe dua haya mambo yaishe kimya kimya tu wengine tunaishi jirani na ma base ya us, logistic inayofanywa si mchezo kaka, hawa jamaa wasikie tu.
Poleni Sana , hila US amezidi kumfuata kumfuata Iran
 
Back
Top Bottom