Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Katika vita zote US na RUSSIA wapo antagony na mwisho wa siku US allies wanashinda, Libya, Iraq Syria,

Sehemu ambapo US hatii.mguu ni.nchi zilizomeguka kutoka USSR

Ila kwa ARAB wanachezea watu akili wanafanya biashara
Angalia kule Venezuela,Syria kote huko yupo Russia, USA kaishia kutingisha tu kiberiti na kupiga kimya.Sema,ni kweli wazungu wapo kwa maslahi yao tu basi.Kokote aliko Russia ni kwa maslahi.Na kokote aliko USA ni kwa maslahi.
 
Katika vita zote US na RUSSIA wapo antagony na mwisho wa siku US allies wanashinda, Libya, Iraq Syria,

Sehemu ambapo US hatii.mguu ni.nchi zilizomeguka kutoka USSR

Ila kwa ARAB wanachezea watu akili wanafanya biashara
libya na iraq russia hakuingia,ila kwa sasa pale libya yupo na haftar na us yupo na haftar...syria ana maslahi mapana ndomana kaingia mazima na hajashindwa
 
Iran sio wageni wa vita ndugu, soma historia yao ya kuanzia 1978 hadi manzoni 1990's. Marekani alishajaribu kuibomoa Iran na kupata tabu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iran alipigana na weak Iraq back in days saivi anasumbuliwa na Israel pale Syria
 
Iran baada ya kuondolewa Shah madarakani na ubalozi wa marekani Tehran kuvamiwa na wafanyakazi wake wote kutekwa, marekani ilijaribu mara nyingi kuivamia Tehran ili kuwakomboa diplomats wao lakini walishindwa mara zote na Iran ya wakati huo ilikua kama imesambaratika. Marekani iliamua kuitumia Iraq kuwapiga wa Iran na mwishowe walishindwa. Uadui wa Israel dhidi ya Iran haujaanza leo mkuu.

Isreal anamkimbiza Iran pale Syria anapiga kila wanakaa ingekua inapakana Iran ingechakaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Very soon Israel itapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom