Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Haina neno hiyo kama wanalipa ushuru.....Sisi marekani siyo walinzi wetu wa kutuzuia kufanya biashara.
Sisi ni nchi huru na tuna uwezo wa kua rafiki na nchi yeyote duniani kwa maslahi ya nchi yetu.
Wewe unaijua vizuri Iran chini ya Ahmedinejad, halafu iwe na nuclear?