mabom pekee iran anaweza kurusha ni yale yanayorushwa mtu akila mayai mengi ya kuchemshwa. hayo anaweza.(utani tu), unfortunately, ni kweli, iran wamesharusha ndege zisizo na rubani nyingi kweli kweli kuelekea israel, netanyahu na mawaziri wake wameanticipate kwamba zinaweza kufika israel kesho asubuhi, na wanazimonitor. pia anga la marekani inasemekana kuna madege yameshaanza kuja middle east kupiga sapoti myahudi. vita imeanza, dunia imeshachafuka tena, though tunajua huu ndio utakuwa mwisho wa iran. mark my words, "mwisho wa iran".