Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,321
- 11,009
Akipiga na yeye atapigwa!Hahaha hasira za nini, Subiri Israel ikipiga dunia nzima itajua. Mtaleta nyuzi humu kwamba anaua wananwake na watoto.
Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake.
Akipiga na yeye atapigwa!Hahaha hasira za nini, Subiri Israel ikipiga dunia nzima itajua. Mtaleta nyuzi humu kwamba anaua wananwake na watoto.
Ulivyojitutumua sasa. Nguruvi amekuja, endelea kubishana nae tuone uwezo wako wa kujenga hoja!Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa![]()
Hahaha Gaza kwa watoto wa Iran siyo? maana anawapa silaha na mafunzo.Akipiga na yeye atapigwa!
Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake.