Iran yasema imesitisha mashambulizi dhidi ya Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,311
Serikali ya Iran imeamua kusitisha mashambulizi ya makombora mazito dhidi ya Israel na kuaahidi kuanza upya endapo Israel itathubutu kushambulia tena Lebanon BREAKING NEWS. Iran's military command says operations against Israel halted

Iran's Khatam al-Anbiya joint military command said on Monday that the armed forces had halted operations against Israel after what it called a “painful response."

The command said the strikes were carried out in support of the people of Lebanon after Israeli attacks in southern Lebanon and Dahiyeh, which it said were backed by the United States.

It warned that any continued attacks, including in southern Lebanon, would bring a much harsher response.

1780919370455.jpg
 
Iran amesha choka na vita ndani hali mbaya anahitaji muda apumue kidogo vinginevyo njaa itawauwa. Taifa lina watu karibia milioni mia alafu kila siku vita na vikwazo watakula nini? Inahitaji busara kidogo ya kuwa mpole.
 
Hujaziliwa, walikuwa wanakula mpaka leo wapo! Unawaza kuhusu kula 😏😏??
 
Mayahudi si yalisema usiku wa Leo yatasalimia anga na ardhi ya Iran? Nao wamesitisha baada ya ujumbe wa Iran?
 
Israel Wameshambulia Iran alfajiri ya Leo mpaka Asubuhi na mchana walikua wakishambulia. Tulisubiri Iran wajibu, lakini Iran wamesitisha, Israel nae kasitisha.
Iran kwa nini asitumie hii chance kutimiza malengo yake ya kuiangamiza Israel kama Wana huo ubavu?
Screenshot_20260608-122748.png
 
Mayahudi si yalisema usiku wa Leo yatasalimia anga na ardhi ya Iran? Nao wamesitisha baada ya ujumbe wa Iran?
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga

Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣

Dunia Ina kwenda Kasi sana
 
Iran hii ambayo imeshindwa kujibu mashambulizi ya Leo ya Israel? Israel kapiga Leo hapo kwake, kwa nn Iran kashindwa kujibu?
Screenshot_20260608-122748.png
 
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga

Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣

Dunia Ina kwenda Kasi sana

Kwa hili Iran wamefuta zile ideolojia za analogy ambazo watu wengi duniani walikuwa nazo.
Ingawaje atashindwa lakini kwa heshima
 
Huu mgogoro umekaaa kimtego Sana kwasababu Israel wamesema endapo Hezbollah watafanya mashambulizi kuelekea Israel wao wataenda kupiga Beirut Kwa mara ya pili.
Macho na masikio ya dunia yanaelekea Kwa Hezbollah kama wataingia tena kwenye mtego mwingine.

Kwasasa chambo wa mapigano mapya ni Hezbollah
 
Iran hii ambayo imeshindwa kujibu mashambulizi ya Leo ya Israel? Israel kapiga Leo hapo kwake, kwa nn Iran kashindwa kujibu?
View attachment 3603672
Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.
Habari hauangalii peke yako kijana.
Pia kama kuhusu kula na social development Iran ina social development kuliko taifa lolote Afrika na Iran ina higher index of food security. Itakua umezaliwa juzi huijui Iran wewe.
 
Wewe sasa ndio uache huo uongo. Hilo shambulizi la mwisho Iran kalifanya saa ngapi?
Haya, muda huu Israel wanafanya mashambulizi Lebanon. Na Gaza. Tusuhiri Iran ajibu
Screenshot_20260608-175352.png
 
Wewe sasa ndio uache huo uongo. Hilo shambulizi la mwisho Iran kalifanya saa ngapi?
Haya, muda huu Israel wanafanya mashambulizi Lebanon. Na Gaza. Tusuhiri Iran ajibu
View attachment 3603716
Usome muda wa taarifa iliyotolewa kabla hujaropoka. Hiyo habari yako ni ya saa kumi na dakika 55 unadai kuwa SASA HIVI Israel inashambulia Lebanon. Nipo kwenye Aljazeera news app hakuna taarifa ya Israel kuishambulia Lebanon saa 11 hii. Nakusisitiza Iran ndiye wa mwisho kuishambulia Israel miji ya Kiryat Shmona na Galilaya.
Huzungumzi na watoto wenzako.
 
Bado huamini TU? Saa kumi na mbili jioni hii mashambulizi yanaendelea
Soma vizuri hapa kwa Al Jazeera. Israel bado inaendelea kufanya mashambulizi ya kufa mtu licha ya Iran kutoa onyo. Una swali lingine?
Screenshot_20260608-181229.png
 
majamaa yana mabichwa makubwa ila ubongo mdogo kama wa panzi
 
Usome muda wa taarifa iliyotolewa kabla hujaropoka. Hiyo habari yako ni ya saa kumi na dakika 55 unadai kuwa SASA HIVI Israel inashambulia Lebanon. Nipo kwenye Aljazeera news app hakuna taarifa ya Israel kuishambulia Lebanon saa 11 hii. Nakusisitiza Iran ndiye wa mwisho kuishambulia Israel miji ya Kiryat Shmona na Galilaya.
Huzungumzi na watoto wenzako.
Basha wako Khomenei yupo Mochwali za Tehran ..Huku Neta anadunda kitaa Mwambie Basha wako mpya Mojtaba ajitokeze akumbane na Bunker Buster..
 
Waisrael leo wamechezea kichapo sijui kama watarudia kwenda kinyume na miongozo ya Iranian ✍️
 
Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.
Habari hauangalii peke yako kijana.
Pia kama kuhusu kula na social development Iran ina social development kuliko taifa lolote Afrika na Iran ina higher index of food security. Itakua umezaliwa juzi huijui Iran wewe.
Acha ushabiki maandazi wewe, wananchi wa Iran wana hali ngumu sana kiuchumi, unafikiri kipindi kile kwa nini walikuwa wanaandamana basi hadi maelfu wakauliwa na serikali yao dhalimu.

Dola moja tu ya Marekani ni sawa na Riyal 1,400,000 za Iran halafu unasema eti wana hali nzuri..!!!

Hakuna bangi mbaya kama ya dini. Yaani hawa wageni walioleta hizi dini wasingekuja Afrika kweli waafrika tungekuwa mbali sana.
 
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga

Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣

Dunia Ina kwenda Kasi sana
Sasa si Bora Venezuela Maduro Yuko USA anakula kuku , wakat huo huo Khamenei Yuko zake kuzimu anagombea bikra za majini mahaba
 
Back
Top Bottom