HEBU SOMA HAPO HALAFU KOSOA AU SIFIA!!!
Lijue Jeshi la Marekani.
- Jeshi la Marekani limeanzishwa mwaka 1775 hadi sasa lina miaka 244 na miezi 5.
- Askari wa kawaida wapo 476,000 ikiongezeka kwa asilimia 18% kwa mwaka 2019
- Askari wa ulinzi wa kitaifa wapo 343,000.
- Askari wa Akiba wapo 330,000.
- Na Askari wa kupaisha vifaa vya angani wanafika 4,406.
- Makao makuu ya jeshi la Marekani yapo Pentagon.
- Jeshi la Marekani ina pistol ndogo ndogo new modern kama vile M9 licha kwa sasa zinatumika zaidi zile za M17 ukiacha Beretta 92FS zilizotengenezewa Italy.
- Pia jeshi la Marekani linamiliki pistol aina ya M9,M11,M1911,M17, M18 Zipo kubwa zaidi kama vile MK23, MK24, MK25,MK26, MK27 na MK28 zote hizi ni hatari sana hudungua hadi nyuma ya mfupa.
- Zipo bundukia zinazotumika kwenye misheni za gizani kufanya mashenko kama zile aina ya SIG na MP5 zingine ni kama vile B&T APC9, M16, M4, MK17 na HK416.
- Kuna virushia kombora kama vile M252 vipo 990, M120 vipo 1,076 vilitegenezewa Israel, M109 vipo 965 na vingine vipo store 500, M777 vipo 518, M119 vipo 821.
- Yapo magari maalum kurushia makombora ya mbali kama vile M270 vipo 991na M142 vipo 375.
- Kuna magari ya kivita yale ya HMWV yapo 100,000, ATV yapo 53,582, SOV 60.
- Kuna special truck za M939 yapo 25,000 na vifaru hatari zaidi duniani kama vile M1 vipo 2,386 na vilivyo kwenye store vipo 3,500 kuna M2 vipo 25,000 na ziada ni 2,500, M3 vipo vifaru 1,200 ziada 800, M1120 vipo 4268, M113 vipo 5,000 vilivyo tunzwa vipo 8,000 M1117 vipo 2,900 na M88 vipo 1,177 na ziada vipo 1,000 na M9 vipo 250 ndio hatari zaidi.
- Inakadiriwa asilimia 21% ya jeshi la Marekani inategemea ubunifu wa siri chini ya Israel.
- Kwenye rank ya kidunia Marekani inashika nafasi ya daraja la lll zikifuatia China, Urusi, Korea n.k
- Mwenye password ya kuruhusu mabomu ya nuclear ni Rais wa Marekani.
- Kwa sekunde 881 pekee yake Marekani inaweza kuisambaratisha Tanzania na kenya Kwa mpigo huku Marekani itatumia siku 121 kuisambaratisha China yote.
- Kila kona mhimu ya dunia Marekani imeweka zimbo lake la kijeshi.
- Marekani inavifaa vya siri sana ambayo vinaaminika kuwa ni ubunifu wa nje ya dunia.
- Marekani ina vifaa maalum vya kuzuia makombora kuingia kwenye mipaka ya nchi.
- Marekani inarobot za kivita ambazo zote zinafanyiwa upembuzi.
- Marekani imebuni suit au mavazi ya kijeshi ambayo mtu akiyavaa hauwezi kumwona Kwa macho hata kidogo.
- Marekani ina makomando waliotengenezwa kwa DNA kiasi kwamba wana uwezo wa kufanya uvamizi na ushambuliaji tofauti na binadamu wa kawaida.
DR.WILLIAM
Sent using
Jamii Forums mobile app