Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,093
- 22,806
Naomba nikusahihishe..... Budget ya America ni 2 trillion na sio 700+ bilioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa Gadafiy au Sadam Hussein?Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
Ni kweli dini zimeharibu mjadala huu,nikirudi kwenye hoja Marekani ipo vitani mpaka sasa Afghanistan,Syria hebu tupime kwa vigezo vya matokeo halisi on the ground hizo silaha za kisasa kabisa na matrilioni ya bajeti yameleta matokeo gani on the ground?
kwani we unavyojua watu wanapigana vita bila sababu.Kagera War has No match na Ugaidi. Ni kama mbingu na Ardhi.
Kagera War was fought by using common sense. Wakati ugaidi religion becomes a motivator.
Ugaidi ni Vita ya kueneza Dini na ku-subjugate wale wote wasioamini.
First, TERROR was created by the Arthur Himself.
Quran Anfal 8:12. I will cast TERROR into the hearts of those who disbelieved, so strike [them] upon the necks and strike from them every fingertip
Allah's Messenger (ﷺ) said, "I have been sent with the shortest expressions bearing the widest meanings, and I have been made VICTORIOUS WITH TERROR (cast in the hearts of the DISBELIEVE).
..Abu Huraira added: Allah's Messenger (ﷺ) has left the world and now you, people, ARE BRINGING OUT THOSE TREASURES.
ح
Reference : Sahih al-Bukhari 2977In-book reference : Book 56, Hadith 186USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 220 (deprecated numbering scheme)
Ujumbe ume survived for 1400 years.
Na sasa umesema kweli. kuhusu Jihadi. Na Ndio madai hayohayo anayosema gaidi namba moja Osama Bin Laden mmoja wa viongozi wa AlQaeda,
khalifa wa Islamic States Al Baghdadi. Na aliyekua khalifa wa Boko Haram Abubakar Shekau.
Huo unaoita Undugu wa waarabu ni kisingizio tu cha wao kukataa Uwajibikaji wa matatizo ambayo wanayasababisha wenyewe , Na kuishia kumlaumu Mwamerika. Wakati hakuna anayewachagukia rafiki bali wao wenyewe.
Utaona pia. Wanaomlaumu Mwamerika. Wanajaribu kutuonyesha waarabu wamekosa akili na maarifa na ni sawa na watoto wanaorubuniwa kwa utoto wao. Kwahiyo waonewe huruma.
Na pia warabu wamelaaniwa, wakalaanika. Maana iweje Ndugu wanagombana kama sio laana ni kitu gani?
Vilevile Waarabu hawatendeani Haki. Na Haki ni tunda la Amani. Hawajui maana yake wanaamini katika ku bully on each other and exterminate the weak.
Ni inashangaza Dunia ya Leo, Waarabu ndio wanatafuta Urafiki na kuishi na hao wazungu infidels.
Huwekeza hata soka la Ulaya na Michezo mingine. Huwaalika hadi Mecca maeneo ambayo wanasema infidels hawaruhusiwi kukanyaga pale Saudia.
Kwanini hawawekezi kule Uarabuni michezo yao na bilidancing za kiarabu?. Jibu lipo wazi kabisa, ..In their nations, there's No Fun.
Na wale matajiri wamegundua wakiwa na hela wanaenda kula upepo Ulaya kwenye genuine prosperity.
Na wakirudi uarabuni wana inflict more painful way of life to their fellow arabs.
Na imegundulika raia wengi wa kiarabu pindi wanapoingia Ulaya, ndipo wanajifunza Upendo pale wanapochanganyika na watu wa nchi za Ulaya Magharibi. Na ndio maana kuna large growing number of Exmuslims.
If War is Priority. Then must be a stupid priority. The best reason for a war, is in order to end Human suffering. I would prefer World War II, Yugoslavia War againt Slobodan Milosevic, Kagera War as examples.kwani we unavyojua watu wanapigana vita bila sababu.
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Waarabu wote ni wanafiki tu, ilipoanza Vita Syria wote walikuwa wanakimbilia ulaya mbona hawakwenda uarabuni kwa waislamu wenzao?
Hapana kwa sababu akiwa yeye atawaonea/atawaendesha waaarabu wenzake wote. Tofauti za Sunni na Shia zimekolezwa munyu zaidi na Iran





Ingekua rahisi sasa hv IRAN Ingelikua Ishashuhudia REGIME CHNGE Zamani Sanaa.....Kuhusu Syria, kuna mkono wa Russia upande wa Assad.
Kwa US kuwepo Afghan haina uhusiano wa kusema labda itakua hivyo kwa Mission yao dhidi ya Iran.
Kuuangusha utawala wa Iran, ni jambo rahisi zaidi. Kwasababu vita itakua ime base kwenye confrontations warfare. Silaha zote zinazohitajika zitawekezwa hapo kwa utekelezaji huo.
Ingekua rahisi sasa hv IRAN Ingelikua Ishashuhudia REGIME CHNGE Zamani Sanaa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui uelewa wako kuhusu Vita una viwango gani lakini nitajaribu kukueleza kwa kadri niwezavyo.
Maana ushabiki umekua mkubwa humu.
Moja ya Sifa alizokua nazo Suleimani ni Uweledi alipokua akipiga na IS. Lakini Tuhuma anazo laumiwa ni ukatili anaouonyesha pale mbinu zake za ueledi wa kivita, zinapokutana na hali fulani ya kukwama au kurudishwa nyuma (Drawback) na mahsimu wake, alikua ana apply Brutality tactics, ili asonge mbele. Na ndivyo alivyofanikiwa. Kwahiyo Uhalifu wa kivita kaufanya sana.
Like wise Kwa hali ilivyo, Iran imejidhatiti kutumia all brutality tacticts they have at their disposal, in order to harm his enemy. Ikiwemo mipango ya kushambulia nchi zisizopigana naye. Na kuharibu miji hiyo kama Dubai, UAE, Saudi, Israel, na nchi ambazo US ameweka kambi zao.
Kwahiyo ili US aweze kummudu atatakiwa na yeye akiuke Utaalamu wake alionao na atumie nguvu kubwa ambayo itapelekea maafa makubwa ys waIran ili kumshinda.
Kama vile kutumia Nuclear au bomu lolote litakalo supress uwezo wa Iran kuendelea na vita. Nje ya hapo Vita hiyo inakua vigumu.
Kwasababu Iran ni kama Suicide fighter ambaye hana cha kupoteza hata akifa. Amejitoa mhanga.
Na hizi nchi zingine zinataka Kuishi na kufurahia maisha na kukuza Uchumi, kwa US kuingia vitani anaziweka katika hatari ya zenyewe kupata maafa na uharibifu mkubwa.
Na ukichukulia oia zina eneo dogo la ardhi.
Maana US hana uwezo wa kuwahakikishia 100% kua makombora ya Iran hayatazifikia na kuziharibu. Hizi nchi haziko tayari kuona hilo linatokea kwao. Utaona sasa US inapata presha ya kutoendelea na Kuleta Vita.
Lakini kama tutajaji balance kati ya hizi nchi mbili yaani USA na Iran; ukweli upo palepale, Kwa saizi ya Jeshi na Uwezo wa Silaha. US iko mbali sana. Haiko level moja na Iran.
Kwa mfano, Miaka ya 1990s Sadam Hussein alishambulia Israel na makombora ya Scud. Israel ilitumia makombora ya Patriot kudungua yale makombora ya scud ya sadam. Sadam alifanya uharibifu lakini haukua mkubwa sana. Na hii ilifanya US na washirika wake kuendele a kumpiga Saddam.
Lakini Kwa Iran yupo karibu zaidi na Miundombinu ya majirani zake na raia zao. Na Iran ni imara kuliko Iraq. Iran imehidi kuwawashia moto ikiwa itapigwa na US. Unaweza kuelewa kwanini USA amekwamishwa.
Mpaka hapa IRAN imetumia brutality threats ili kuzuia USA asiwashambulie. Baada ya kujaribu kutumia uweledi kwa njia ya Serikali ya Iraq kuwataka waamerika waondoke ikashindikana. Maana Trump alikataa.
Haya, na weye alokwambia kuwa Waajemi sio waarabu nnani?? Hata Wamanga ni waarabu pia wao wanajuana tu kwa vilemba vyao siye twawaweka kapu moja tu
Haya maswala ni wazi huyajui unaongea tu labda kwa influence ya viroba.Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
100%√Haya maswala ni wazi huyajui unaongea tu labda kwa influence ya viroba.
You definitely don't know the concept of US forming a coalition with her allies to militarily confront the enemy.
Your knowledge of these matters is very parochial and is mostly governed by ignorance of the contemporary world politics, your mind is mostly preoccupied with "Udakus".
Sera za USA sio kurusha makombora hovyo ... Na sio kwamba anashindwa kuichakaza Iran ni Swala la sekunde nchi inakuwa majivu Kama ilivyofanywa Libya chini ya Obama na Hilary Clinton...
Siraha za kisasa nyuma ya mipango ya USA ni Economic sanctions na biological weapons ... Huyo Iran ameshapigwa vikwazo kuanzia mwaka Jana raia wanataka raisi wao aachie ngazi kwa maisha kuwa magumu....
Sitashangaa utakuja hapa na kusema USA Hana uwezo wa kuipiga Somalia
Sent using Jamii Forums mobile app