Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Iran hana ubavu wa kuthubutu kuchokoza mziki wa America.. Marekani ameshasema aguse maslahi yake au base yake yoyote aitakayo alafu wao watajibu kwa haraka na kwa nguvu ambayo haijawahi kuonekana popote pale duniani kwahiyo Iran iache singeli inatakiwa ijibu kama mwanamme kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HEBU SOMA HAPO HALAFU KOSOA AU SIFIA!!!

Lijue Jeshi la Marekani.
- Jeshi la Marekani limeanzishwa mwaka 1775 hadi sasa lina miaka 244 na miezi 5.

- Askari wa kawaida wapo 476,000 ikiongezeka kwa asilimia 18% kwa mwaka 2019

- Askari wa ulinzi wa kitaifa wapo 343,000.

- Askari wa Akiba wapo 330,000.

- Na Askari wa kupaisha vifaa vya angani wanafika 4,406.

- Makao makuu ya jeshi la Marekani yapo Pentagon.

- Jeshi la Marekani ina pistol ndogo ndogo new modern kama vile M9 licha kwa sasa zinatumika zaidi zile za M17 ukiacha Beretta 92FS zilizotengenezewa Italy.

- Pia jeshi la Marekani linamiliki pistol aina ya M9,M11,M1911,M17, M18 Zipo kubwa zaidi kama vile MK23, MK24, MK25,MK26, MK27 na MK28 zote hizi ni hatari sana hudungua hadi nyuma ya mfupa.

- Zipo bundukia zinazotumika kwenye misheni za gizani kufanya mashenko kama zile aina ya SIG na MP5 zingine ni kama vile B&T APC9, M16, M4, MK17 na HK416.

- Kuna virushia kombora kama vile M252 vipo 990, M120 vipo 1,076 vilitegenezewa Israel, M109 vipo 965 na vingine vipo store 500, M777 vipo 518, M119 vipo 821.

- Yapo magari maalum kurushia makombora ya mbali kama vile M270 vipo 991na M142 vipo 375.

- Kuna magari ya kivita yale ya HMWV yapo 100,000, ATV yapo 53,582, SOV 60.

- Kuna special truck za M939 yapo 25,000 na vifaru hatari zaidi duniani kama vile M1 vipo 2,386 na vilivyo kwenye store vipo 3,500 kuna M2 vipo 25,000 na ziada ni 2,500, M3 vipo vifaru 1,200 ziada 800, M1120 vipo 4268, M113 vipo 5,000 vilivyo tunzwa vipo 8,000 M1117 vipo 2,900 na M88 vipo 1,177 na ziada vipo 1,000 na M9 vipo 250 ndio hatari zaidi.

- Inakadiriwa asilimia 21% ya jeshi la Marekani inategemea ubunifu wa siri chini ya Israel.

- Kwenye rank ya kidunia Marekani inashika nafasi ya daraja la lll zikifuatia China, Urusi, Korea n.k

- Mwenye password ya kuruhusu mabomu ya nuclear ni Rais wa Marekani.

- Kwa sekunde 881 pekee yake Marekani inaweza kuisambaratisha Tanzania na kenya Kwa mpigo huku Marekani itatumia siku 121 kuisambaratisha China yote.

- Kila kona mhimu ya dunia Marekani imeweka zimbo lake la kijeshi.

- Marekani inavifaa vya siri sana ambayo vinaaminika kuwa ni ubunifu wa nje ya dunia.

- Marekani ina vifaa maalum vya kuzuia makombora kuingia kwenye mipaka ya nchi.

- Marekani inarobot za kivita ambazo zote zinafanyiwa upembuzi.

- Marekani imebuni suit au mavazi ya kijeshi ambayo mtu akiyavaa hauwezi kumwona Kwa macho hata kidogo.

- Marekani ina makomando waliotengenezwa kwa DNA kiasi kwamba wana uwezo wa kufanya uvamizi na ushambuliaji tofauti na binadamu wa kawaida.

DR.WILLIAM

Sent using Jamii Forums mobile app
While Iran jeshi lao kama la misri wameshindwa kuzuia mpaka mkulu wao kadedishwa
 
Ninavyoujua viumbe hai wote wana DNA (carrier of genetic information).sasa LABDA hawa Makomando hao watakuwa gene zao zimekuwa modfied (gene edditing) labda kuondoa baadhi ya vitu na kuongeza vingine (gene edditing) tech hii hata mchina na mrusi wanayo uwezekano hata south korea pia anafanya pamoja na hayo
Ukisoma uzi wa mtoa mada unaelewa uwezo wake tu katika uchambuzi wa mambo. Kaacha mambo ya msingi yaliyo kwenye jeshi la Marekani kaja kuzungumzia pistol na DNA gani sijui ambayo hii hakuna uhalisia. Simply angetaja F-22 Lightning, F-35 Lighting II, F-16, F-15, MH1 Abrams, Bradley IFV, APC, aircraft carriers, AH64 Apache, Arleigh Burke ships, Zumwalt, classes za submarines za Los Angeles na Virginia, Tomahawk cruise missiles, A10 Thunderbolt (Warthog), B1 B Lancer, B-52, B-2 spirit bomber, E-2D Advanced Hawkeye, Lockheed C-5 Galaxy. Kuhusu vikosi kuna 82nd airborne division hii si ya mchezo, kuna special forces zinajulikana, na idadi alotaja sio. U.S alikuwa na active personnel 1.8 million na reserve ya watu laki nane. Huu ni ufupisho wa uwezo wake kuna vitu vingi sana bado vipo na ni muhimu.
 
CIA Kuna watu smart Sana kichwani jamani .. Msidhani kila kinachofanywa na America hakipo well staged Kama mnavyodhani ...

US dunian kote ana Millitary base... Hata Vita ikianza US hapigani akitokea Marekani , Iran atashambuliwa na Military base ambazo zinamzunguka Iran na zilizo katika nchi zingine ....

Nakukumbusha tu US ana THAAD 7 , hizi ni system za kufyonza kama si kumeza Missiles (Makombora ) ... Huyo Irani Kumbuka Makombora yake kwanza sio ya masafa marefu hivyo hayawezi kufika Marekani ...


Lakini pili hata akijaribu kwa kiburi chake THAAD zitafanya kazi ... Na ndio maana Leo habari zinaonesha revenge haitaelekezwa America ...

Vita ni game , USA ameanza game vizuri ... Atakaekwenda kupoteza ni Iran... Kwasababu Kwasasa Iran wana ukata wa maisha kutokana na vikwazo vya America , tangu mwaka Jana wanaandamana raisi wao ajiuzuru Videos reveal brutal crackdown in Iran , Marekani ameshawalainisha na vikwazo na wana Hali mbaya kwelikweli kiuchumi Sasa anataka Vita nao ...


Kumbuka Iran amekuwa akitumia waasi kumshambulia Saud Arabia... Unajua mchezo utachezwaje ? Hahaha CIA sio watu wazuri ... US anaenda kuwa Nyuma ya Saud ... How ?? Tafuta maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah...! Watu ni weupe kichwani kazi kisapoti kijingajinga tu, marekani ni nchi smart sana anamjua vyema uwezo wake, Trum amesema anazo silaha mpya zinazomudu kumfanya chochote iran haraka na kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni pale mnapoleta uislam hizi ni siasa na vita mwenye nguvu atamtandika mnyonge, Iran kiteknolojia hasa kijeshi hafikii ata robo ya marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona US ameanza kupata taabu,huku teknolojia inayotumika ni ile ya AK-47 tu.
tapatalk_1578260950947.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namuona mtu ni mjinga anapojadili vitu vipya na kuvihusianisha na historia ya zamani!
.
Iran ya mwaka 1970 sio ya 2019/2020 Marekani ya 1968 wakati inaenda mwezini sio ya 2090 (note USA walishapita 2020 siku nyingi in terms of development)
mkuu Us Yuko 2090!!!? Duh....hata Kama Mahaba kwako yamezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hua unawaza kwa kutumia nini ? Ahangaike na kitu ambacho hakiendi kwenye taifa lake ??

Unakumbuka drone ya mmarekan aliyo itungua iliyokua umbali wa mil 9 kutoka iran ilipo ?? Aliiona kwa kutumia lense mbinuko ? Na ilikua spy drone, mmarekan alidhan kwa tech aliyo tumia isinge onekana wakaiona ka kuishusha , ilikua jiran

Ulinzi walioweka ni ulinzi wa taifa lao sio ulinzi wa taifa jirani, vyombo vya iraq ndio vilivyopaswa kuiona sio Irani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watakuelewa hao kweli!!? Maana wengi wao wanashabiki Vita ili Hali hata uhalisia wa Jambo lenyewe hawalijui....Hizi dini hizi waafrika zimetudhoofisha Sana uwezo wetu wa kufikiri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom