Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities:

Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion

Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million

Aircraft
Iran: 509
US: 13,398

Navy vessels
Iran: 398
US: 415

Nukes
Iran: not known
US: 6,185

Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth

View attachment 1313146
Mkuu,

Usiandike tu kishabiki bila kufanya analysis.

Hebu tuambie US Ina ukubwa gani ardhi yake vs Iran, Askari mmoja analinda eneo kubwa kiasi gani?

Ratio ya eneo vs vifaa.

Ni sawa na kuitaka Rwanda owe na vifaru sawa na Tanzania wakati eneo lao kukiwa na vifaru 30 vinatosha Ila wewe unataka wawe navyo 5000. Wakivipanga tu hakuna anjia ya kupita magari
 
Kwahiyo mkuu Rwanda akiwa na vifaru 30 vitamtosha hata akivamiwa na vifaru 5000??
Bangi mbaya
 
Hakuna vita hapo msipoteze muda.

Kilichopo ni kutunishiana misuli tu baina ya US na Iran.

Ndio maana unaona washirika wa US (EU) wapo kimya.

Iran atalipiza kisasi kwa kifu cha Soleimani kwa style ile ile ya kuviziana iliyozoeleka.

Then US ataongeza sanctions zaidi kwa Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita haitangazwi na kuanza.
Hizo unazozisema ndio cheche za vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah
Kwa Saud Arabia ndio USA??? ... Hoja nimezinjenga kwa USA wewe unanijibu kwa Saudi Arabia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu kwa SAUDIA Kwasababu US Ana Vifaa Vyake Pale Vyakijeshi Kuzuia Mashambulio Yasiingie SAUDIA Chaajabu Yameingia

Naunahisi US Atampigia IRAN Kutokea Washington Ama New York

Pole sana Kaka MKUBWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YahNimekujibu kwa SAUDIA Kwasababu US Ana Vifaa Vyake Pale Vyakijeshi Kuzuia Mashambulio Yasiingie SAUDIA Chaajabu Yameingia

Naunahisi US Atampigia IRAN Kutokea Washington Ama New York

Pole sana Kaka MKUBWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaa gani vilivyoko Saudia??? Nimekuwekea kifaa Cha THAAD wewe unakuwa general eti vifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnashabikia vita kijingakijinga
Inatakiwa dunia ya amani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom