Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Mkuu drone zimerushwa kutoka kwenye base za marekani ziliko kwenye bahari. Hivyo Iran angekuwa yuko smart angeziona kabla hazijafika Iraq.
Mkuu, hua unawaza kwa kutumia nini ? Ahangaike na kitu ambacho hakiendi kwenye taifa lake ??

Unakumbuka drone ya mmarekan aliyo itungua iliyokua umbali wa mil 9 kutoka iran ilipo ?? Aliiona kwa kutumia lense mbinuko ? Na ilikua spy drone, mmarekan alidhan kwa tech aliyo tumia isinge onekana wakaiona ka kuishusha , ilikua jiran

Ulinzi walioweka ni ulinzi wa taifa lao sio ulinzi wa taifa jirani, vyombo vya iraq ndio vilivyopaswa kuiona sio Irani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki wa Israel na USA ndo kinachompa kiburi mmarekani wala hakuna kingine, middle east yote hakuna anayekohoa kwa muisrael kwa namna yoyote ile
 
Mkuu, hua unawaza kwa kutumia nini ? Ahangaike na kitu ambacho hakiendi kwenye taifa lake ??

Unakumbuka drone ya mmarekan aliyo itungua iliyokua umbali wa mil 9 kutoka iran ilipo ?? Aliiona kwa kutumia lense mbinuko ? Na ilikua spy drone, mmarekan alidhan kwa tech aliyo tumia isinge onekana wakaiona ka kuishusha , ilikua jiran

Ulinzi walioweka ni ulinzi wa taifa lao sio ulinzi wa taifa jirani, vyombo vya iraq ndio vilivyopaswa kuiona sio Irani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh kwahiyo hao Iran intelijensia yao ni zero! Kama hawakuweza kujua kuwa Kamanda wao yuko kwenye target ya wamarekani.
 
HEBU SOMA HAPO HALAFU KOSOA AU SIFIA!!!

Lijue Jeshi la Marekani.
- Jeshi la Marekani limeanzishwa mwaka 1775 hadi sasa lina miaka 244 na miezi 5.

- Askari wa kawaida wapo 476,000 ikiongezeka kwa asilimia 18% kwa mwaka 2019

- Askari wa ulinzi wa kitaifa wapo 343,000.

- Askari wa Akiba wapo 330,000.

- Na Askari wa kupaisha vifaa vya angani wanafika 4,406.

- Makao makuu ya jeshi la Marekani yapo Pentagon.

- Jeshi la Marekani ina pistol ndogo ndogo new modern kama vile M9 licha kwa sasa zinatumika zaidi zile za M17 ukiacha Beretta 92FS zilizotengenezewa Italy.

- Pia jeshi la Marekani linamiliki pistol aina ya M9,M11,M1911,M17, M18 Zipo kubwa zaidi kama vile MK23, MK24, MK25,MK26, MK27 na MK28 zote hizi ni hatari sana hudungua hadi nyuma ya mfupa.

- Zipo bundukia zinazotumika kwenye misheni za gizani kufanya mashenko kama zile aina ya SIG na MP5 zingine ni kama vile B&T APC9, M16, M4, MK17 na HK416.

- Kuna virushia kombora kama vile M252 vipo 990, M120 vipo 1,076 vilitegenezewa Israel, M109 vipo 965 na vingine vipo store 500, M777 vipo 518, M119 vipo 821.

- Yapo magari maalum kurushia makombora ya mbali kama vile M270 vipo 991na M142 vipo 375.

- Kuna magari ya kivita yale ya HMWV yapo 100,000, ATV yapo 53,582, SOV 60.

- Kuna special truck za M939 yapo 25,000 na vifaru hatari zaidi duniani kama vile M1 vipo 2,386 na vilivyo kwenye store vipo 3,500 kuna M2 vipo 25,000 na ziada ni 2,500, M3 vipo vifaru 1,200 ziada 800, M1120 vipo 4268, M113 vipo 5,000 vilivyo tunzwa vipo 8,000 M1117 vipo 2,900 na M88 vipo 1,177 na ziada vipo 1,000 na M9 vipo 250 ndio hatari zaidi.

- Inakadiriwa asilimia 21% ya jeshi la Marekani inategemea ubunifu wa siri chini ya Israel.

- Kwenye rank ya kidunia Marekani inashika nafasi ya daraja la lll zikifuatia China, Urusi, Korea n.k

- Mwenye password ya kuruhusu mabomu ya nuclear ni Rais wa Marekani.

- Kwa sekunde 881 pekee yake Marekani inaweza kuisambaratisha Tanzania na kenya Kwa mpigo huku Marekani itatumia siku 121 kuisambaratisha China yote.

- Kila kona mhimu ya dunia Marekani imeweka zimbo lake la kijeshi.

- Marekani inavifaa vya siri sana ambayo vinaaminika kuwa ni ubunifu wa nje ya dunia.

- Marekani ina vifaa maalum vya kuzuia makombora kuingia kwenye mipaka ya nchi.

- Marekani inarobot za kivita ambazo zote zinafanyiwa upembuzi.

- Marekani imebuni suit au mavazi ya kijeshi ambayo mtu akiyavaa hauwezi kumwona Kwa macho hata kidogo.

- Marekani ina makomando waliotengenezwa kwa DNA kiasi kwamba wana uwezo wa kufanya uvamizi na ushambuliaji tofauti na binadamu wa kawaida.

DR.WILLIAM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajasema Intelligence kasemea Jeshi lake, ni kubwa na bora

Ila cha ajabu, uwezo kwenda vitan mwenyewe hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna unalolijua kwenye hizi medani nenda kabishane mambo ya Diamond , Zari , Wema Sepetu Na Ali Kiba...


Ingia hapa uone hayo niliyokwambia Donald Trump akiongea kwa mdomo wale mwenyewe ...



Sijui hizo shule mnasomea ujinga!!! Ukute na hii clip uliiona ila hujui lililozungumzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Mpka sasa hivi Irani haelewani na Saudia, UK tayari imesha sema iko pamoja na USA, na UK na USA wakiungana ujue Germany, France na Italy wanafuata.

Waislamu wa Mashariki ya kati hawajielewi wao wenyewe hawana umoja wanachukiana kwa madhehebu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyoujua viumbe hai wote wana DNA (carrier of genetic information).sasa LABDA hawa Makomando hao watakuwa gene zao zimekuwa modfied (gene edditing) labda kuondoa baadhi ya vitu na kuongeza vingine (gene edditing) tech hii hata mchina na mrusi wanayo uwezekano hata south korea pia anafanya pamoja na hayo
 
USA kupigana na Irani anaweza isipokuwa akifanya hivyo tu atapoteza Super power status.

Maana Financial system ya Marekani imekuwa pegged kwenye mafuta ya Saudia. Yaani Saudia auze mafuta yake kwa dollar na hivyo kuipa dollar ya marekani demand duniani kote.
Iwapo Marekani atamshabulia Iran katika ile all out war, basi visima vya saudia vitawaka moto, maslahi ya Marekani Iraki yatakuwa on fire, kwa hiyo Financial system ya Marekani itayumba sana.
Pia Marekani hana hela za kupiganisha vita nyingine na Irani. Akijitutumua kupigana basi itabidi akope nje na ndani ili kufinance hivyo vita hivyo deni la Marekani litaendelea kuwa kubwa kupita maelezo. Safari hakutakuwa na hela za kutosha za Wasaudia kufinance hivyo vita, na saudia akikosea mahesabu akadhani reserve yake ya pesa itaweza kuisaidia Marekani ampige hasimu wake yaani Iran, atakuwa anajitafutia umasikini wa bure, maana hiyo vita inaweza kuchukua miaka 20, na hiyo pesa ya msaudia haitorudi.

Kwa calculations hizi ndiyo maana Marekani huwa haitaki all out war na Iran maana wanajua, hiyo vita inaweza kuwayumbisha mno kiuchumi hadi kupelekea kupoteza usuper power stutus duniani
Mkuu ule siyo ugomvi wa ccm na chadema,
so bora ungekaa tu kimya kuliko kuandika vitu ambavyo huvijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
abda kuongezea kidogo tu hapo ni kuwa technolojia nyingi tunazo sikia kwa sasa ni za tafiti za miaka zaidi ya 30 iliyopita ina maana kuna nyingi hazijajulikana bado na hizi huwa ndo siri za kuamua matokeo ya vita kwani adui anakuwa hajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Iran ataungana na mataifa gani ya middle East na yenye nguvu?

Unazungumzia Syria au Lebanon au Yemen au Iraq!

Unapotoa hoja jitahidi usome kwanza Geopolitics !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom