Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Kwani Iraq wakati wa Saddam ilipigwa vipi? Vita ya sasa ni anga na makombola ya masafa ya mbali infantry inakuwa mwisho mwisho labda kama unaongelea vita ya mwaka 47!!
Wanayo mfumo wa kudungua hayo makombora , usidhan n wepes mkuu, kuna shughul pevu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
America kuna part moja kubwa sana ambayo ndio determinat, nayo ni MPIGA KURA..., Public Opinion matters a lot, ndicho kilichomuondoa Vietnam....,

Pia ogopa kupigana na mtu ambaye yupo cornered na ana feel kama he has nothing to loose..., Only a Fool will underestimate a Man with Nothing to Loose....
 
Duuh, aisee...nadhan umechanganya Iran na Iraq mkuu, huijui Iran vizuri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnaleta ushabik wa kijinga unaijua vzr US au unaisikia inagopwa io nchi hata kipind cha world war 1 and 2 muingereza na mjeruman walikuwa wanamuogopa mjapan akajitia kichwa ngumu wakapigwa bomu mbili tu wakazika mamilion ya ndugu zao nagasaki na heroshima ebu nikuulize japan na iran ipi nj strong jibu unalo
 
Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Sasa kiongozi wa Hezbollah ndiyo marekani wakae kumsikiliza..? Iran alikuwa anatafutiwa sababu wanajua utundu wake wote ajaribu aone kipigo atakachochukua hatakaa asahauu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Hahahah! Kahesabu marekani ana military base ngapi middle east, afu ukumbuke marekani ni mshirika na kiongozi wa NATO na kila mtu anantegemea amsadie pale atakapovamiwa sasa lazima fadhira zilipwe.

Juzi rais wa ufaransa alisema NATO ina mtegemea USA. Baada ya USA kusitisha mkataba na Iran makampuni kibao ya nchi za ulaya yalisitisha biashara na Tehran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Iran ana historia ya kuitawala dunia miaka mingi iliyo pita akaja kupinduliwa na Mgiriki. Hivyo zama za Iran zisha pita hapo ataishia kupigwa tu.
Nyie.mnao msifia USA nipeni jibu wako wapi wale ma super power wa zamani

Ni hatari lakini salama.
 
CIA Kuna watu smart Sana kichwani jamani .. Msidhani kila kinachofanywa na America hakipo well staged Kama mnavyodhani ...

US dunian kote ana Millitary base... Hata Vita ikianza US hapigani akitokea Marekani , Iran atashambuliwa na Military base ambazo zinamzunguka Iran na zilizo katika nchi zingine ....

Nakukumbusha tu US ana THAAD 7 , hizi ni system za kufyonza kama si kumeza Missiles (Makombora ) ... Huyo Irani Kumbuka Makombora yake kwanza sio ya masafa marefu hivyo hayawezi kufika Marekani ...


Lakini pili hata akijaribu kwa kiburi chake THAAD zitafanya kazi ... Na ndio maana Leo habari zinaonesha revenge haitaelekezwa America ...

Vita ni game , USA ameanza game vizuri ... Atakaekwenda kupoteza ni Iran... Kwasababu Kwasasa Iran wana ukata wa maisha kutokana na vikwazo vya America , tangu mwaka Jana wanaandamana raisi wao ajiuzuru Videos reveal brutal crackdown in Iran , Marekani ameshawalainisha na vikwazo na wana Hali mbaya kwelikweli kiuchumi Sasa anataka Vita nao ...


Kumbuka Iran amekuwa akitumia waasi kumshambulia Saud Arabia... Unajua mchezo utachezwaje ? Hahaha CIA sio watu wazuri ... US anaenda kuwa Nyuma ya Saud ... How ?? Tafuta maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Ni THAAD za US Zinavyofanya kazi
main-qimg-61e388d28d519897bad3a95d193a3674.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah! Kahesabu marekani ana military base ngapi middle east, afu ukumbuke marekani ni mshirika na kiongozi wa NATO na kila mtu anantegemea amsadie pale atakapovamiwa sasa lazima fadhira zilipwe.

Juzi rais wa ufaransa alisema NATO ina mtegemea USA. Baada ya USA kusitisha mkataba na Iran makampuni kibao ya nchi za ulaya yalisitisha biashara na Tehran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wako kihisia zaidi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnaleta ushabik wa kijinga unaijua vzr US au unaisikia inagopwa io nchi hata kipind cha world war 1 and 2 muingereza na mjeruman walikuwa wanamuogopa mjapan akajitia kichwa ngumu wakapigwa bomu mbili tu wakazika mamilion ya ndugu zao nagasaki na heroshima ebu nikuulize japan na iran ipi nj strong jibu unalo
Huu mvutano wa USA na Iran umeanza lini mkuu ? Una miongo mingapi ? Kwann hajampiga mpaka sasa kama alivyofanya kwa Assad ??? Iran sio masikhara mkuu, sio wa kusukuma kama mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom