Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Russia hawez kujiingiza kwenye vita inayohusisha marekan
Ataongea tu na hatofanya chochote
Marekan pia hvyohvyo japo atatumia siraha ya uchumi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Marekani hajawahi pigana na nchi bali wanamgambo ambao hushambulia kwa kushtukiza
Pamoja na sifa zote hizi Marekani haijawahi kupigana vita yoyote ikashinda toka taifa hilo lianzishwe. Wanasumbuliwa na "Fear of the unknown"

Wenye akili watanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Trump alishawahi hata kuandika neno COVFEFE huko twitter likakosa maana?Dunia nzima haikuelewa alichokisema.,so hua ni kama chizi tu.
Leo Trump kasema USA ina Intelligence Unit Bora dunian kote... Haya maneno yafikirie kwa Dakika 30 utapata majibu kwanini hao China , au Russia hawauwezi mziki wa US....





Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA president awe chizi ??? Uko nje ya ufahamu sio bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi.com
Screenshot_2020-01-06-14-43-16-1.jpeg


Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli,na ionyesha ni jinsi gani wewe dereva wa gari yangu ulivyokunywa Nyagi/Yokozuna/Banana,soon utaokotwa Korongoni.
Kutoka kwenye mada ya Iran-USA mpaka kuleta vimaneno vya Khanga inaonesha ni jinsi gani gari lako linavyozidi kuyumbayumba hovyo...

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Hivi unajua Mental Illness ni sababu za raisi kupigwa chini ???


Hivi Dems wasivyompenda Trump wawe na uhakika kuwa sio Mentally Fit wasimpige chini ???....


Ulivyokuwa huna akili timamu hata Hujiulizi kwanini hiyo sababu haipo kwenye orodha walizoorodhesha Dems za kumuondoa madarakani Trump...


Halafu wewe zwazwa unaeishi Maramba-Mawili unakuja na maneno eti Trump Ni chizi ... Sijui hili taifa linaelekea wapi kuwa na vijana sampuli yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua Mental Illness ni sababu za raisi kupigwa chini ???


Hivi Dems wasivyompenda Trump wawe na uhakika kuwa sio Mentally Fit wasimpige chini ???....


Ulivyokuwa huna akili timamu hata Hujiulizi kwanini hiyo sababu haipo kwenye orodha walizoorodhesha Dems za kumuondoa madarakani Trump...


Halafu wewe zwazwa unaeishi Maramba-Mawili unakuja na maneno eti Trump Ni chizi ... Sijui hili taifa linaelekea wapi kuwa na vijana sampuli yako

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimesikitika sana kubishana na binti kama wewe ambae bado hajavunja ungo.

Nitakuletea boks 5 za pedi kama zawadi mrembo.

Na nimesikitika zaidi ninapoona binti mdogo anaweza kubishana na health professionals 350 wanaosema akili ya trump ina shida.
Screenshot_2020-01-06-15-15-10-1.jpeg


dodge
 
Back
Top Bottom