Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
na ukumbuke saudi arabia na iran ni paka na panya. na ujue kwamba marekani watepewa support nchi hizi hizi za middle east i.e saudi arabia, israel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO HAIWEZI KUPIGANA NA IRAN! NEVER. Iran mwenyewe anajua hilo...labda vita ya jihad na sio combat war
NATO haiwezi fanya ujinga huo.Hapa USA yupo jeshi la mtu mmoja,najua UK anaweza muunga mkono ,lakini mataifa mengine makubwa kamwe hayawezi unga mkono USA hii ya Trump.
 
Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Saadam Hussein aliwahi kujificha kwenye hoja hizi za mafuta na uchumi wa dunia aliondoka akayaacha mafut yana tiririka.

Mafuta yatakuwepo hata Ayatollah akiondoka, na hakutakuwa na shida ya mafuta.

Mtabaki mnapigana wenyewe kwa wenyewe kama Iraq, au Iibya Marekani wanasonga mbele.
Mimi nataka Iran apigwe mpaka ateuliwe, kideli chini, na akilianzisha, atapigwa sana tu.
 
Guerilla war US hashindi ila serikali kwa serikali US anashinda mapema.....

Kamuua jamaa makusudi ili mfanye lolote
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna mambo yanachekesha hv unajua kwamba USA silaha zao zote huwa wanazitengeneza wenyewe kuanzia vifaru.ndege.meli .risasi .mabomu na nuclear weapon tena kwa bahat mbaya hata hizi simu tunazozishobokea android na iphone data zake zote zipo US internet ipo US in short kateka mawasiliano ya dunia sasa uyo iran kila kitu mpaka apewe msaada waseme tu km wanataka nchi yao iwe jangwa waseme mapema
 
Iran vs. US military capabilities:

Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion

Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million

Aircraft
Iran: 509
US: 13,398

Navy vessels
Iran: 398
US: 415

Nukes
Iran: not known
US: 6,185

Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth

View attachment 1313146
Kati ya china, Russia, na Iran, hakuna nchi inayoweza kupambana na USA uso kwa uso "all out War "na kwa sababu wanalijua hilo wanachofanya ni kushambulia washirika wa US, au maslahi ya US,au kuzisaidia nchi ambazo US, anazipinga, Kama Russia na Syria.
Kwenye kinachoendelea Iraq, iran na vibaraka wake wataumia asubuh kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawataki vita.Ila watajua tu jinsi ya kudeal na USA
Mimi ni mtu,halafu napenda vita hasa Marekani na Iran, pia Urusi.

Tumechoka kuwaona hawa miamba gym, tunawataka ulingoni sasa.

Iran akinukishe atandikwe aache kelele,kawa na maneno kama mmakonde au mzaramo.
 
Tatizo pale Middle East ni Saudi Iran na Israel wote wanataka kuwa wakubwa wa pale. Wakimmaliza Iran itahamia Israel na Saudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UN inafanya kikao cha Security Council kujadili mzozo huu.

Tatizo US ni permanent member wa UN Security Council mwenye veto power.

Iran hayumo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome hotuba ya Mwalimu wakati wa vita vya Kagera inaitwa "Moyo kabla ya silaha" utajua kwenye vita kuna mambo mengi sana,ikiwemo jiografia kwa mfano ili Marekani iweze kuishambulia Iran inahitaji base,na je Iran imezungukwa na maadui au washirika? Kama ni washirika Marekani itapata wapi base,manake haiwezi kushambulia kutokea Marekani lazima kuwe na kituo kwa ajili infantry ili kuteka miji nk mashambulizi ya anga peke yake hayatoshi kuiangusha nchi,kama yangeweza leo tusingekuwa na Houthi pamoja na Bashar Al Assad
Kwani Iraq wakati wa Saddam ilipigwa vipi? Vita ya sasa ni anga na makombola ya masafa ya mbali infantry inakuwa mwisho mwisho labda kama unaongelea vita ya mwaka 47!!
 
anasemaje huku sitimbi hatuoni hayo
Kishamaliza,kwanza Marekani wameambiwa waondoe wanajeshi wao kutoka Iraq,then Kiranja wa Hezbollah kasema USA amekuwa chanzo cha chaos hapo middle east,na kifo cha Kassim Suleiman hakitapita bure.
 
Back
Top Bottom