Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Povu LA kamanda wa Iran. Limejaa uchochezi na wivu was kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmarekani,anaendeshwa mchamchaka na dogo kiduku,ameona kule kugumu,anataka asahaulishe ya kiduku,ndio akaona atoke vipi,ndio akaja na ya Jerusalem,huku ndio ngoma nzito,haiwezi kabisa.
 
Hawa wayahudi kiboko yao alikua Hitler tu..nafikiri hawatamsahau milele.....
Hivi kwa nn wayahudi katika historia yao ni watu wa kuwindwa tu....Hitler aliwachukia sana, Stalin hivyo hivyo, huko kwenye historia ya nyuma ni hivyo hivyo, majirani zao wa sasa ni hivyohivyo....Whats is wrong with these Jews??
 
Povu LA kamanda wa Iran. Limejaa uchochezi na wivu was kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmarekani,anaendeshwa mchamchaka na dogo kiduku,ameona kule kugumu,anataka asahaulishe ya kiduku,ndio akaona atoke vipi,ndio akaja na ya Jerusalem,huku ndio ngoma nzito,haiwezi kabisa.
Fikiria wapalestina,hawapati msaada wala silaha kutoka Amerika, tofauti na Israel anasaidiwa silaha,misaada na America na hana kikwazo chochote,lakini anaendeshwa puta na Palestina,asiyekuwa na msaada kutoka kokote na vikwazo juu.
 
Wairan mimi nawakubali saana ni moja ya nchi inayotambulika duniani kwa kutengeneza NUCLEAR
Wamarekani walijitahidi kila jambo ili asitengeneze silaha hizo lkn majamaa hayakujali
Walimwekea vikwazo(cold war) Lakini majamaa hayakutetereka na vikwazo vyao
Na akianzisha tu muirani hapo Mturuki lazma aingie kumsapoti,,wa Yemen nao hawatakua mbali wataingia
Na Mrusi ndio ataekua supplier wao wa Silaha
Mapanki ndio atajua LADHA YA UJI BAKULI IWE YAMOTO[emoji1321]
Mkuu hapa umemaliza zizi wa fitina,fikiria mpalestina hana msada wa silaha kutoka America,wala msaada toka Amerika,ni vikwazo juu,lakini anamuendesha puta Muisrael na muamerika,hawalali usingizi wa raha.Je wakipata misaada ya silaha na misaada,kutabaki muisrael?
 
Al aqsa,ni msikiti wa nabii suleman,kuvunjwa kwa msikiti huo ni kiashilia kimojawapo cha mwisho wa dunia.

Sinagogi/msikiti huo ki ramani upo parestina, msikiti ule unafaida nyingi kwa wakazi wa maeneo yale na nchi.

Msikiti ule umeanza kugombaniwa kalibu na madhehebu.yote makubwa.
Waislam wanasema wakwao,
Wakristo wanasema wakwao,
Wayahudi.wanasema wakwao.

Kwahiyo waisrael roho.zao.mbaya wanatamani obomolewe ili wakose ote.

Mitume wamesha tabili juu ya huu msikiti.

Pamoja na ubabe wao waisrael lakini nao pia wameshatabiliwa mwisho wao upo.
Ni sinagogi au msikiti? plagiarism kuitetea ni kazi....
 
Hivi kwa nn wayahudi katika historia yao ni watu wa kuwindwa tu....Hitler aliwachukia sana, Stalin hivyo hivyo, huko kwenye historia ya nyuma ni hivyo hivyo, majirani zao wa sasa ni hivyohivyo....Whats is wrong with these Jews??
They are Messiah's kinsmen...!
 
Mabaki ya Wafilisti yapatikana Israel
  • 11 Julai 2016
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Watafiti wanasema hilo ni kaburi la kwanza kabisa la Wafilisti kupatikana
Watafiti wa mambo ya kale nchini Israel wamegundua makaburi ya kwanza ya Wafilisti.
Makaburi hayo, yaliyopatikana eneo la Ashkelon, yaligunduliwa mwaka 2013, lakini habari hizo zilifichuliwa Jumapili.

Habari hizi ziliwekwa siri muda huo wote kuzuia kushambuliwa na waandamanaji wa makundi ya Wayahudi wahafidhina ambao hawakutaka makaburi hayo yafukuliwe.

Haki miliki ya picha AFP
Taarifa zinasema ugunduzi huo huenda ukafichua mengi kuhusu asili ya Wafilisti ambao wamezungumziwa sana katika vitabu vya kidini.

Mafanikio hayo yalitokea mwisho wa mwaka wa 30 wa uchimbaji ulioongozwa na kundi la Leon Levy Expedition.

Viongozi wa uchimbaji huo wanasema walipata makaburi yaliyozingirwa na manukato, vyakula, mapambo, vito na silaha.

Yanadaiwa kujengwa na kutumiwa kati ya karne ya 11 na karne ya 8 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.

"Baada ya kutafiti kuhusu Wafilisti kwa miongo mingi, hatimaye tunaweza kuwatazama,” anasema mmoja wa wanaakioloiia hao Daniel M Master.

“Kwa ugunduzi huu, tunakaribia kubaini siri za asili yao.”

Wanaakiolojia hao sasa wanafanya uchunguzi wa DNA pamoja na uchunguzi wa miale ya ukaa kubaini watu hao waliishi wakati gani.

Watafiti hutofautiana kuhusu asili ya Wafilisti, baadhi wakiamini walitoka Ugiriki, wengine visiwa vya Crete au Cyprus na wengine eneo la Anatolia nchini Uturuki.

Wafilisti huoneshwa katika Biblia kama maadui wakuu wa Waisraeli, na inadhaniwa walihamia Israel kutoka maeneo ya Magharibi karne ya 12 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.

Anayefahamika zaidi ni Goliath, mpiganaji ‘jitu’ ambaye kwa mujibu wa Biblia, aliuawa na Daudi kabla yake kuwa Mfalme wa Waisraeli.

Katika Biblia, wanaoneshwa kama watu wakatili lakini mabaki yaliyopatikana yanaonekana kuashiria kwamba walikuwa na ustaarabu fulani.
 
hiyo hapo juu copied and paste kama ilivyokuwa. msije mkasema nimeichakachua.
 
Hawa wayahudi kiboko yao alikua Hitler tu..nafikiri hawatamsahau milele.....
Hivi kwa nn wayahudi katika historia yao ni watu wa kuwindwa tu....Hitler aliwachukia sana, Stalin hivyo hivyo, huko kwenye historia ya nyuma ni hivyo hivyo, majirani zao wa sasa ni hivyohivyo....Whats is wrong with these Jews??
Hawa wana laana,ndio ukaona Hitler,aliwauwa maelfu,na asili yao walifanywa watumwa Misri,kutokana na ujinga wao.Hawa hawamkubali Yesu, wanasema ni mtoto wa nje ya ndoa.Na laana hii inawatafuna sana,fikiria nchi za kiarabu zuko nyingi,lakini wao, idadi yao ndi ndogo sana,hii pia ni laana kwa kutozaana,kasababu vitabu vyote vya dini, vinasema zaaneni,muongezeke,lakini wao, hawana kizazi kwa laana, walionayo.
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.


Oooh kumbe dhamira sio waisrael kuwa pale Bali ni kanisa kujengwa pale!

Waisrael tena walokole na Kanisa!!!
 
Netanyahu na Trump bomoa huo msikiti haraka ni maficho ya magaidi
Hawezi ,ni maneno tu, dogo kiduku anamshindwa,ataweza ngoma nzito ya waarabu,na waislamu dunia nzima.Muisrael anaendeshwa puta na mpalestina,asiyekuwa na silaha yoyote ya msaada,ataweza wenye silaha.
 
Acha uwongo wewe. Ibrahim, Daud na Suleyman walikuwa waislam? Uislam ulianzishwa na nani kati ya hao uliowataja? Solomon mtoto wa David alijenga Hekalu la Kumwabudu MUNGU, hakujenga msikiti wa kumwabudu mohamed.

Mohamed na uislam wake umeanza miaka karibia zaidi ya 1000 baada ya hao Kina Ibrahim, Isack, Daud na Solomon.

Mbona mnataka kuleta kuchanganyikiwa kwenu hapa?

Kwa hiyo wewe kuvua viatu, kusujudu ndio uislam kwa tafsiri yako?

Kazi kweli kweli!
Hao uliowataja hapo ni sawa walikuwepo kabla ya uislam ,je'walikua wanaswali kwa mtindo gani wanapoingia kwenye sehemu ya kumuomba mungu?
Je, wanaendana na waislam au wakristo wa sasa?
 
Teh teh sera ya divide and rule bado ni silaha kubwa kwa U.S maana naona Trump aliamua kuzivuruga kwanza nchi za kiarabu za Qatar, Saudi Arabia nakadhalika ili wasipatane wala kuwa na umoja wa kivita mara wanapochokozwa/dola ya kiislamu inapochokozwa,

baada ya kukamilisha mkakati wake wa kuwagawa(divide) sasa ametoa tamko la kuwatawala(rule), tamko lenyewe ndilo hili 'JERUSALEMU NI MJI MKUU WA ISRAELI'

Trump katoa tamko hili muda ambao kimahesabu ni muda mbaya kwa dola za kiislamu maana wengi wao hawaelewani kiasi cha kuungana na kupigana vita na Israeli.
Hakuna dola ya kiislamu wewe
 
Uislam udharirike Mara ngapi, kila Siku mnadhalilika. Kila vita mnashindwa. Jitambueni basi.
Mmarekani kaona kashindwa na dogo kiduku,atafuta watu wasahau kwa dogo kiduku,huku alikoingia ni choo cha madume.Akumbuke kipigo cha Vietnam,asisahau hapo.
 
akawadanganye wajinga Israel hawajawahi kupigana vita yoyote waliopigana na waarabu ni Marekani Israel tu hawana kitu silaha zote ni za wamarekani hawana uwezo wa kupigana hata na Al shabaab
Acha kujidanganya Israel ni tatizo ndo taifa linaloongoza kwa drones technology
 
Back
Top Bottom