Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Nyooo... 1967 wakijikusanya mataifa kibao ya kiislam wakachapika kwa siku sita tuu
Usikariri mkuu, unaikumbuka vita ya uajemi Kati ya nchi za ulaya zikiungana na marekani dhidi ya Iraq,... Iraq chini ya Saddam Hussein ilishinda vita. Lakini miaka kadhaa mbele huyo marekani akiwa na washirika wake wachache waliingia Iraq na kumkamata Saddam Hussein na kumchinja Kama kuku tu.

Hizo historia na records huwa zinabadilika kulingana na muda... Usikariri
 
Iran wanafiki wao Kila siku na dua lao la kuku. Zao ni kugombanisha huku wao wakiwa mbali na huo utawala wao ndani hata hautakiwi ila wanalazimisha tu na jeshi lao la kigaidi. Watulize tu papa zao au wawachukue wapalestina waishi nao. Hawatoiweza Israel kamwe wapige kelele tu za kijinga wajichoshe
 
maneno mengi vitendo kidogo kama watanzania,kila uchwao tutaifuta katka uso wa dunia lakini wakiingia vitani wanakua wa kwanza kuomba vita iishe,
Nafuu umeona wewe, hawa jamaa bana...[emoji23]


Hata kwa Libya walisema Marekani itaona cha moto.

Yaani wao ni maneeeeno tu.[emoji23]
 
8ddb82e8651d9111ee56cd887ba1ff6b.jpg

Jamal AbdulNasser
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.
Yule Muisraeli anaitwa Rabi nani?

Anaongea kiswahili fasaha sana.
 
Al aqsa,ni msikiti wa nabii suleman,kuvunjwa kwa msikiti huo ni kiashilia kimojawapo cha mwisho wa dunia.

Sinagogi/msikiti huo ki ramani upo parestina, msikiti ule unafaida nyingi kwa wakazi wa maeneo yale na nchi.

Msikiti ule umeanza kugombaniwa kalibu na madhehebu.yote makubwa.
Waislam wanasema wakwao,
Wakristo wanasema wakwao,
Wayahudi.wanasema wakwao.

Kwahiyo waisrael roho.zao.mbaya wanatamani obomolewe ili wakose ote.

Mitume wamesha tabili juu ya huu msikiti.

Pamoja na ubabe wao waisrael lakini nao pia wameshatabiliwa mwisho wao upo.
Msikiti ulijengwaje enzi za Mfalme Sulemani wakati Mohamm,ad mwenyewe kazliwa miaka zaidi 500 baada ya Ukristo kuanza na Uislamu kauanzisha karne ya 6 yaani miaka mia sita baada ya ukristo. Sulemani hakujenga Msikiti, acheni kujitoa ufahamu na kupotosha umma. Sulemani alijenga Hekalu la Wayahidi. Hivyo, haki ya lile Hekalu ni Wayahudi na siyo Wakristo wala Waislamu.
 
Back
Top Bottom