Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Msikiti ulijengwaje enzi za Mfalme Sulemani wakati Mohamm,ad mwenyewe kazliwa miaka zaidi 500 baada ya Ukristo kuanza na Uislamu kauanzisha karne ya 6 yaani miaka mia sita baada ya ukristo. Sulemani hakujenga Msikiti, acheni kujitoa ufahamu na kupotosha umma. Sulemani alijenga Hekalu la Wayahidi. Hivyo, haki ya lile Hekalu ni Wayahudi na siyo Wakristo wala Waislamu.
Mkuu ,neno ukristo limetengenezwa na paulo ambae nyie mnamuita mtume,

Watu ote walikua na tamaduni za kiisram,.MUSA,DAUD.SULEMAN HADI YESU MWENYEWE ALIISHI KATIKA TAMADUNI NA SHELIA ZA KIISLAM ,
WAZUNGU WALIANZISHA AGANO JPYA NA KULITANGAZA ZAUDI ILI KUVULUGA TAMADUNI HIZO.KWAHIYI ,UKRISTO HAUPO UMETENGENEZWA TU ILI KUJA KUIVULUGA DUNIA VIZURI.
 
Msikiti ulijengwaje enzi za Mfalme Sulemani wakati Mohamm,ad mwenyewe kazliwa miaka zaidi 500 baada ya Ukristo kuanza na Uislamu kauanzisha karne ya 6 yaani miaka mia sita baada ya ukristo. Sulemani hakujenga Msikiti, acheni kujitoa ufahamu na kupotosha umma. Sulemani alijenga Hekalu la Wayahidi. Hivyo, haki ya lile Hekalu ni Wayahudi na siyo Wakristo wala Waislamu.
Misingi ya msikiti wa al aqsa ulianzishwa na mtume daud umemaliziwa na suleman.

SINAGOGI NI MSIKITI NA SIO KANISA HATA PAPA WENU AKIINGUA AL AQSA ANASUJUDU KAMA WALIVYOFANYA AKINA IBRAHIM,MUSA,DAUD,SULEMAN HADI YESU MWENYEWE NA WAKIINGIA WANAVUA VIATU.

JE KANISANI KWA SASA MNAVUA VIATU?

MNASUJUDU?NK.NK.NK.?

tunalishwa dogna hizi tukiwa watoto lakini tunakua wakubwa na kujua angalau kusoma,na kujua lipi baya lipi zuri,hebu tusikubari kuendelea kudanganywa.

Ndio maana watu kama akina gwajima wanajua ukweli ila wanaamua kupiga hela tu ,maana wanaona watu wenyewe hawataki kuelewa.
 
Wewe peleka uwongo wako huko. Uislamu umeanzishwa na Mtume wenu mnayemwombea toba kila siku miaka mia 6 baada ya Ukristo halafu unakuja kuwadanganya watu hapa jamvini. Kwanini mnakubali kudanganywa kirasihi kiasi hicho lakini!. Lile lilikuwa Hekalu la Wayahudi, wala siyo Kanisa. Masinagogi yamekuja kujengwa baadaye sana katika historia ya wayahudi, na wala siyo makanisa. Ni Nyumba za ibada ya dini ya kiyahudi. Ukristo ulianza huduma zake katika masinagogi maana wakristo wa kwanza walikuwa Wayahudi. hata hivyo baadaye walifukuzwa na kukatazwa kufanya ibada zao katika masinagogi. Ndo wakaanza kujenga makanisa yao. Huyo aliwadanganya kuwa lile lilikuwa Msikiti kawalisha matango pori kwelilkweli.
 
Jenerali Jaafari: Quds Tukufu Itakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, lengo kuu la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds. Ameongeza kuwa: Mji wa Quds utakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni.
Meja Jenerali Mohammad Ali Jaafari ameyasema hayo Jumamosi wakati akizungumza na maafisa katika Kamandi Kuu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Akiashiria uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi mji wa Quds kama mji mkuu wa utawala bandia wa Israel, ameongeza kuwa: "Hayo yote ni utangulizi wa kuangamiza Msikiti wa Al Aqsa na Waislamu wanapaswa kufahamu kuwa, iwapo hawatachukua hatua za haraka kukabiliana na njama hii chafu, basi watapoteza wakati kwa kasi."
Meja Jenerali Jaafari amesema Marekani na utawala wa Kizayuni zimetenda ujinga mkubwa zaidi wa kihistoria dhidi ya Quds Tukufu na kuongeza kuwa: "Uamuzi huu ni matokeo ya mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Saudia Arabia." Amefichua Marekani ilizifahamisha nchi hizo za Kiarbau kuhusu uamuzi huo dhidi ya Quds miezi kadhaa iliyopita.
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameendelea kusema kuwa: "Utawala wa Saudi Arabia inataka Waislamu walaani tu kwa maneneo jinai ya hivi karibuni ya Marekani na waridhike tu na kutoa taarifa za kulaani." Amesema Saudia imefikia mapatano na Markeani pamoja na Israel kutochukua hatua zozote za kutetea na kuulinda mji wa Quds na kuhakikisha kuwa kadhia ya Palestina inaondlewa katika duara la masuala muhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Meja Jenerali Jaafari ameashiria kusambaratika njama za maadui wa Umma wa Kiislamu na kusema: "Umma wa Kiislamu mara hii pia, sawa na kadhia za Kuristan ya Iraq, Lebanon na Yemen, itasambrataisha mehsabi ya maadui na kuwaadhibi wasaliti.
Source;parstoday

Hawa waarabu bila shaka wana walakini kwenye vichwa. Wabebe mskiti wao waujenge kwenye nchi yao. Jerusalem is for Israel.

Wewe ukajenge nyumba kwenye uwanja wa mtu halafu leo mwenye nao anakuja kufanya maendeleo kwenye eneo lake, unasema utamuua!.

Kwanza ninaomba mtu yeyote anayejua kweli na mkweli, aje hapa aseme ni kwa namna gani Jerusalem ilikuwa ya Waarabu.
 
Wewe peleka uwongo wako huko. Uislamu umeanzishwa na Mtume wenu mnayemwombea toba kila siku miaka mia 6 baada ya Ukristo halafu unakuja kuwadanganya watu hapa jamvini. Kwanini mnakubali kudanganywa kirasihi kiasi hicho lakini!. Lile lilikuwa Hekalu la Wayahudi, wala siyo Kanisa. Masinagogi yamekuja kujengwa baadaye sana katika historia ya wayahudi, na wala siyo makanisa. Ni Nyumba za ibada ya dini ya kiyahudi. Ukristo ulianza huduma zake katika masinagogi maana wakristo wa kwanza walikuwa Wayahudi. hata hivyo baadaye walifukuzwa na kukatazwa kufanya ibada zao katika masinagogi. Ndo wakaanza kujenga makanisa yao. Huyo aliwadanganya kuwa lile lilikuwa Msikiti kawalisha matango pori kwelilkweli.
UNAITWA AL AQSA MOSQUE,
KIONGOZI MKUU NI MUHAMAD AHAMED HUSSEIN.
tuachane na hii.

Tamaduni walizokua wanaomba mitume wa zamani ambao ndio.waasisi wa dini hizo.zinafanana zaid na ukristo au uslam .

Hakili za kufundishwa ongezea na za kwako.
 
Hawa waarabu bila shaka wana walakini kwenye vichwa. Wabebe mskiti wao waujenge kwenye nchi yao. Jerusalem is for Israel.

Wewe ukajenge nyumba kwenye uwanja wa mtu halafu leo mwenye nao anakuja kufanya maendeleo kwenye eneo lake, unasema utamuua!.

Kwanza ninaomba mtu yeyote anayejua kweli na mkweli, aje hapa aseme ni kwa namna gani Jerusalem ilikuwa ya Waarabu.

Mkuu wakikujibu unifahamishe tafadhali.......Waarabu wameshindwa kutafakari kwani nini wanamigogoro kwenye nchi zao (Iraq, Yemen, Lebanon, Syria, Tunisia, Libya, Pakistan, Afghanistan, na nyingine nyingi... )
 
waarabu bora muendelee kuongea na kuandamana tu siku mkiigusa ISRAEL mtajuta
 
Iran ananichekesha sana,,eti kusambaratisha Israel,, mbona wanasayansi wako wanauliwa hapo nyumbani na waisrael,nahuna huwezo wakuwalinda
 
Sawa kabisa kiongozi. Nitakujulisha wakinijibu.

Mkuu wakikujibu unifahamishe tafadhali.......Waarabu wameshindwa kutafakari kwani nini wanamigogoro kwenye nchi zao (Iraq, Yemen, Lebanon, Syria, Tunisia, Libya, Pakistan, Afghanistan, na nyingine nyingi... )
 
Hao makafiri hawatafanikiwa kamwe kuudhoofisha uislam
 
kwa nini mmarekani anaipa serikali ya misri bilion za madola kila mwaka bure ukijua hilo huwezi kusema wa israel wana nguvu
 
Acha uwongo wewe. Ibrahim, Daud na Suleyman walikuwa waislam? Uislam ulianzishwa na nani kati ya hao uliowataja? Solomon mtoto wa David alijenga Hekalu la Kumwabudu MUNGU, hakujenga msikiti wa kumwabudu mohamed.

Mohamed na uislam wake umeanza miaka karibia zaidi ya 1000 baada ya hao Kina Ibrahim, Isack, Daud na Solomon.

Mbona mnataka kuleta kuchanganyikiwa kwenu hapa?

Kwa hiyo wewe kuvua viatu, kusujudu ndio uislam kwa tafsiri yako?

Kazi kweli kweli!

Misingi ya msikiti wa al aqsa ulianzishwa na mtume daud umemaliziwa na suleman.

SINAGOGI NI MSIKITI NA SIO KANISA HATA PAPA WENU AKIINGUA AL AQSA ANASUJUDU KAMA WALIVYOFANYA AKINA IBRAHIM,MUSA,DAUD,SULEMAN HADI YESU MWENYEWE NA WAKIINGIA WANAVUA VIATU.

JE KANISANI KWA SASA MNAVUA VIATU?

MNASUJUDU?NK.NK.NK.?

tunalishwa dogna hizi tukiwa watoto lakini tunakua wakubwa na kujua angalau kusoma,na kujua lipi baya lipi zuri,hebu tusikubari kuendelea kudanganywa.

Ndio maana watu kama akina gwajima wanajua ukweli ila wanaamua kupiga hela tu ,maana wanaona watu wenyewe hawataki kuelewa.
 
Nyooo... 1967 wakijikusanya mataifa kibao ya kiislam wakachapika kwa siku sita tuu
Yale sio mataifa ya kiislamu,ni mataifa hata warabu wakristo pia wamo
1:Misri ni nchi ya wakristo na waislamu.
2:Lebanon ni nchi ya wakristo na waislamu.
3:Jordan ni nchi ya wakristo na waislamu
4😛alestina ni nchi ya wakristo na waislamu
5:Syria ni nchi ya wakristo na waislamu.
Hakuna nchi hata moja hapo,inayojiita nchi ya kiislamu,hivi hull shule mmekwenda kusomea ujinga?
 
H
Hata Goliat alimwambia same words Daud ila mwisho Goliat alikatwa kichwa na kijana mdogo Daud.... Iran wanacheza na moto lazima uwaunguze...
Goliath ndio Israel,atamalizwa na kijana mdogo Iran,ambaye ni Daud.
 
Mungu amewanyima Waarabu akili ya kutambua WAKATI, wangejua hakika wasingezalilika. Israel amepimiwa na Mungu kipimo cha ushindi hadi mwisho wa wakati. Hadi hekalu la tatu litajengwa mahala pa hekalu la zamani. Baada ya hekalu la tatu, Sadaka za kuteketezwa zitarudishwa hapo ndipo ukiwashambulia Israel utawashinda, maana Yesu Kristo haji mpaka hekalu la tatu lijengwe Jerusalem, wayahudi watashambuliwa na Mataifa(ten prince). Ndipo Wayahudi wataimba Abrikiwe ajae kwa jina la bwana(Yesu Kristo), nje ya hapo Israel hashindwi ndio Maana Israel Wanajiamini.
 
Hahaha! Mimi kitu nachokishangaa, Trump kaongea tu kuwa anaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa esrael basi dunia nzima ime react. Alafu kuna watu watakuja kupiga kelele USA sio lolote, Yaan USA kaongea neno moja tu huko wengine wanatangaza vita, wengine wanaandamana, wengine mala ooh saudia atatusaliti. Hizi ndio zinazofanya niamini kuwa dunia inaendeshwa na tukio lolote litakalo anzishwa na USA, kila siku Iran anatamba kuwa ataifuta esral ila hakuna hata anayetingushika. Ila naamini esrael au Marekani akitangza kuifuta Irani nahisi dunia itakuwa kwenye tension kubwa. Kitu nilichojifunza ni kuwa Marekani bado anaitawala dunia kwa vyovyote iwe kauli zake au chochote atakachokifanya.
Mbona unaongea na kujijibu kitu ambacho ni fact kabisa....
 
Sasa anatokea mtu anasema Sijui Marekani kwisha habari yao wakati akikohoa tu dunia inakosa amani, hawa watu wanashangaza. Mimi nilifikili na wao wangetoa tamko tu kuwa hatutambui jerusalem kuwa nji mkuu wa esrael, maana tamko hujibiwa na tamko, sasa wao tamko tu wanaweweseka hivyo.
Yeye mwenyewe Amerika,anamuogopa kijana mdogo kiduku,mpaka leo kabakia maneno tu, ataweza vita vya waarabu wakilianzisha,akae atuliye na jinsi wanavyouna wenywe kwa wenyewe ndani ya nchi yao, mara atasikia kuna aliua 57 kwenye ukumbi wa mashoga,mara kuna 25,wamepigwa risasi kwenye uwanja wa disco,mara kuna aliyeingia kanisani,mzungu kauwa wakristo weusi,hajakaa vizuri Katrina hii imeuwa,hajakaa vizuri,kimbunga kimeua,hajakaa vizuri mafuriko yameua,hajakaa vizuri moto umeugiza mji mzima umeauwa.Apambane na hali yake.
 
Yale sio mataifa ya kiislamu,ni mataifa hata warabu wakristo pia wamo
1:Misri ni nchi ya wakristo na waislamu.
2:Lebanon ni nchi ya wakristo na waislamu.
3:Jordan ni nchi ya wakristo na waislamu
4😛alestina ni nchi ya wakristo na waislamu
5:Syria ni nchi ya wakristo na waislamu.
Hakuna nchi hata moja hapo,inayojiita nchi ya kiislamu,hivi hull shule mmekwenda kusomea ujinga?
Hao Wote Waarabu, pia Mungu aangalii wewe ni Mkristo au Muislamu ukienda kinyume cha Wakati wake unakuwa haupo nae, usijidanganye.
 
Waubomowe sasa kama wanajeuri hio
Maneno tu,wauuguse,siku ile kuna wanawake wanatoka msikitini,katika msikiti huohuo,wanasema milango iko wazi, tunafanya Ibada bila tabu yoyote.Wanaonyeshwa kwenye TV,wwngine ndio wanatoka makundi kwa makundi msikitini.
 
Back
Top Bottom