Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Hahaha! Mimi kitu nachokishangaa, Trump kaongea tu kuwa anaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa esrael basi dunia nzima ime react. Alafu kuna watu watakuja kupiga kelele USA sio lolote, Yaan USA kaongea neno moja tu huko wengine wanatangaza vita, wengine wanaandamana, wengine mala ooh saudia atatusaliti. Hizi ndio zinazofanya niamini kuwa dunia inaendeshwa na tukio lolote litakalo anzishwa na USA, kila siku Iran anatamba kuwa ataifuta esral ila hakuna hata anayetingushika. Ila naamini esrael au Marekani akitangza kuifuta Irani nahisi dunia itakuwa kwenye tension kubwa. Kitu nilichojifunza ni kuwa Marekani bado anaitawala dunia kwa vyovyote iwe kauli zake au chochote atakachokifanya.
Ajabu sana Mkuu! Hadi Papa kaibuka mafichoni; kote kuanzia jeshi la Malaysia, NK, Europe, Middle East, AU, etc. kila mmoja anapiga mayowe wakati Trump kaongea maneno machache mno kuhusiana na hii issue - "Tunaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel" as simple as that! Wakati huo huo lina mamigogoro kibao mezani kuanzia NK, magaidi, etc. Na ndio hao hao more than 20% ya gharama za UN wamebeba.
 
Sasa anatokea mtu anasema Sijui Marekani kwisha habari yao wakati akikohoa tu dunia inakosa amani, hawa watu wanashangaza. Mimi nilifikili na wao wangetoa tamko tu kuwa hatutambui jerusalem kuwa nji mkuu wa esrael, maana tamko hujibiwa na tamko, sasa wao tamko tu wanaweweseka hivyo.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kati ya Israel na Misri. 3 days to Israel enough to wonder someone.
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.

Waubomowe sasa kama wanajeuri hio
 
Sasa anatokea mtu anasema Sijui Marekani kwisha habari yao wakati akikohoa tu dunia inakosa amani, hawa watu wanashangaza. Mimi nilifikili na wao wangetoa tamko tu kuwa hatutambui jerusalem kuwa nji mkuu wa esrael, maana tamko hujibiwa na tamko, sasa wao tamko tu wanaweweseka hivyo.

Huyo mmarekani alimkoholea kidoogo tu mu Iraq akala kipondo hadi kuomba msaada wa nchi za ulaya kuingilia vita
Nchi karibu 8na mmarekani wao lkn walitolewa jasho na SADDAM HUSSEIN[emoji3][emoji3]
Haya na sasa AKAMKOHOLEE MKOREA
uone kama dunia nzima itakua kimya[emoji3]
Kaona wanyonge hao wapalestina ndio anajifanya mjanja..SUBIRIA SASA MOTO WAKE UTAUONA HIO SIO SINEMA YA RAMBO[emoji1321]
 
Hahaha! Mimi kitu nachokishangaa, Trump kaongea tu kuwa anaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa esrael basi dunia nzima ime react. Alafu kuna watu watakuja kupiga kelele USA sio lolote, Yaan USA kaongea neno moja tu huko wengine wanatangaza vita, wengine wanaandamana, wengine mala ooh saudia atatusaliti. Hizi ndio zinazofanya niamini kuwa dunia inaendeshwa na tukio lolote litakalo anzishwa na USA, kila siku Iran anatamba kuwa ataifuta esral ila hakuna hata anayetingushika. Ila naamini esrael au Marekani akitangza kuifuta Irani nahisi dunia itakuwa kwenye tension kubwa. Kitu nilichojifunza ni kuwa Marekani bado anaitawala dunia kwa vyovyote iwe kauli zake au chochote atakachokifanya.
Neno tu,
Halafu eti so lolote,
 
Wairan mimi nawakubali saana ni moja ya nchi inayotambulika duniani kwa kutengeneza NUCLEAR
Wamarekani walijitahidi kila jambo ili asitengeneze silaha hizo lkn majamaa hayakujali
Walimwekea vikwazo(cold war) Lakini majamaa hayakutetereka na vikwazo vyao
Na akianzisha tu muirani hapo Mturuki lazma aingie kumsapoti,,wa Yemen nao hawatakua mbali wataingia
Na Mrusi ndio ataekua supplier wao wa Silaha
Mapanki ndio atajua LADHA YA UJI BAKULI IWE YAMOTO[emoji1321]
 
Tat

tatizo hawana technology, nimeshangaa kusikia Saudia kanunua silaha za dola bil00 hapo hapo qatar kanunua na yeye za dola bil30, wote wanauziwa na mmarekani, unafikili wanaweza kupumua kweli hawa! Nilishangaa
Kuona trump alivyoenda saudia, mataifa karibia yote ya kiarabu yakaenda kumsujudia. Nikajiuliza kuwa hawa wa Arab hawamjui mchawi wao?
Umepotea nj

Umepotea njia mkuu..

Kuna tatizo napata kama hawa navyoreply post
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.
Waisrael hawamtambui Yesu dini yao ni Uyahudi Mungu wa waisrael anaitwa AL SHADAI huyo muisrael alikuwa anawaganganya tu nyie wajinga
 
And we think we've had it bad �

Read this speech from the prime minister of Israel..... Benjamin Netanyahu, with all Glory to God.

Mr. Nethanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to the slaughter like sheep.

60 years ago! We had no country. No Army.

Seven Arab countries declared war on our small Jewish state, just a few hours after its creation!

We were only 650 Jews, against the rest of the Arab world! NO IDF (Israel Defense Army).
No powerful Air Force, only brave people with nowhere to go.

Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia all attacked us at the same time.

The country that the United Nations gave us was 65 % desert. The country was out of nowhere!

35 years ago! We fought the three most powerful armies in the middle east, and we swept them... yes... in six days.

We fought against various coalitions of Arab countries, which had the modern armies and many Soviet weapons, and we had always beaten them!

Today we have:
*A country*
*An army*
*A powerful air force*
*A State-of-the-Art economy which exports millions of dollars*
*Intel - Microsoft - IBM develops products at home*
*Our doctors receive awards for medical research*

We make the desert bloom, and sell oranges, flowers and vegetables all over the world.

Israel has sent its own satellites into space!
Three satellites at the same time!

We are proud to be at the same rank as: The United States, which has 250 million inhabitants,

Russia, which has 200 million inhabitants

China, which has 1.3 billion inhabitants

Europe - France, Great Britain, Germany - with 350 million inhabitants..

The only countries in the world to send objects into space! Israel is now part of the family of the nuclear powers, with the United States, Russia, China, India, France, and Great Britain.

We have never officially admitted it, (but everyone knows it) and say that only 60 years ago, we were led, ashamed and hopeless, to slaughter!

We have extirpés the smoking ruins of Europe, we have won our wars here with less than nothing. We built our little "Empire" from nothing.

Who's Hamas to scare me? To terrify me? You make me laugh!

Passover was celebrated; Let's not forget what this is about.

>We survived Pharaoh.
>We survived the Greeks.
>We survived the Romans.
>We survived the inquisition in Spain.
>We have the pogroms in Russia.
>We survived Hitler.
>We survived the Germans.
>We survived the Holocaust.
>We survived the armies of seven Arab countries.
>We survived Saddam.
>We will continue to survive the enemies present today too.

Think of any time in human history! Think about it, for us, the Jewish people, the situation has never been better! Then let's face the world.

Let us remember: All nations or cultures who once tried to destroy us, no longer exist today - while we still live!

Egypt?
The Greeks?
Alexander of Macedonia?
The Romans? (does anyone still speak Latin these days? )
The Third Reich?

And look at us,
>The Bible Nation.
>The slaves of Egypt.
>We are still here.

And we speak the same language! then, and now! Arabs don't know yet, but they will learn that there is a God ....as long as we keep our identity, we are forever.

So forgive us for not worrying.
>Not to cry.
>Not to be afraid.
>Things are fine here.
>They could certainly get better.

However: Don't believe the media, they don't tell you that parties continue to take place, people continue to live, people keep coming out, people continue to see friends.

Yes, our morale is low. So what? Only because we mourn our deaths, while others rejoice in the blood shed. That is why we will win, in the end.

He never sleeps or will ever sleep.... the guardian of Israel.... Yahweh God of Abraham, Isaac and Jacob.

Forward this speech to the whole community, and to people around the world. They are part of our strength.
akawadanganye wajinga Israel hawajawahi kupigana vita yoyote waliopigana na waarabu ni Marekani Israel tu hawana kitu silaha zote ni za wamarekani hawana uwezo wa kupigana hata na Al shabaab
 
Sasa anatokea mtu anasema Sijui Marekani kwisha habari yao wakati akikohoa tu dunia inakosa amani, hawa watu wanashangaza. Mimi nilifikili na wao wangetoa tamko tu kuwa hatutambui jerusalem kuwa nji mkuu wa esrael, maana tamko hujibiwa na tamko, sasa wao tamko tu wanaweweseka hivyo.
Ndio hivyo Mkuu; kila mmoja anaongea na kutenda lake kufuatia very very very brief statement ya Trump; statement isiyo na kitisho chochote zaidi tu ya kusema sisi (wao US) wanautambua Jerusalem kama capital city of Israel. Ambacho hao waarabu na waajemi wangefanya ni kutoutambua Jesrusalem, and in fact hawautambui since then, so the best they could do was to keep quite badala ya kutupigia mikelele kama kawaida yao.
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.
Msikiti ule uko ndani ya hekalu la Daudi,kwa hiyo wasipate shida sana ni muda muafaka wa dunia kumjua Mungu yupi anatawala hapo.
 
Al aqsa,ni msikiti wa nabii suleman,kuvunjwa kwa msikiti huo ni kiashilia kimojawapo cha mwisho wa dunia.

Sinagogi/msikiti huo ki ramani upo parestina, msikiti ule unafaida nyingi kwa wakazi wa maeneo yale na nchi.

Msikiti ule umeanza kugombaniwa kalibu na madhehebu.yote makubwa.
Waislam wanasema wakwao,
Wakristo wanasema wakwao,
Wayahudi.wanasema wakwao.

Kwahiyo waisrael roho.zao.mbaya wanatamani obomolewe ili wakose ote.

Mitume wamesha tabili juu ya huu msikiti.

Pamoja na ubabe wao waisrael lakini nao pia wameshatabiliwa mwisho wao upo.
 
Back
Top Bottom